Miss Tanzania 2010

kuiga kumezidi mno...ndiyo maana ma-miss wanashindwa kuchangamka!! Utakuta wengi hiyo siyo interest yao ila kwa kuwa wana maumbo stahili huwa wanadanganyana kuwa watakuwa ma-miss wazuri....

Ni kweli. Mamiss wengi huwa hawana uwezo wa kujibu vizuri maswali, kwa sababu hujiangalia kwa vigezo vya urembo tu!
 
Wameshampatia mkoko wake au haukuletwa hapo ukumbi..nadhan hata mgeni wa heshima atajisikia aibu kumkabidhi hyundai i10...
Hongera TMK kwa kuwakilisha kwenye Umiss nadhan ni 3rd time now kwa TMK kutoa miss if i do remember well...Milene..Sbahame..genevive
 
Haya Genevieve Emmanuel Mpangala, MISS TZ!!!!!!!!!!!!!!!!!

emmanuel mpangala alikuwa ni mmoja wa viongozi wa yanga mpaka uchaguzi wa hivi karibuni, miss tanzania inaratibiwa na lino agency inayoongozwa na Hashim Lundenga,na Lundenga ni mmoja wa maseneta wa yanga sc, je kuna mahusiano yoyote baina ya mshindi na ukaribu wa lundenga na babayake? je alistahili kuwa vodacom miss tz 2010?
 
Binafsi sidhani kama kuna mkono wa Lundenga. Ni vigumu kwa yeye kuwabana kimaamuzi majaji kama R. Shah na Ayoub Ryoba. Ila naona pia viwango vya mamiss this year vilikuwa chini. Uwezo wao wa kujibu maswali ni mdogo sana. Hapakuwa na washindani wenye nguvu kama enzi za Irene Kiwia na Mercy Galabawa, Angela Damas, Mackline Mdoe na Mbiki Msumi. Sijaona hata kashkash kama enzi za Basilah Mwanukuzi. Hii shoo imepoa sana.

Kwa habari ya kustahili kuwa Miss TZ nadhani angalau kwa kundi la wabovu hawa Genevieve alikuwa na afadhali.

Nadhani kilichobaki ni hawa mamiss kuingia kwenye filamu maana kila anayeukosa umiss anadhani anaweza kuigiza. Ni tatizo hili.
 
Inasemekana wakipewa magari ya gharama huwa 'wanawehuka'

Vodacom wamelalamika kwa miaka miwili mfululizo magari ya washindi kuendeshwa na ma-boyfriend wao muda wote na kuharibu dhana nzima ya Vodacom kujitangaza kila mshindi anapoonekana sehemu na gari lake.Kuna jamaa anaitwa Victor anakuwa nalo muda wote alikuwa BF wa Nasreen na baada ya Miriam kushinda akamtema Nasreen na kuhamia kwake, sijui kama atahamia tena kwa Genevive kwa sasa.
 
Hizi data za Victor na Nasreem na Miriam umezitoa wapi?
 
Binafsi sidhani kama kuna mkono wa Lundenga. Ni vigumu kwa yeye kuwabana kimaamuzi majaji kama R. Shah na Ayoub Ryoba. Ila naona pia viwango vya mamiss this year vilikuwa chini. Uwezo wao wa kujibu maswali ni mdogo sana. Hapakuwa na washindani wenye nguvu kama enzi za Irene Kiwia na Mercy Galabawa, Angela Damas, Mackline Mdoe na Mbiki Msumi. Sijaona hata kashkash kama enzi za Basilah Mwanukuzi. Hii shoo imepoa sana.

Kwa habari ya kustahili kuwa Miss TZ nadhani angalau kwa kundi la wabovu hawa Genevieve alikuwa na afadhali.

Nadhani kilichobaki ni hawa mamiss kuingia kwenye filamu maana kila anayeukosa umiss anadhani anaweza kuigiza. Ni tatizo hili.
mashindano yana miaka nenda miaka rudi, hakuna mabadiliko, hakuna kipya... hivi kuna hata website ya miss tanzania kweli?// where we would go and peruse prognosis ya hii condition?

huh...
 
From Full Shwangwe
miss+tz.jpg

miss.jpg

10.jpg

vi.jpg
 
mki5.jpg

Wazee wa burudani nao waliwakilisha!!..Hakuna presha na kampeni majimbo tayari yapo mikononi mwao..

mi8.jpg

Kudukudu kuduuuukudu...
 
Binafsi sidhani kama kuna mkono wa Lundenga. Ni vigumu kwa yeye kuwabana kimaamuzi majaji kama R. Shah na Ayoub Ryoba. Ila naona pia viwango vya mamiss this year vilikuwa chini. Uwezo wao wa kujibu maswali ni mdogo sana. Hapakuwa na washindani wenye nguvu kama enzi za Irene Kiwia na Mercy Galabawa, Angela Damas, Mackline Mdoe na Mbiki Msumi. Sijaona hata kashkash kama enzi za Basilah Mwanukuzi. Hii shoo imepoa sana.

Kwa habari ya kustahili kuwa Miss TZ nadhani angalau kwa kundi la wabovu hawa Genevieve alikuwa na afadhali.

Nadhani kilichobaki ni hawa mamiss kuingia kwenye filamu maana kila anayeukosa umiss anadhani anaweza kuigiza. Ni tatizo hili.
MKONO UPO SEMA WEWE HUJUI ME NILISIKIA wakati wa ushindi wa mrembo faraja kotta ilitakiwa achangie gari ile ili apewe ushindi.wanachofanya voda wakitoa gari la milioni 30 basi ukitaka kushinda unampatia million kama kumi lundenga then wao wanakupa ushindi.kwa hiyo unanunua millioni 30 kwa shilingi millioni 10.asa huyu mrembo baba yake alichangia ndo akapewa ushindi.hivi ushawahi kuona mtu choka mbaya anashinda hili taji?
me ni naona kutakuwa na uhusiano kwani lundenga atapataje kula na yeye?nina uhakiak hawezi kumpa mtu ushindi ambaye hatampa faida.NI MAWAZO TU NA MTAZAMO
 
dahhhh kikwete kapigiwa d ebe live na mrembo baadaya kuulizwa atamchagua mtu wa aina gani, akataja hizo sifa kisha akasema jk anazo kwani anaongoza kwa ari nguvu na kasi zaidi

Yap nilikuwa nafuatilia kupitia StarTV.

Vp huyo binti alipomrusha JK (feki) (JK orijino = Julius Kambarage), niliskia makelele. Ilikuwa ni kushangilia au kuzomea???
 
miss+tz+2010+011.jpg

Miss TZ 2010 Genevive Mpangala akilia machozi ya furaha, hakuna miss hapo duh....

Mwaka huu kamati imechemsha,mtaalamu wetu wa picha naomba uweke picha ya kipenzi chetu Miriam hapo pembeni watu waone tofauti.Hata yule cheusidawa mwenye bluu ana nafuu.
 
Back
Top Bottom