Hizo sichukuwi mimi, nimetoa namba juu huko ya Kijana mwenzenu anaetafuta maisha Dar kutoka Kigoma.Yaani na uzee wako wote hujakusanya pesa za kutosha bado unaomba..!
Pesa tunapeana sisi wajukuu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo sichukuwi mimi, nimetoa namba juu huko ya Kijana mwenzenu anaetafuta maisha Dar kutoka Kigoma.
Kwa hiyo anaetaka kunitongoza kwanza atoe sadaka.
Shangazi anatupigisha stories za kuotea moto saa tatu usiku huku tunabugia mahindi ya kuchoma. Ukiwa serious, shangazi atakusababishia kifaduro cha ukubwani kwa kucheka. Easy, easy boss! 😂😂😂😂January tusamehe hadi Faiza Foxy anatafuta pa kudanga!!!
Aaa wapi! Li-bambadia litaibwa hapohapo anarekebisha miwani tu.He he he he he hey, unamjuwa Ngosha au unamsikia tu?
Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
[emoji23]kumbe nawe wazipendaUna pesa?
Kwakweli mie ni mfuasi wako mtiifu kabisa navutiwa na napenda sana kufatilia nyuzi zako hivyo sio mbaya kwanza nikawa mwanafunzi wako namna ya kupambana kwa hoja na great thinkers,wajinga mabaradhuli n.k.Mie nakupendaga bureee tu Faiza Foxy.Hapo ndiyo nashangaa mimi.
Watu wana nyege mshindo. Hao ndiyo ukisikia hata kuku wanabaka.
Mzee wa kutomboka nimekuja habari za kutongoza Screpa haipo tena, leta mzigo huo ukiwa umeuosha na ndimu😂😂😂😂
Ulipouona uzi ukaja mbio mbio. Usijishebedue.
Naam...!1 WAKORINTHO 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.