Miss Tanzania wa 2010 mhh..

Usijidanganye; Hawaangalii uzuri tu bali wanapima pia IQ yako na kipaji cha kujieleza.

i bliv on my IQ, Nina confidence,am presentable,nadhani hivyo ni vigezo muhimu ambavyo huwa wanaangalia katika kumchagua miss tanzania
 
Acha hiyo kwani Rose Mhando ana ubaya gani jamani? Yule ni mama anayejitegemea na familia yake akimtumikia Mungu. Hata hajawahi kujitokeza kugombania u-missi. U-miss wake ni kwenye nyimbo za injili na anaibuka kidedea. Hebu tumheshimu huyu mama Rose Mhando. Keep it up Rose wangu. Unaisuuza familia yangu kwa nyimbo zako, hata mwanangu yuko mbali tunamtumia DVD zako. Keep it up Rose, you are a super star, model, queen, miss in your area of competence, and in this case, Gospel.


in RED...

KWANI NANI KASEMA ROSE MHANDO MBAYA...? NILIMANISHA WANAFANANA...!


soma uelewa kabla huja criticize .....! YOU SAID IT AND NOT ME...!
 
Miss Ghana 2010
ghana6.jpg

Miss India 2010
india2.jpg

Miss Kenya 2010
ken3.png

Miss Namibia 2010
namibia7.jpg

Miss Nigeria 2010
nigeria7.png

Miss Trinidad and Tobago 2010
tnt6.png

Zambia 2010 haka cjui katoto?
zam2.jpg
 
Huo mkono wa jamaa kwene picha umeshika maeneo gani? mbona wanatuletea stori nyingine tena
 
UKISIKIA MASHINDANO YA UREMBO NDIO KAMA HAYA MAJAJI WANAKUWA NA KIZI NGUMU KUAMUA NANI ZAIDI :tonguez:

PICHA YA ALIEKAA PEKE YAKE NI MISS ETHIOPIA 2005 NA WALIO WENGI NI WASHIRIKI WA MISS ETHIOPIA 2010
 

Attachments

  • Miss-Ethiopia_cover1.jpg
    Miss-Ethiopia_cover1.jpg
    20.2 KB · Views: 79
  • jiitu-abraham1.jpg
    jiitu-abraham1.jpg
    39.9 KB · Views: 121
tatizo la bongo uchakachuaji wakifika mbele ya safari watu awachakachui wanaangalia vigezo ndomana atufikagi mbali kwasababu atuangalii viwango
 
Back
Top Bottom