Unatakiwa um support anayesihili kuwa miss Tanzania ni sio aliyetoka kwenutuna shukuru kwa mapicha mkuu......tunaomba favour ya majina yao na watokapo ( mikoa) ili tuanze kuwapa support wa mikoani kwetu
Mkwe fumba machooooo
Hawa mamiss karibu wote ni asantecarolite. Wachache sana wana natural complexion.
Halafu hawajui kutabasamu.Wanachofanya ni kupanua mdomo na kuonesha meno tu eti hiyo ndo smiling!
Smiling ni hiziView attachment 190174 bana:
View attachment 190170View attachment 190171View attachment 190172View attachment 190173
Kweli Mkuu... maana sioni wenye sura nyeusi!mbona kama machotara hawa....?