Miss avatar....pokea zawadi yako

Miss avatar....pokea zawadi yako

MM sikushiriki niilikuwa napiga kampeni tu hapa ndugu yangu nashanga kuniweka kwenye orodha hiyo bestito, halafu Boflo ni janamume wewe isikuchanganye avatar yake yeye anapenda kuwa shosti
^^
Nianze kwa kushukuru kila mmoja aliyeshiriki katika uendeshaji wa zoezi zima la kumtafuta mrembo mwenye avatar yenye mvuto katika madada wa Chit Chat..Mheshimiwa Baba V pamoja na wageni wote.Nachukua fursa hii kutangaza matokeo na kutoa zawadi
....
Kabla ya yote, NISEME wazi kuwawengi wametumia muda mwingi ku-mention kuliko kupiga kura.Washiriki walikuwa 15,,lakini mshindi aliyetafutwa ni mmoja tu.Washiriki hawa ni FP Boflo Rich woman @Heavean on earth Lady doctor Moghe Mwali ladyfurahia Mrembo by Nature Evelyn Salt snowhite na christine ibrahim
Kwa niaba ya kipenzi changu Queen Kan ASANTENI SANA KWA KUSHIRIKI
....
MATOKEO NI KAMA IFUATAVYO
JUMLA YA KURA NI.......55
ZILIZOHARIBIKA..........30
WALIOJITOA ...............02
KURA HALALI...............25
....
TAKWIMU ZA USHINDI
Boflo.......................01
snowhite..................01
ladydoctor...............00
sakapal................... 01
christine ibrahimu.....01
Mwali......................01
Heaven on earth.......01
Evelyn Salt...............01
Moghe.....................01
ladyfurahia..............01
FP..........................03
Rich woman.............05
Mrembo by Nature......08
...
Hivyo basi mshindi wa zawadi hii ni Mrembo by Nature
NAOMBA KWA RUHUSA YA Baba V uje uchukue zawadi yako hii

Shela

View attachment 99729
pesa

View attachment 99730
nyumba

View attachment 99731
SHEREHE NJEMA
^^
 
Last edited by a moderator:
Mrembo by Nature sasa aje live alivyo. Kila moja hapa anaweza tafuta mlango wa kukimbilia.
Avatar hizi!!!
 
^^
Kura zako zimeharibika page ya11 Kura nne kabisa
^^

hili shindano limesubiria vikongwe hatupo ndo mkaliweka duh nimenusa harufu ya corruption hapa CC si bure Baba V naomba mwongozo au naww umeshastaafu maana humu naona sura ngeni kabisaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom