Miss Tanzania wa 2010 mhh..

Bone structure yake ni pana mhh hafiki popote ngoja nimtafute wa Venezuela huko huwa ni balaa:tonguez::tonguez:
 
kwani huyu miss ana tatizo gani?
Ahaaaaa, huyaoni eeeeeeh.
Matatizo ya Miss TZ 2010.
1)Meno-dental formula mbovu na it will be very expensive kurekebisha.
2)Skin-very rough,itatutia umasikini sana kuichakachua
3)General beauty-15%(I mean she is not chicky,kama hao ambao wameongezwa kwenye hizo list amb
ao mtu unaweza hata kukufuru ukasema I wish mtoto wangu angefanana hivi au mke wangu angekuwa hivi)
4)She is not even
The only thing she qualified ni height na IQ(as compared to the rest Miss TZ)
Nawashauri Miss TZ committee next time wakikosa beauty ladies wafanye kama Nigeria,unakubali tu kuwa mwaka huu hukupata wasichana wazuri,kuliko kupeleka mtu kuwa katika wazuri wa TZ huyu ndio kiboko yetu-she is the most beautiful lady in TZ this yr.
I stand to be corrected!
 
Kwa wale mlioomba picha yake ya FULL hii hapa...

DSC_0527.jpg
..Kwa kuwa mimi huvutiwa sana na miguu sina la kusema kuhusu huko juu. Mtoto wa kike ana usafiri acheni kabisa bana ah!:tonguez:
 
Mwanamke mzuri tu...kama amefikia vigezo vilivyoweka basi ndo Miss Tanzania...tuache porojo!Hao ma-miss tunaosema wako maofisini wanasaka pesa si wajitokeze...mwanamke mzuri na ambaye anajiamini hawezi kuogopa "kupakatwa" tu(kama kweli hayo yanaendelea kwenye kambi za Miss Tanzania)...yeye anatakiwa ashiriki na kama maadili yake yamekaa sawa hawezi kuruhusu mwili wake uchezewe ili ashinde...na ndiye angekuwa sauti kwa ulimwengu kuwa waandaaji wa Miss Tanzania wameoza na wanaendesha vitendo vya aibu lakini kwa kutoshiriki maana yake hawajiamini na hawana nafasi ya kuitwa kweli warembo!Urembo wao utaishia mbele ya dressers zao na maofisini mwao!

Goodluck Miss Tanzania!
 
Duh, kwa Tanzania na kwa mtaji huu...The beautiful are not yet Born...or do not give hoot about competing on these fake beauty competitions!
 
bORA hata wangemchukua wa chuo kikuu na Arusha.
Hawa jamaa wana lao jambo siyo miss.

Nadhani kuna haja Watanzania wote wawe wanapiga kura kama ilivyo Maisha plus na BSS.
labda watatoka kidogo mamiss.
MWAKA HUU WAMEAMUA KUCHUKUA MLUPO WOWOTE
 
hahaha thanks kwa kweli lundenga hapo kachemsha kama maharage

nilimuuliza uncle baada ya shindano akasema HILO NI CHAGUO LA MUNGU UNCLE..MBAVU SINA NIKASIKIA KAMA MTU ANANTEKENYA
 
..kwa kuwa mimi huvutiwa sana na miguu sina la kusema kuhusu huko juu. Mtoto wa kike ana usafiri acheni kabisa bana ah!:tonguez:

kwa wale mlioomba picha yake ya full hii hapa...

dsc_0527.jpg

binafsi naangalia kiunoni mpaka magotini na hili lundenga ndicho kilichokufanya umpe ushindi nami natoa ushindi....mmmh jamani angalien ahapo kati wakati mungu anatengeneza kiuono mpaa mguu alikuwa anakunywa castle light ama serengeti lager sio hivihivi..ila kwa uko juu alikuwa likizo ya muda wakamshauri arudi ofisini kwa muda kufanya uumbaji aendelee na likizo yake
 
Mwanamke mzuri tu...kama amefikia vigezo vilivyoweka basi ndo Miss Tanzania...tuache porojo!Hao ma-miss tunaosema wako maofisini wanasaka pesa si wajitokeze...mwanamke mzuri na ambaye anajiamini hawezi kuogopa "kupakatwa" tu(kama kweli hayo yanaendelea kwenye kambi za Miss Tanzania)...yeye anatakiwa ashiriki na kama maadili yake yamekaa sawa hawezi kuruhusu mwili wake uchezewe ili ashinde...na ndiye angekuwa sauti kwa ulimwengu kuwa waandaaji wa Miss Tanzania wameoza na wanaendesha vitendo vya aibu lakini kwa kutoshiriki maana yake hawajiamini na hawana nafasi ya kuitwa kweli warembo!Urembo wao utaishia mbele ya dressers zao na maofisini mwao!

Goodluck Miss Tanzania!

Kuna mambo hayafai kufanyia majaribio.

Ni kama vile jaribio ya kufa ili ujue kama kweli Mungu yupo au hayupo.
 
Huyu miss ni make up tu,picha ya juu na jukwaani uwiano ni sakafu na anga!!!Haupo kabisa uzuri wala uhalisia.Aibu
 

Attachments

  • 000B053s70E.jpg
    000B053s70E.jpg
    35 KB · Views: 45
Mimi naona miss Tanzania 2010 hana matatizo yupo bomba tu!labda tatizo lipo kwa Hashimu Lundenga,kuyafanya mashindano ya miss Tanzania kama mali yake binafsi!
 
Yaani sina hata cha kusema ndg zanguni, mimi nina miaka 37 lakini nikiwekwa naye mbona namwacha mbali sanaaaaa!!! lol, kwanza huo mtindi mbona kama ndala ana watoto wangapi wajameni? Inaonekana alidanganya miaka au ndo wale wenye bahati mbaya miaka midogo muonekano mkubwa!!! Bora sikulipa kiingilio changu ningemdai lundenga!!! shame for tz
 
........Huyu miss hana ubaya wowote nashangaa watu mnavyomponda mtoto wa watu......na kama mbaya kwako mzuri kwa mwingine ndio maana akashinda. Wengine mnamnanga tu wekeni picha zenu tuone jinsi mlivyo bora kuliko huyo binti.
 
Back
Top Bottom