Mishahara ya watumishi wa umma kulipwa hazina kupitia BoT | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mishahara ya watumishi wa umma kulipwa hazina kupitia BoT

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndokeji, May 18, 2017.

 1. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2017
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Wanajamii, habari za maisha!

  Serikali imeanzisha utaratibu kuanzia julai 2017 malipo ya mishahara ya watumishi wa serikali haitalipwa na hazina kupitia mabenki wakala kama ilivyo sasa bali mishahara hiyo itakuwa inalipwa na hazina kupitia BOT.

  Kwa maana hiyo majina ya kwenye payroll ya watumishi ni lazima yafanane na yale yaliyoko kwenye akaunti namba ya benki mshahara unakopita iwapo kutakuwa na tofauti yoyote hata herufi moja mtumishi anatakiwa aende bank akabadilishe ili yaweze kufanana.

  Hazina wataanza kutumia mfumo mpya wa GSPP kushirikiana na BOT. Mtumishi atayepuuza kuweka sawa hayo majina ili yaweze kuwa sawa kuna hatari ya kukoswa mshahara kuanzia July.

  Kwa hiyo jamani mfuatilie kwa afisa utumishi ili kuhakiki majina yako
   
 2. l

  load Member

  #41
  May 18, 2017
  Joined: Mar 19, 2017
  Messages: 78
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 25
  Tu nashukuru sana mkuu
   
 3. nditolo

  nditolo JF-Expert Member

  #42
  May 18, 2017
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 1,380
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 180
  Sasa hii ndio itakayoibua wenye vyeti ambao si vyao. Maana mpk sasa bado kuna watu either wawili au watatu wanatumia cheti kimoja
   
 4. Simara

  Simara JF-Expert Member

  #43
  May 18, 2017
  Joined: Oct 1, 2014
  Messages: 2,979
  Likes Received: 7,636
  Trophy Points: 280
  Ntaenda kurekebisha mimi ni muhanga katika jina langu moja badala ya 'L' wakaeka 'R' . Tutanyooka mwaka huu duuh
   
 5. mindpower

  mindpower JF-Expert Member

  #44
  May 18, 2017
  Joined: Oct 1, 2016
  Messages: 1,061
  Likes Received: 1,153
  Trophy Points: 280
  Mkuu nmecheka!
   
 6. f

  finyango JF-Expert Member

  #45
  May 18, 2017
  Joined: Aug 11, 2016
  Messages: 1,737
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Jambo jema,zile benki wakala walikuwa wanakula hela bure tu
   
 7. mindpower

  mindpower JF-Expert Member

  #46
  May 18, 2017
  Joined: Oct 1, 2016
  Messages: 1,061
  Likes Received: 1,153
  Trophy Points: 280
  Kweli nmeamni serikali inambinu nying za kutawala kijanja!
  Wamebuni mbinu nyingne tena! Duhh!
   
 8. Cognitivist

  Cognitivist JF-Expert Member

  #47
  May 18, 2017
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 998
  Likes Received: 1,681
  Trophy Points: 180
  Mkuu cheki hiyo attached doc acha kutoa povu
   

  Attached Files:

 9. kidunula1

  kidunula1 JF-Expert Member

  #48
  May 18, 2017
  Joined: Apr 2, 2016
  Messages: 1,427
  Likes Received: 988
  Trophy Points: 280
  Kaaa hyo itasumbua watu wengi sana. Hata hivyo asante kwa info mkuu!
   
 10. The seer

  The seer JF-Expert Member

  #49
  May 18, 2017
  Joined: Jul 31, 2015
  Messages: 202
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 60
  OK.nimekupata kwa hiyo sasa hivi taarifa za nchi nzima zinatokea kishapu.maana hiyo ni ya wilaya ya kishapu.cha msingi mambo muhimu kama haya yangekuwa yanatolewa taarifa rasmi na kitengo husika yaani utumishi lakini sio taarifa za kuunga unga.mbona taarifa ya vyeti feki tuliipata bila chenga.
   
 11. MLAU

  MLAU JF-Expert Member

  #50
  May 18, 2017
  Joined: Aug 23, 2007
  Messages: 4,624
  Likes Received: 3,191
  Trophy Points: 280
  Unaweza kweli ukadhibiti mishahara hewa lakini ukaongeza ugumu wa kutatua madogo madogo ya mtumishi kuhusu mshahara
   
 12. Mahamud_2000

  Mahamud_2000 JF-Expert Member

  #51
  May 18, 2017
  Joined: Feb 8, 2014
  Messages: 201
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Yaan hilo guruwe lako ulilodhurumiwa bandarini tokea miaka hiyo hadi leo si itakuwa limezaa maguruwe mengi sana yakujaza hata ranch,,po;e kwa kadhia hiyo,,jokes.
  BOT wanayo branch mkoani Mtwara inafanya kazi,,ila kwakweli kucentralize mishahara ya watumishi kupitia BOT italeta usumbufu kwa watumishi
   
 13. l

  leaderofleaders Senior Member

  #52
  May 18, 2017
  Joined: Apr 25, 2017
  Messages: 135
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  Anakusaidiaje kama vyeti vyako vina majina mawili? Sehemu rahisi kubadilisha jina ni bank na sio kwenye payroll
   
 14. Dan Zwangendaba

  Dan Zwangendaba JF-Expert Member

  #53
  May 18, 2017
  Joined: Apr 25, 2014
  Messages: 2,054
  Likes Received: 1,929
  Trophy Points: 280
  Ndio kumuenzi Nyerere au hawajui wakifanyacho?
   
 15. barafu

  barafu JF-Expert Member

  #54
  May 19, 2017
  Joined: Apr 28, 2013
  Messages: 6,256
  Likes Received: 25,326
  Trophy Points: 280
  Asante kwa taarifa mkuu kuhusu BOT Tawi la Mtwara!!Sikuwa ninajua!!Bila shaka imefunguliwa karibuni wakati wa mihemuko ya "Gas ya Mtwara"
   
 16. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #55
  May 19, 2017
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,074
  Likes Received: 1,898
  Trophy Points: 280
  Mkuu wewe naona wa enzi zileeeee za kununua gari kwa vibali, kujenga nyumba kwa vibali, hakuna TV labda uende Zanzibar na kwenda Zanzibar hadi uwe na passport ya kusafiria.

  Mkuu ukatinga town na miguruwe 2!! Ulikuwa noma.
   
 17. m

  mwarya hamadous Senior Member

  #56
  May 19, 2017
  Joined: Oct 22, 2016
  Messages: 178
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 60
  ipo toka mwaka 2006
  Miaka 11 sasa
   
 18. barafu

  barafu JF-Expert Member

  #57
  May 19, 2017
  Joined: Apr 28, 2013
  Messages: 6,256
  Likes Received: 25,326
  Trophy Points: 280
  Mkuu enzi hizo!!Zilikuwa nyakati i ngumu sana
   
 19. Ngoda95

  Ngoda95 JF-Expert Member

  #58
  May 19, 2017
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,997
  Likes Received: 3,464
  Trophy Points: 280
  barafu awamu hii inajitahidi kuturudisha zama za Ujima, sasa hivi kila fedha ya serikali inakuwa centralized BOT.

  Pamoja na faida ambazo inawezekana wameziona lakini ukweli dhahiri uamyzi huo una disadvantages nyingi kuliko faida.

  By the way Mkuu na wewe uliwezaje kupata kiasi chote kila kikubwa cha fedha miaka ile kama sio dalili za "ukabaila"?(joke)

  Subiria Vijana wa buku 7 wale wazee wa " Chapa kazi Magu, tupo nyuma yako baba" wanakuja soon kukupinga kwa povu jingi.
   
 20. Cannibal OX

  Cannibal OX JF-Expert Member

  #59
  May 19, 2017
  Joined: Aug 27, 2014
  Messages: 2,084
  Likes Received: 2,218
  Trophy Points: 280
  Swali langu ni kwamba sasa watumishi wa umma wakitaka kukopa watakopa kupitia BOT au? Na wale Watumishi wanaodaiwa na Mabenki mbalimbali marejesho yao yatakuwaje? Na je kama hiyo mishahara ikilipwa Hazina kupitia BOT sasa mabenki mengine si yatakosa Interest Rate na hivyo faida kupungua na Wenye Hisa kwenye hayo Mabenki magawio yao kupungua? Kiuchumi hii inakuwaje siyo kama ni kuzipalalaizi hizi benki nyingine? Msaada wadau mimi bado sijaelewa huu utaratibu vizuri. Au BOT wakitoa hiyo mishahara wataipitisha kwenye hizi benki nyingine ambazo Watumishi wamefungua akaunti? Msaada Please......
   
 21. Ngoda95

  Ngoda95 JF-Expert Member

  #60
  May 19, 2017
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,997
  Likes Received: 3,464
  Trophy Points: 280
  Very unnecessary...!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...