Miss Tanzania 2010

Mi naona mashindano haya yamepoa. AY anajaribu kuchangamsha lakini wabongo wanamtazama tu.
mkuu siunajua tena viingilio vyao, kwahiyo walio weza kuingia humo ni watu ambao si wakwenda kwenye maonyesho ya muziki
 
Hivi mbona wa Zanzibar hawashiriki?
Nakumbuka kuna mwaka nilimwona mshiriki wa Zanzibar siku hizi kulikoni?
Maadili ya Zenj..hijab na umiss wapi na wapi bana ..wao wanapenda kuangalia tu ila kushiriki hawataki eti ni uhuni na ukosefu wa maadili..kwani umeshasikia kuna miss Saudi Arabia? au kutoka UAE?
 
Demu wa Invisible, Consolata ametangazwa Miss Reds ambassador
.
 
JK katajwa na Miss mmoja, je watu wameshangilia au kuzomea? Nimeshindwa kutafsiri kelele nilizozisikia.
 
Haya Genevieve Emmanuel Mpangala, MISS TZ!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Miss Tanzania 2010 ni GENEVIEVE EMMANUEL toka Temeke

4.png
 
kuiga kumezidi mno...ndiyo maana ma-miss wanashindwa kuchangamka!! Utakuta wengi hiyo siyo interest yao ila kwa kuwa wana maumbo stahili huwa wanadanganyana kuwa watakuwa ma-miss wazuri....
 
Back
Top Bottom