Ciello my dear,
Niliogopa kukusemea sana.
Nakumbuka hata ulivyotua kule kwetu kanda ya ziwa, ila nilihofia kaconfidentiallity principle!
Nashukuru umeverify mwenyewe!
Haya waambie na hili, uliteuliwa au uilipendekezwa then ukapigiwa kura?
Hapana sio wa JF Arusha HQ.
Labda hapo kwenye purple ndo kuna jibu!
Kipipi utawaweza watu wa chugga ww!!! wazoee tu....nilipendekezwa then nikapigiwa kura...kwani wandemand nn??? siwaelewi....
Ciello my dear,
Niliogopa kukusemea sana.
Nakumbuka hata ulivyotua kule kwetu kanda ya ziwa, ila nilihofia kaconfidentiallity principle!
Nashukuru umeverify mwenyewe!
Haya waambie na hili, uliteuliwa au uilipendekezwa then ukapigiwa kura?
yawezekana.....
Nawewe naweee lolKweli kabisa manake Erickb52 kasema members wa Arusha wanajuana.
Shosti yangu rudia tu enzi za Brajec, kwenye ile kampani yako ya awali!
Heheheee platozoom huu ugomvi mnaouanzisha na hawa mamiss Arusha sijui mtauzimshe...hivi ushawahi kuona mdada kapandisha Mori???