...haika, Kwa uelewa wangu mdogo, mvuto ni attractive, attractiveness, katika fani hii wao wanaita 'photogenic', Kipaji ni talent, talented.
au?...
Kwa mujibu wa Kweli alivyoelezea ndiyo hasa tunavyotakiwa kuwa;kwasababu mwaka 2007 niliingia katika tovuti ya Miss World katika kufuatilia hiki na kile ni kaona pamoja na sifa nyingine kwa mshiriki wa Miss World,sifa mojawapo ni kwamba angalau awe na Degree moja.
Sasa kwa hapa Tanzania sizani kama waandaji wanazingatia hilo na kuwaambia watanzania tuzingatie hilo.Na ndiyo maana wengi wa washiriki wanaofanya vizuri utakuta tayari wana-degree zao kibindoni hata kabla ya kushiriki mashindano haya makubwa katika urembo.Tofauti na hivyo tutaendelea kushiriki na siyo kushindana.
Nami nashukuru ya kwamba ili mjadala kama huu uendelee inabidi tusiwe na mtazamo mmoja, jambo ambalo ni vizuri kuliweka sawa ni kwamba ninaposema ya kwamba mashindano haya ni udhalilishaji, nimeongea kwa nafsi yangu...kutokana na upeo wangu na maadili yangu. Kwa mwengine anaweza akaona ni kitu cha kawaida lakini kama mtanzania niliyelelewa katika maadili ya Watanzania ambaye nimebahatika kuishi katika Awamu Nne za serikali z Bongo ntasema tena ni udhalilishaji.
Hapa sidhani kama nahitaji kujibu kwa vipengele lakini jua tu ya kwamba wazalilishwaji wakuu ni Jamii shiriki katika mchakato mzima wa Mashindano, unapoongelea nani ni mtendewa naomba nikujibu ya kwamba watendewa wakuu ni jamii nzima ambayo inawazunguka hao wahusika na watenda ni jamii hiyo hiyo ikishirikiana na hao wahusika.
Read between the lines na utaelewa ni nini hasa najaribu kukufahamisha hapa.
Hapa ndipo watanzania wenzangu wananiacha hoi kwa unafiki!
Anyway tusonge mbele, perhaps na Chenge anafuata maadili ya watanzania maana ufisadi hakuuanza yeye!
Miss Vodacom Tanzania 2008
Nimefurahi kuwa top mshindi na yule wa tatu wametoka katika list yangu. Yule mshindi wa pili pia alikuwa karibu sana na macho yangu kwenye list ingawa sikumpa nafasi kubwa sana nikilinganisha na wale niliokuwa nimewatanaguliza. Hali ndivyo ilivyo, macho yangu huona kwa kutumia ultra violet light, hivyo naweza kutofautiana na wengi.
Kilichonisikitasha kwa sasa ni taarifa nilizosoma baadaye kutoka vyanzo mbali mbali kuhusu tabia za huyu Miss Tanzania wetu wa mwaka huu. Sina uhakika na taarifa hizo lakini kama taarifa hizo ni za kweli, basi zinanifanya nifikirie mara kumi umuhimu wa kuendela na mashinado ya namna hii bila kuwa na standard thabiti. Najua kuwa washindi wa mashindanio haya huwa wanapata exposure ya kimataifa ambayo pia huwawezeasha kupata mikataba ya kimataifa na hivyo kujiendeleza kiuchumi wao binafsi na familia zao na taifa zima kwa jumla. Jambo linalotia wasiwasi ni kuwa washindi wa mashindano haya wanagubikwa na rekodi mbaya (kulingana na taarifa za pembeni kama ni za kweli) wanaweza kuweka mfano mbaya kwa watoto wa kike wanaotafuta namna ya kukwamuka na ufukara wakizania kuwa njia moja ya mafaninkio ni kuendeleza tabia mbaya za namna hiyo.
Haya mashindano yote kwa ujumla wake ni non starter kwa watoto wa kike wa kizazi kijavyo. Ukiachana na mambo mengine, yanatoa picha kwamba maisha sio magumu vile, ni swala kuwa mrembo na kujiremba, unajipitisha mbele dakika kadhaa, unaibuka na gari, ebo-very artifical sort of life! Sasa hii ndio inafanya watoto wa kike waache kuchangmkia Physiscs!
Flaviana Matata born in 1985 won Miss Universe Tanzania 2007 and came to represent her country in Miss Universe 2007 the same year where she placed in the Top15 and ended up in 6th place after evening gown. She was the first contestant from her country to go to Miss Universe and she was also the first contestant who competed with a shaved head.
Miss Tanzania, Flaviana Matata, an electrical technician whose country is participating for the first time, is also challenging stereotypes of beauty with her shaved head. "I never let anyone define me neither by hair nor clothing as I believe God made me perfect as a pure, natural African woman," she said.
It was clear from the onset that Matata, who cuts the pose of a real Africa queen, would steal the show. Her magnetic appearance on the stage compelled nothing less than an ear blaring from the revelers who turned up to witness the event.
Smiling from ear to ear and natural Africa beauty skin, Matata who has an ambition to become an engineer could not contain her glee. "Thanks for honouring me," she quipped in glaring voice. Matata is a professional model.
The first ever event in the country was organised by Compass Communications whose Director Maria Sarungi, has been involved in organizing some international pageants in the past. She has been instrumental in the grooming and training of contestants who have won accolade in contests of this stature.
BC: What is the hardest thing about being Flaviana (yourself) in Miss Universe?
FM: Its all about my bald head. People do not understand when I tell them I was like this before. They think I shaved my head for the Miss Universe competition
DC: In Tanzania so many models are either in school, or stop school for a while to pursue modeling and fashion careers, I know for example you are interested in becoming an electrical engineer in the future, Are you doing modeling as a career goal or just a hobby? And if you finally decide to stick with modeling, do you think modeling and engineering will interconnect.
FM: I have worked with different Tanzanian models but have never met anyone who has stopped school to pursue modeling career. They just do it as part time as you know that we are not paid well so we do have other careers. I am planning to do modeling as a career though I cant just depend on it for long or do it up for 50 years. So I should have my own profession as other people do.
Anapatikania wapi kwa sasa?
Rona Swai