Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,163
- 10,891
- Thread starter
- #81
Mwezi Novemba 636 AD nchi ya Palestina iliyokuwa ikikaliwa na warumi chini ya makabila ya Byzantine ilikombolewa na khalifa wa pili wa waislamu baada ya kufariki Mtume s.a.w ambaye ni Omar Ibn Khattaab na ikarudi tena kuwa chini ya khalifa huyo na kuendelea baada yake chini ya tawala tofauti za kiislamu.Ntajie basi wafalme wa nchi ya palestina
Kwa maana hiyo tumeona kuwa Omar ibn Alkhattab ni miongoni mwa watawala wa nchi hiyo ukipenda kumwita mfalme au raisi si neno.