Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,886
- 172,624
Hahahaha kura 2 yako na ya mumeo , hahaha umenikumbusha chaguzi za tanzania!! asante mayaaa
Imemiss tu ya mtoto wetu hapo....
Hahahaha kura 2 yako na ya mumeo , hahaha umenikumbusha chaguzi za tanzania!! asante mayaaa
nakukumbusha ile takrima yangu
Mpambe umeuona ushindi wetu laakini?? sasa muulize ni wapi tunaenda kupokea zawadi yetuuuuuuuuuu????
Mi.nipo bana. .....nasikitika tu nimekuwa chief mpambe......crying..........
Nimewakubali, lazima tutafutane tusherehekee ushindi wetu, naandaa bongeee la kitu kama si mwaka huu basi mwakani...ahadi ni deni
Sistoo umetishaaa....umewakilisha vyema familia yetu...
JF Miss Avatar
Mrembo by Nature [b%watu8's[/b] sistooo
JF Miss CC
charminglady watu8's daughter
Ukoo mkubwa huu, ukishindana nao utaumia bureee
Ukoo mkubwa huu, ukishindana nao utaumia bureee
Nasikia umeshida?
kumbe kura yangu haikwenda bure
Kura yako imenipa ushindi bwana
Good!
nilijua hauna mshindani , watu na ni mi avatar yao ya kudanganya imebumaaa hongera
Sasa sijui ushindi tunaulia wapi?
mahala pazuri, pasipo na usumbufu! au unaonaje?