Mishahara ya watumishi serikalini mwezi huu kunani?

Hakuna investment za hivyo duniani sema ni uvivu wa kujishughulisha unaempa hyo hela yy anafanyia nn hadi akupe ww faida and y could u do yourself hyo investment
ok mkuu, ila watu wanaogopa kukaa na fedha na biashara hawana uzoefu nazo,kuna ponzi (pyramid) scheme iko SA ya warusi serikali ya SA ilikuwa ina mpango wa kutaka kuifunga
 
Ndoo maana tunasema mjifunze entrepreneurishp mapema ukiwa kijana uwe na uthubu kufanya mambo at a tym try to take risks ukishindwa ndo mwanzo wa kujifunza ifanye kaz ya serkar kuwa platform tu sio ung'ang'anie kwenye kaz ya serikar tu hata kama mshahara wanakupa mil 10 jiandae kuwa maskin uzeen ndo maana utakuta mtu alikuwa mmbunge leo hata guta hana shem on them
 
ni kweli mkuu
 
Kuna mtu alipata pension million 60 kwa uvivu wa kufikili akapeleka dec kupanda mbegu ilipogoma kuota na wale wachungaji kulula mbele alikosa hata hela ya kununua kamba ya kujinyongea akaishia kuwa chiz tu bora ukose mali upate akili rip BANZA STONE
umenichekesha sana mkuu, milioni 60 zote kapanda DECI? [emoji1] nadhani angestaafu mwaka huu huyu mtumishi mafao yake angejiunga na RIFARO AFRICA!!!!
 
hahaaa, watu kama hawa hawaezi kusimama peke yao kabisa, wakistaafu hata yale mafao wanayopewa wanashindwa cha kuyafanyia wanabaki masikini tuu
mkuu usimlaumu,asilimia kubwa ya wafanyakazi,wana kipato kisichozidi 300,000/-kwa mwezi,hebu niambie utaibajeti vipi wakati una at least watoto wawili wanasoma,kula mwezi mzima,magonjwa,mavazi,msaada kwa ndugu na jamaa,kama mnywaji wa angalau chibuku nk,halafu baadhi ya makampuni hupata mshahara kati ya 22-25,ndio maana wengi wanalalamika kuwa umechelewa,kwani ni more than 30days
 
Huna plan b
 
Back
Top Bottom