Miss Tanzania 2010

Kila anapotangazwa mshiriki anayeitwa CONSOLATA ukumbi unalipuka kwa mayowe.
Bila shaka huenda akaibuka mshindi.
Huyu ndiye anapendwa na wengi?

9.png
 
dahhhh kikwete kapigiwa d ebe live na mrembo baadaya kuulizwa atamchagua mtu wa aina gani, akataja hizo sifa kisha akasema jk anazo kwani anaongoza kwa ari nguvu na kasi zaidi
Amechemsha, hakutakiwa ku-disclose chaguo lake lakini maelezo yake ndiyo yangeifanya hadhira kutambua nani anamlenga.
 
dahhhh kikwete kapigiwa d ebe live na mrembo baadaya kuulizwa atamchagua mtu wa aina gani, akataja hizo sifa kisha akasema jk anazo kwani anaongoza kwa ari nguvu na kasi zaidi
Kama kubandika picha zake kwenye gari askari wanakuogopa, kwanini asi'take advantage!
Turudi kwenye mada.
 
Mi naona mashindano haya yamepoa. AY anajaribu kuchangamsha lakini wabongo wanamtazama tu.
 
Wanamshangilkia bure tu kumbe hana lolote.
Wa Temeke ndie atakuwa mshindi.

Kwa hiyo safari hii taji haliendi huko kwetu bara, haya ngoja tusubiri kwa matumaini ya upepo kubadilika. Hata hivyo, kwa yeyote atakayeshinda, waandaaji ni muhimu waandae utaratibu wa kumfunda/ushauri nasaha kwani watoto wa siku hizi wakiwa macelebrity tu inakuwa tabu!!!
 
Mnatafsirije response ya watu baada ya KIKWETE kutajwa na mrembo? Watu wameshangilia auu kuzomea?
 
Mi naona mashindano haya yamepoa. AY anajaribu kuchangamsha lakini wabongo wanamtazama tu.

Hawachangamki, wajua kwa nini? Wanawaza zawadi ya mwaka jana (gari la Tshs 60 milioni) wanachanganya na ya mwaka huu (gari la Tshs 10 milioni), halafu wanatafakari!!! Halafu na uchaguzii nao labda wanauwazia!!!
 
Hivi mbona wa Zanzibar hawashiriki?
Nakumbuka kuna mwaka nilimwona mshiriki wa Zanzibar siku hizi kulikoni?
 
Hawachangamki, wajua kwa nini? Wanawaza zawadi ya mwaka jana (gari la Tshs 60 milioni) wanachanganya na ya mwaka huu (gari la Tshs 10 milioni), halafu wanatafakari!!! Halafu na uchaguzii nao labda wanauwazia!!!

Hata hivyo wabongo normally huwa tumepoa sana hadi tupige laga kwanza.
 
Back
Top Bottom