Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Aaamin...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya punguani mwengine huyo anataka nimuoe.

Una pesa?
Bi khadija (40) alipomuoa Mtume Muhammad (S.A.W) (25), Mtume alikuwa na pesa yoyote?

Ni Qur'an ipi imekuelekeza kuwa pesa ni zingatio muhimu katika kuoa zaidi ya Dini?

Huu Uislam wako huwa unashangaza sana...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Relax Mkuu, easy your mind, don't be that serious. JF ni sehemu ya ku-enjoy pia.
 
[emoji1318]
WAKUU,

SISI WANAUME WA DODOMA TUNAOTOA MAHARI MILIONI 8
WAKATI WANA WALISHADUFUA GOMA KINOUMAH KWA CHIPSI KAVU ZA BUKU NA MAJI YA KANDORO,
TUNARUHUSIWA KUKOMENTI HAPA?

[emoji1318][emoji1318][emoji1318]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mimi nataka nikutongoze, wewe mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakae shinda huo mtanange watongozo niambie kabisa nimtumie embe dodo za ukweli toka huku Bupu mkamba.
 
Kama kukupnda wew n maradh faiza..sihitaji nitibiwe bora niwe chakaram nipigae watu mawe ...kuwa wangu mahamumu wewe isksmbue ...dawa yang ndogo faiza n mm nipendwe na we we

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pm huwa sijibu upuuzi, tongoza hapa hapa, usiwe domo zege.
Hapo wajihami. Watu hawatongozi hadharani Bali huchumbia huchumbia na kuvisha Pete hadharani. Mengine yote siri! Mpaka tuone tena.nundu kubwa na baadaye MTU anachomoka ndiyo twajua kumbe!!!!! Sasa labda mwendawazimu atongoze hapa!au jaribu kutongoza wewe uoneshe mfano wengine waige. Kuna mambo ya faragha na hadharani. Kutongoza so hadharani!
 
Kama huwezi kutongoza hadharani ina maana ni haramu kutongozana. KwaninI kitu cha halali kiwe siri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…