Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,280
- 126,869
Nzuri hiyo mdogo wangu.Andaa dera[emoji28][emoji23]
mwaka huu navuta jiko
Ufanye vitendo sasa isiwe maneno matupu mwishowe na mwaka huu tunaumaliza. 😎
Nzuri hiyo mdogo wangu.Andaa dera[emoji28][emoji23]
mwaka huu navuta jiko
Wewe vuta subira, mwenyezi Mungu atupe uzima hili jambo nimedhamiria kabisaaNzuri hiyo mdogo wangu.
Ufanye vitendo sasa isiwe maneno matupu mwishowe na mwaka huu tunaumaliza. 😎
Ndio huko ua nakuja kurogea [emoji23][emoji23][emoji23]Mmh mkuu hatujawahi bana! Lini ulikuja Sumbawanga kwetu huku?[emoji3]
Kila la kheri mdogo wangu.Wewe vuta subira, mwenyezi Mungu atupe uzima hili jambo nimedhamiria kabisaa
Shukrani!👏 dadaKila la kheri mdogo wangu.
Vyeti vinne vya COVID ndo unavuka border. wapi PK msibani?Kunaingilika huko?
Ni macho yako tu, hata nikikuuliza kilichokuvutia ambacho kwa wengine hakipo huwezi kuonyesha.this one, number8View attachment 1730803
Analishwa tagi na Miss Rwanda 2020 huyu hapa chini👇Beauty,Brain and Culture. MissRwanda 2021 huyo hapo👇
View attachment 1735274
View attachment 1735276
Kama huwajui watutsi nenda mahali walipo uwaone. Hata kama kimbaumbau namna aje lakini kwenye kiuno wapo na shape moja ambayo lazima usuuzike macho. Na ukimkuta anamwili kajazia mkuu unaweza nyoosha mikono juu. Hizi mbanga zimebarikiwa, msema kweli mpenzi wa Mungu. Ila kitabia usijaribu aiseee.Huwezi ona wowowo ndio tatizo lao wengi.