Miss Rwanda 2021 contestants

Miss Rwanda 2021 contestants

No. 18 apo duh, naona macho ya Kichina kabisa, yaani upite naye mtaani huyo, lazma warudishe chenji masela! 🤣 🤣 🤣
 
Wajomba zako wazima kabisa rafiki.

Izi yu rafiki au? [emoji848]
Hahaha, ndio utamu wa Jf. Huwezi hamini nishawahi kutukanana na kaka yangu kabisa wa kuzaliwa humu, siku amesahau simu take home kuingia JF lahaula la kwata nagundua ni bro. Hata majibizano kwenye mjadala nikakausha Ila yeye hadi leo hajashtuka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom