miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Halafu isingeruhusiwa kuvaa mawig wala kushone weave
Mkwe nimetoka kabisa hapa najua hapanifai
Kabisa umefunga arafaa?
mbona kama machotara hawa....?
Huyu haja smile kakenua bwana...wabongo hamjui tofauti ya kusmile na kuonyesha meno...thats not a smile at all![]()
penda her smile huyu aiseee
Huyu haja smile kakenua bwana...wabongo hamjui tofauti ya kusmile na kuonyesha meno...thats not a smile at all
Ndallo! Hilo jina la Hashim Lundenga halikutokea hivihivi tu.Nyuma ya huyu mtu kuna kampuni iitwayo Lino Enterprises ambayo yeye ni mkurugenzi. Kwenye mashindano ya umiss BASATA imeruhusu hii kampuni kuratibu/kuendesha michuano ya umiss ngazi ya taifa.Kwa sheria/kanuni za BASATA hakuna mwingine yeyote anayeruhusiwa kuendesha mashindano haya ngazi ya kitaifa. Hii inasaidia kuondoa ubabaishaji na utapeli. Kwa hiyo ni Lundenga tu hakuna mwingine mpaka hapo labda BASATA itakapoamua vinginevyo.Hivi hakuna mtu mwingine Tanzania hii zaidi ya Hashim Lundenga kwenye mashindano ya Miss Tanzania!:angry:
Hapa tu
Halafu isingeruhusiwa kuvaa mawig wala kushone weave
Yaani mm huyu binti toka namuona siku ya kwanza nilimpenda sana, she's beautiful, humble, soft spoken, tall with very long legs....tatizo elimu!
Hajasoma eee??? Dah wampe tu zawadi ya uzuri wake