Mishahara ya watumishi wa umma kulipwa hazina kupitia BoT | Page 4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mishahara ya watumishi wa umma kulipwa hazina kupitia BoT

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndokeji, May 18, 2017.

 1. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2017
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Wanajamii, habari za maisha!

  Serikali imeanzisha utaratibu kuanzia julai 2017 malipo ya mishahara ya watumishi wa serikali haitalipwa na hazina kupitia mabenki wakala kama ilivyo sasa bali mishahara hiyo itakuwa inalipwa na hazina kupitia BOT.

  Kwa maana hiyo majina ya kwenye payroll ya watumishi ni lazima yafanane na yale yaliyoko kwenye akaunti namba ya benki mshahara unakopita iwapo kutakuwa na tofauti yoyote hata herufi moja mtumishi anatakiwa aende bank akabadilishe ili yaweze kufanana.

  Hazina wataanza kutumia mfumo mpya wa GSPP kushirikiana na BOT. Mtumishi atayepuuza kuweka sawa hayo majina ili yaweze kuwa sawa kuna hatari ya kukoswa mshahara kuanzia July.

  Kwa hiyo jamani mfuatilie kwa afisa utumishi ili kuhakiki majina yako
   
 2. comrade igwe

  comrade igwe JF-Expert Member

  #61
  May 19, 2017
  Joined: Jan 12, 2015
  Messages: 6,878
  Likes Received: 3,510
  Trophy Points: 280
  Nenda bank warekebishe herufi
   
 3. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #62
  May 19, 2017
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,697
  Likes Received: 2,095
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nina shida hiyo kwenye payroll inasomeka J.....K....Ndebire wakati account ya benki jina ni J.....K.....Ndebile
   
 4. bwagizo

  bwagizo JF-Expert Member

  #63
  May 19, 2017
  Joined: Jan 5, 2017
  Messages: 455
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  Mkuu lina ukweli hli unalolisema ama unatka kuwatoa watu kwenye jambo la msingi?
   
 5. j

  joshua_ok JF-Expert Member

  #64
  May 20, 2017
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 5,164
  Likes Received: 3,077
  Trophy Points: 280
  Kama Hawakanushi basi ujue kweli
   
 6. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #65
  May 20, 2017
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,152
  Likes Received: 637
  Trophy Points: 280
  Mkuu serikali inamambo ya ajabu sana, ndio maana nasema akija huyu anafanyahivi akija huyu anafanya vyake...hawa watu hawaoni nchi zilizoendelea wanavyofanya?

  Wameshaanzosha NIDA inatosha kusovu shida zote hii...namba za nida hazifanani kwa raia wote wa Tanzania.. hizi ni ID nzuri sana kutumika,...nilikuwa nchi moja id namba yako ndio kitambulisho chako...na inatumika kikla pahala.. huku kwetu mara majina utata, mara vyeti utata, itakuja kuwa hata wake na waume utata
   
 7. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #66
  May 20, 2017
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,152
  Likes Received: 637
  Trophy Points: 280
  hivi mkuu anaetumia cheti cha mwingine...ana jeuri ya kuendelea nacho ili hahaimwenyewe yupo?
   
 8. erique

  erique JF-Expert Member

  #67
  May 20, 2017
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 80
  Mkuu umeandika vizuri sana, na bila shaka wewe utakuwa ni kijana wa zamani kidogo, hongera sana. Naomba nikutoe hofu kwa mambo mawili:

  1. Kwa uchumi uliopo sasa duniani, haitatokea tena kulazimisha watu kununua au kuuza dola BOT, au kwa taasisi yeyote ya serikali. Hili haliwezekani kutokana na hali halisi ya aina ya uchumi tulionao sasa, na kurudi nyuma kwenye controlled economy ni haiwezekani. Tarajia kuona uchumi wetu unasogea zaidi kuwa huru zaidi na zaidi, ambapo jukumu la serikali linabaki kuwa ni kuandaa miongozo ya ufanyaji shughuli za kiuchumi nchini, na kusimamia utekelezaji wake. Miongozo hio inapaswa kuhakikisha kuwepo kwa usawa wa mgawanyo wa faida za kiuchumi kwa wananchi wote ili kuepuka utofauti mkubwa wa kipato miongoni mwa wananchi (income inequality).

  2. Sina hakika na taarifa za mishahara kulipwa kutokea BOT, na endapo taarifa hizo ni za kweli, uamuzi huo hautaleta athari zozote kwenye sekta ya kibenki nchini, isipokuwa utaleta ufanisi mkubwa kwenye shughuli za serikali, na kuwapunguzia mzigo na gharama benki za biashara.

  Kwa utaratibu wa sasa, ni kwamba serikali anapotaka kulipa mshara, fedha za mishahara ya wafanya kazi zinaingizwa kwenye account mbali mbali za benki za biashara zilizopo BOT, (yaani accounti ya CRDB, NBC, NMB e.t.c.,) halafu benki za biashara zenyewe ndio zinafanya kazi ya kuingiza mishahara hio kwenye accounti moja moja ya kila mfanyakazi wa serikali.

  Kwa utaratibu huo mpya unaosemwa hapo na mtoa mada, ni kwamba, serikali itakapokuwa inataka kulipa mishahara, BOT atakuwa anapeleka fedha moja kwa moja kwenye account ya kila mfanya kazi wa serikali, na hizi accounti za hawa wafanyakazi zipo huko kwenye benki za biashara, kwahiyo hapa benki za biashara Itakuwa zimeondokana na mzigo wa kufanya kazi ya kugawanya mishahara kwenye accounti za wafanyakazi, na kazi hio sasa itafanywa na BOT.

  Faida ya zoezi hilo, ni kwamba kutakuwa na uwezekano mkubwa wa wafanyakazi wa serikali kupata mshahara kwa wakati mmoja. Yaani kama serikali akimwambia BOT alipe mshahara tarehe 27, basi accounti zote za wafanyakazi zitapokea mshahara siku hio.

  Faida nyingine tutazijadili hapa muda ukipatikana....
   
 9. Mkali Mapanga

  Mkali Mapanga Senior Member

  #68
  May 20, 2017
  Joined: May 17, 2017
  Messages: 101
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Si kweli
   
 10. DUBULIHASA

  DUBULIHASA JF-Expert Member

  #69
  May 20, 2017
  Joined: Nov 26, 2016
  Messages: 1,848
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Hivi hii serikal huwa inamlipa kila mfanyakaz wake milion mia 800 kila mwezi?????? Maana huku kupelekana puta km mbio znazowajumuisha Waethiopia na Wajamaika kunakera sana.
   
 11. choikan

  choikan JF-Expert Member

  #70
  May 20, 2017
  Joined: Jun 23, 2016
  Messages: 372
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  Mimi kwenye payroll walibadilishia jina la katikati badala ya Jacob nkawekewa Raymond nimeishaangaika hadi mahakamani na kuapa jamani hili jina sio langu ,langu ni hili lakini bado kwenye salaryslip zangu linajitokeza , sijuhi ni uzembe wa maafisa utumishi yaani sielewi.
   
 12. hiram

  hiram Senior Member

  #71
  May 20, 2017
  Joined: Aug 1, 2013
  Messages: 140
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 60
  GURUWE ni PIJOT FAIVOFOO
   
 13. M

  MWANDENDEULE JF-Expert Member

  #72
  May 20, 2017
  Joined: May 24, 2015
  Messages: 2,421
  Likes Received: 2,302
  Trophy Points: 280
  Wenye vyeti vya taaluma vyenye majina mawili tujiandae kisaikolojia na ikibidi tuweke chakula cha kutosha plus petrol maana msoto tunaoenda kuupata si wa kawaida
   
 14. Poise

  Poise JF-Expert Member

  #73
  May 20, 2017
  Joined: May 31, 2016
  Messages: 7,492
  Likes Received: 7,436
  Trophy Points: 280
  Utakuwa umeisha someshwa namba.

  Zaidi, weka mchakato wa kwenda benki ubadilishe majina yawe sawa
   
 15. msem

  msem JF-Expert Member

  #74
  May 20, 2017
  Joined: Nov 7, 2015
  Messages: 1,780
  Likes Received: 1,403
  Trophy Points: 280
  Mkuu umeongea vizuri sana hapa.
   
 16. Poise

  Poise JF-Expert Member

  #75
  May 20, 2017
  Joined: May 31, 2016
  Messages: 7,492
  Likes Received: 7,436
  Trophy Points: 280
  Itakuwa ndiyo kwisha habari yako.
  Aliyekutuma ukubaliane na bank hizo habari kuongeza jina nani!?

  Mimi nilikataa huo ujinga wa Benki, kutaka majina matatu maana niliisha ona msala Kama huo kitaa.

  Benki ni wapuuzi sana wanapohitaji hela, huwa hawaangalii matatizo yako ya badae.

  Nenda Benki ulekebishe.
   
 17. corasco

  corasco JF-Expert Member

  #76
  May 20, 2017
  Joined: Jan 17, 2016
  Messages: 2,048
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280
  Wasituchanganye hawa walipe watu stahiki zao waache ujanja ujanja
   
 18. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #77
  May 20, 2017
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45

  safi sana mkuu kwa attachment nafikiri atakuwa amekuelewa.
   
 19. M

  Makusudically JF-Expert Member

  #78
  May 20, 2017
  Joined: Feb 3, 2014
  Messages: 1,910
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Akili zako zina Uvimbe, badala ya kuhangaika na maisha yako yenye dhiki unahangaika na upuuzi. Wewe ni Lichadema nini? Mbona hujahoji Elimu ya Mbowe?
   
 20. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #79
  May 20, 2017
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,289
  Likes Received: 1,739
  Trophy Points: 280
  Kama una joint account ya mume na mke?! Mbona kila uchao matamko?
   
 21. South

  South JF-Expert Member

  #80
  May 20, 2017
  Joined: Jan 11, 2016
  Messages: 2,997
  Likes Received: 3,727
  Trophy Points: 280
  Naona tunarudi nyuma kwa kasi ya 4G
   
Loading...