Miss Rwanda 2021 contestants

Hao hawajui mapenz kitandan magogo labda kwa kuuza nao sura mitaani mm napenda kina mwajuma ndala ndefu wa buza
 
Ila hivi viumbe ni beautiful aisee, wote wanafaa kupewa crown . Hamna hata nnayemfikia hata robo hapo
Acha utani bhana wanyaki watamu nyie

Mna taste yenu moja amaizing

Nyie ndio wabantu wenyewe .

Hao wanyarwanda hakuna kitu hapo inasemakana hawana Radha kabisa full mimaji Kama uko kidimbwi

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • 2.jpg
    2.jpg
    68.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom