kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 2,337
- 2,781
ndio nina PHD ya ufala!!!....Aaah bana, huku hakuna watoto, kule uliko post kwanza ndiyo kuna watoto.
Ndiyo nini hicho nilichokuwekea rangi nyekundu? Anza kwa kuandika kiswahili.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Dia ujambo?Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
we unavaa mabom, ukibinuka tu linalipuka.Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
shida hutujui ni mabom ya aina gani,ila tutavumilia tu,Eeh kweli kabisa. Una akili nyingi sana wewe. mevaa chupi au boxer?
mi navaa boxer, istagafulrahBasi una akili nyingi sana wewe, umevaa chupi au boxer?
ahahaaaa!!!Mwenye Ph D hawi poyoyo wa kiwango chako.
Unashindwa kutongoza? Si ulijidai kidume sana wewe?
Bibi nikutongoze mimi mjukuu wako? utanipea?Mwenye Ph D hawi poyoyo wa kiwango chako.
Unashindwa kutongoza? Si ulijidai kidume sana wewe?
sana!! ntakupakata weyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!Bibi nikutongoze mimi mjukuu wako? utanipea?
kama huu mshepu niwako aisee.🤔🤔nikikutongoza usije nikubalia mana nitavunja Sheria za dini
Una umri gani? Nisije nikamtongoza mtoto wa mwanaume mwenzangu, siyo busara.Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Mungu akuponye!!
kuna kukimbiana stend[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unawauzia watu mbuzi kwenye gunia!! bila kuonesha uso, kuna mtu anaweza kuzimia akikuona siku ya siku!! akabaki kusema lah sikujua!!
ngoja kwanza bibi mshepu ajemwingine huyu hapa anauziwa mbuzi kwenye gunia, akikuta kumbe ni matembele sijui atamlaumu nani?
Hapo hakuna cha dini wala nini, ni ukafir uliovalishwa joho la u*sl*m!!Unajidai adabu nyingi kumbe heshima kidogo.
Kuna adabu kwenye kutongozana? Kilikuleta nini huku? Nyooo.