Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Hii inaitwa Kupatwa kwa Bibi. Ukiona hivi ujue amezidiwa au ni stress tu za maisha ya awamu yetu Tano ambayo hakuna longolongo...Kazi Tu.. I love you Bibi Faiza Foxy
 
Bhas leo umeongeza kipimo cha kujifukizia...punguza.

Ila sipati picha ukiwa high...wajukuu wanakufurahia sana
AlhamduliLlah situmii uraibu wowote isipokuwa bangi tu tena siivuti huwa najifukiza ikiwa nimeichanganya kwenye udi wa mawardi. Nishai nazipata lakini.

Sifahamu kwanini Tanzania hawaruhusu bangi? Siku hizi my home away from home tunanunua dukani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu, hatari!
 


We mwarab koko wacha upuuzi wako hapa, nani mwenye akili timamu anataka kudate makombo ya mwarab?
 
AlhamduliLlah situmii uraibu wowote isipokuwa bangi tu tena siivuti huwa najifukiza ikiwa nimeichanganya kwenye udi wa mawardi. Nishai nazipata lakini.

Sifahamu kwanini Tanzania hawaruhusu bangi? Siku hizi my home away from home tunanunua dukani.
[emoji23][emoji23][emoji23] nyingine changanya kwenye supu au mboga ni saaf saaana[emoji111]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mume ninae lakini bado natongozwa. Sasa waje hapa, watu wenyewe wanaonitongoza hata pesa za sadaka hawana sasa sijuwi mimi watanihonga nini.
Kama una mume huna haha ya kutongozwa ...wakiku pm wapuuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…