Miss Rwanda 2021 contestants

tofauti ya watutsi na wahutu ni nini?
Sura hizo za kitutsi .

Urefu wa sura na wembamba wake

Midomo ya mviringo

Pua nyembamba na ndefu .

Rangi(sio Sana)

But hizo juu Ni factors

Ukishawajua tu wala haungahiki

Wangeonesha na huko chini walivyo

Watustsi huwa Hawa nyama huko chini wa miguu miyembamba

Wahutu Ni kama sisi tu miss Bantu pua ngumi sura Pana
 
Hahaha, ndio utamu wa Jf. Huwezi hamini nishawahi kutukanana na kaka yangu kabisa wa kuzaliwa humu, siku amesahau simu take home kuingia JF lahaula la kwata nagundua ni bro. Hata majibizano kwenye mjadala nikakausha Ila yeye hadi leo hajashtuka
😅 Siku akikugundua utakoma Mkuu. 😅
 
Huyu wa kutoka kulia mstar wa kwanza
Kidooooogo amfikie @Miss Reneee ila bado sanaa
 
Sura hizo za kitutsi .

Urefu wa sura na wembamba wake

Midomo ya mviringo

Pua nyembamba na ndefu .

Rangi(sio Sana)

But hizo juu Ni factors

Ukishawajua tu wala haungahiki

Wangeonesha na huko chini walivyo

Watustsi huwa Hawa nyama huko chini wa miguu miyembamba

Wahutu Ni kama sisi tu miss Bantu pua ngumi sura Pana
inaonekana una uzoefu nao sana ntaenda kutembea rwanda one day
 
Rwanda ya kwenye mitandao na ukienda ni vitu tofauti hao watusi wenyewe ni wa kutafuta sio wengi
 
My vote ,
IMG_20210322_155058.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom