*Miss Tanzania 2008*

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
9,990
2,000
Washindani wetu wa Miss-Tanzania ni hawa; picha nimezitoa kwenye tovuti ya udaku ya Shigongo pale http://www.globalpublisherstz.com. Ingawa najua kuwa kuna vigezo vingi vitumikavyo kumtafuta mshindi, hata hivyo nina imani kuwa haiba huchangia sana kwenye ushindi. Je, ni nani kati yao ana haiba ya mvuto kwako, na kwa nini? GlobalPublishers wameahidi kutoa zawadi kwa msichana atakayekuwa na mvuto kwa watu wengi. Unaweza kwenda kwenye webite yao hapo juu kuonyesha chagua lako. Labda nitahadhalishe tena kuwa picha zote hizi ni mali ya Global Publishers, nimeziweka hapa kwa ajili ya kupanua mjadala wa mvuto wa haiba.

Lilian Shayo

Sylvia Mashuda

Tusekile Mwakimbinga

Amata Crispin

Angela Luballa

Anneth John

Nelly Kamwele

Beatrice Dengenesa

Blanka Emmanuel

Elizabeth Gupta

Gloria Masangwa

Florence Josephat

Flora Mvungi

Fay Antony

Irene Salala

Johari AbubakarLinda Kaaya

Mariam Hajibu

Nadya Ahmed

Cecilia George

Devotha Desdery

Pendo Laizer

Doris Godfrey

Nasreem KarimRegina Julius

Rona Swai

Tahya Badru

Bila kumsahau mdogo wangu huyu hapa:

Kichuguu Mdogo wa Kike

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,726
1,225
Jamani kuna hii issue ya nelly kuwa 16yrs na kusoma form 2 mnaionaje? Hata mamake(mrusi) alipoulizwa alijibu yupo form 2 kwakua alichelewa kuanza.Sasa nelly kwanye wasifu wake anadai kamaliza form 4. Hii itakua fair kwa washiriki wengine? naskia kuna mwalimu wa shule yake asiependa udanganyifu alipeleka copy ya cheti cha kuzaliwa miss tanzania akaambiwa eti ni feki.Isewe tumepangiwa mshindi na fisadi somaiya wa shivacom
(dalali wa rada) tena kama mwaka jana(ndo hua anatoe gari la mshindi).
 
Kinto

Senior Member
Apr 22, 2008
109
195

Eeh!! Jamani tutakimilia wapi sasa kila mahali kuna harufu ya ufisadi???
 
Mshiiri

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
2,013
1,500
Rona Swai na Regina Julius I would give a lil credit for the outlook and compartibility ya rangi ya nchi. Truly they represent the majority and are not westernised like some of them though.
 
Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,736
2,000
Washindani wetu wa Miss-Tanzania ni hawa; picha nimezitoa kwenye tovuti ya udaku ya Shigongo pale http://www.globalpublisherstz.com. Ingawa najua kuwa kuna vigezo vingi vitumikavyo kumtafuta mshindi, hata hivyo nina imani kuwa haiba huchangia sana kwenye ushindi. Je, ni nani kati yao ana haiba ya mvuto kwako, na kwa nini? GlobalPublishers wameahidi kutoa zawadi kwa msichana atakayekuwa na mvuto kwa watu wengi. Unaweza kwenda kwenye webite yao hapo juu kuonyesha chagua lako. Labda nitahadhalishe tena kuwa picha zote hizi ni mali ya Global Publishers, nimeziweka hapa kwa ajili ya kupanua mjadala wa mvuto wa haiba.
...chaguo langu ni hawa wawili, 'reception' inatosha mashaalah, hata wasiposhinda, moyoni mwangu wamefaulu :D.

Florence Josephat

Mariam Hajibu
 
Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,414
2,000
Kichuguu, hawa akina dada wote ni wazuri, ila pamoja na kuwatakia mema wote, sitoficha maoni yangu kwa kweli; i've to say i'm rather pessimistic with further competions past Miss Tanzania for any one atakayeshinda Miss Tanzania. Mnisamehe, ni maoni yangu. Akhsante.

"kichuguu mdogo wa kike" anapotential kubwa!! :)
 
Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
9,990
2,000
Kichuguu, hawa akina dada wote ni wazuri, ila pamoja na kuwatakia mema wote, sitoficha maoni yangu kwa kweli; i've to say i'm rather pessimistic with further competions past Miss Tanzania for any one atakayeshinda Miss Tanzania. Mnisamehe, ni maoni yangu. Akhsante.

"kichuguu mdogo wa kike" anapotential kubwa!! :)
Ni kweli Steve,

hata mimi nilipoangalia picha zao wote kweli nimekuwa na wasiwasi sana, ndiyo maana nikaona angalau niongeze na Kichuguu Mdogo wa Kike, teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!!

Kuna wasichana kama watatu au wanne hvi ninaoona angalau angalu wanajitenga kwenye kundi ingawa siyo wa kujivunia.
 
Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,736
2,000
Ni kweli Steve,

hata mimi nilipoangalia picha zao wote kweli nimekuwa na wasiwasi sana, ndiyo maana nikaona angalau niongeze na Kichuguu Mdogo wa Kike, teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!!

Kuna wasichana kama watatu au wanne hvi ninaoona angalau angalu wanajitenga kwenye kundi ingawa siyo wa kujivunia.
:D...basi nawe si uwataje babuu?
 
Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
9,990
2,000
:D...basi nawe si uwataje babuu?

Samahani sikuwataja.

Kwa muono wangu, wasichana wanaoweza kusonga mbele zaidi kulingana na wanavyoonekana kwenye picha zao ni hawa wafuatao:

Florence Josephat

Cecilia George

Nasreem Karim

Regina Julius

Wafuatao nao wapo karibu karibu lakini huenda hawakupozi vizuri wakati wa kupiga picha hizi:'

Pendo Laizer (Backgorund yake siyo nzuri)

Mariam Hajibu (Hakuonyesha tabasamu)

Johari Abubakar (Tabasamu lake limekaa vibaya)
 
Curriculum Specialist

JF-Expert Member
Oct 8, 2007
2,733
0
Sorry guys, mimi huwa nawaona wakishachaguliwa na kuwa miss, otherwise sijaona anayemzidi mwenziwe kwa reception, tusubiri tuone talents hapo watapishana!

Ila nataka kuona huwa mtoto wa askofu atafika wapi, Angela Bravo!!!!!!
 
BadoNipo

Senior Member
Jul 4, 2008
175
0
Jamani wapo kibao wenye mvuto sema tu hizo picha walizopiga hawajawatoa vizuri. kuna picha niliziona kwenye blog fulani hivi watoto wako bomba sana.
 
Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,956
2,000
MImi binafsi naona wote hao hawana mvuto kwa hiyo Tanzania tutaendelea kuwa wasindikizaji tu.List yote hiyo hakuna mrembo mwenye mvuto hakuna kitu hapo...sijaona mtoto aliyesimama makini hapo tutaendelea kuwa KICHWA CHA WENDAWAZIMU kila mwaka tunawasindikiza wenzetu.Hakuna kitu humo bure kabisa mtakao enda mtapoteza minoti yenu ni bora mkasazidia watu wasio jiweze tu kuliko kuchangia watu hawa wa kawaida hata uzuri hawana hata sifa za kuwa warembo hakuna na hisi hawa ni best ya wabaya.Ni mtizamo tu.
 
Silas A.K

JF-Expert Member
Apr 23, 2008
807
195
Nimeona kitu moja ya Jolly Club na Q Bar kabisa? Huyo Pendo Laizer ni CD kabisa jamani duuuh sema suala la uchangu siyo kigezo kinachomwondoa mshiriki mashindanoni lakini nafikiri ni vyema kama washiriki wangeangaliwa kutokana na maadili yao pia.
 
Mzozo wa Mizozo

JF-Expert Member
May 26, 2008
426
170
Nimeona kitu moja ya Jolly Club na Q Bar kabisa? Huyo Pendo Laizer ni CD kabisa jamani duuuh sema suala la uchangu siyo kigezo kinachomwondoa mshiriki mashindanoni lakini nafikiri ni vyema kama washiriki wangeangaliwa kutokana na maadili yao pia.
Umenena vema kabisa...

Inasikitisha sana kuona kwamba kila mashindano ya Miss Tanzania wanakuwa wamejaa mabinti ambao miili yao ni vyombo vya kujiingizia kipato... Huu ni mwenendo mzima wa mashindano haya... Karibia 70% ni vyangudoa wa namna moja ama nyengine.

Ni ndio maana mwisho wa siku magazeti yanapata mengi ya kuandika. Wakimaliza hapa ni kugongana nao maeneo mbali mbali wakitumia 'Business Promotion' waliyopata bila kutumia nguvu kuiningiza vipato. Ndio kwa wengi wao Ushiriki wao katika Shindano la miss Tanzania ni njia muhimu sana ya kujitafutia masoko ya juu...
 
Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,736
2,000

Pendo Laizer

Nimeona kitu moja ya Jolly Club na Q Bar kabisa? Huyo Pendo Laizer ni CD kabisa jamani duuuh sema suala la uchangu siyo kigezo kinachomwondoa mshiriki mashindanoni lakini nafikiri ni vyema kama washiriki wangeangaliwa kutokana na maadili yao pia.
...afanailek! ...kinyamana una uhakika na unachokiongea? anyway, ...ma miss Tanzania wote waliopita inabidi na wao tuwaangalie CV zao pia wakoje, na sasa wanaifaidisha vipi jamii, isije ikawa uthibitisho wa ule msemo; "Chema chajiuza, kibaya...!"

kabla ya haya mashindano ya ulimbwende kuna kigezo cha kupimwa UKIMWI kwanza?

Semjato

JF-Expert Member
Jun 26, 2008
225
195
jamani...na mi namfahamu huyu Nadya Ahmed...changu kabisa nae!!itanishangaza akishinda japo uchangu haumuondolei ama kumpunguzia mshiriki vigezo!
 
Silas A.K

JF-Expert Member
Apr 23, 2008
807
195
Mkuu, si vyema kumtuhumu mtu kwa kitu ambacho hahusiki nacho.Nimesema Pendo Laizer ni changudoa kwasababu nimekuwa nikimuona maeneo hayo niliyoyataja kwa mingi sasa including california dreamers (CD) enzi hizo sitaki kwenda mbali kwa kusema amewahi kutaka kuniuzia inatosha tu kusema ni changudoa. Nasikia alikuwa miss higher learning institution sijaamini kusikia kama kwanza anasoma na pia kumuona akishiriki kwenye mashindano haya.Hashimu Lundenga na Lino Agency yenu naona mna kazi kubwa ya kuwashawishi wazazi wayaone mashindano haya si uhuni ili mabinti warembo na waliolelewa katika maadili waweze kushiriki bila hivyo mashindano haya yataendelea kutawaliwa na machangu doa tuu. Its pity kushuhudia haya tunayoyashuhudia katika Miss Tanzania kwakweli nafikiri ikiwezekana mashindano haya yasimamishwe ili waandae mikakati itakayoboresha mashindano yenyewe na aina ya warembo wanaoshiriki.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom