Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,657
naunga mkono hoja shindano halikua huruhimidi napingaaaaa mi nna 2 moja kanipigia mme wangu nyingine nimepiga mie.....
hongera Mrembo by Nature
Last edited by a moderator:
naunga mkono hoja shindano halikua huruhimidi napingaaaaa mi nna 2 moja kanipigia mme wangu nyingine nimepiga mie.....
hongera Mrembo by Nature
mpe hongera. Hivi hata Bishanga hakunitaja loooh.
hahahahaa unamaanisha anaweza fanya kama alivyo fanya mwanao Ruhazwe JRLundenga wa miss avatar umejipima? Hamkawii kuingia chaka.
Mbona hako ni kama kajumba ka puppy wetu
Mpe za uso live!!!^^
Ha haa! Umenikumbusha ya Raila Odinga,,Waafrika bwana !! Kubalini mmeshindwa tu.
Ushahidi upo wazi
^^
Niliyofanya dada Mrembo by Nature si vurugu ila ilikuwa swaga mojawapo za kampeni tu!Ulivyokuwa unanivurugia kampeni kama CCM vile, ila wapambe wangu walikuwa ngangari......Jeshi la watu 4 lakini lilivuruga kila kitu
Niliyofanya dada Mrembo by Nature si vurugu ila ilikuwa swaga mojawapo za kampeni tu!