Kumbe wewe BADILI TABIA unawaongelea irresponsible husbands/men?
Sie wenzeko na akili zetu hatuwezi kuwajadili vichaa wasiookota makopo!
Babu DC!!
huyo mwanamke wewe umemuoa ili umtunze na kumpatia mahitaji yake yote hata kama anafanya kazi. Pesa yake including mshahara ni mali yake na huna mamlaka yoyote juu yake. Ukitaka uanze kujisikia inferior kwa mkeo anza kumtaka mkeo achangie matumizi/mahitaji ya kwenye nyumba yako. Halafu mwanaume kidume kweli haangaiki na pesa ya mke wake!!!!!
Hali inayokutokea unaposhindwa kutimiza wajibu wako kama baba mwenye nyumba. Hicho kitu mzee wangu nimekiandika kwa kuwa kilinitokea mimi mwenyewe. Huna hela, ndani hakuna chochote na watoto wanalia njaa. Unajua kabisa mama ana hela lakini kwa utaratibu wake hachangii au kukusaidia wakati upo kwenye msoto kama huo.Mkuu, hako ka-neno hapo kwenye red kana-apply vipi wakati watu tumeshamuwowa..??sasa kama anachoenda kufanya kazini hakina faida kwa familia si bora akae tu home tumhudumie? manake kazini nako kuna risk za aina nyingi huko,,mara bosi anataka naye kuonja,,mara kashikwa na yule...hizi risk tunazichukulia poa tukiamini kuwa analofanya lina mchango chanya kwenye familia yetu,,ama sio?
Mbona unaangalia upande mmoja?
Una maana wanawake hawabadiliki toka uchumba, early marriage, menopause hadi mwisho??
Hebu kuwa fair basi BT!!
hii sredi hii na ile ya MadameX mwisho wa siku tutatoana macho humu
kama walivosema wengine tusijadili kwa kuangalia jinsia, tuangalie uhalisia. Maisha yamebadilika, tamaduni zinabadilila. wanawake wengi wamesoma siku hizi, na wana mishahara mikubwa na vipato kuliko wanaume.
Kwa upande mwingine maisha ya kuishi mijini (sio kijijini ambapo kuna kulima, kuchunga nk) yanataka kwamba kila kitu ni pesa.....hakuna namna nyingie.
Unless mwanamke anataka kuibomoa nyumba yake mwenyewe kwa upumbavu wake, hawezi kung'ang'ania kwamba chake ni chake na cha mume ni cha wote!
Babu Dc umeniwahi sijui kwa nini............Nami nilitaka kusema hivyo hivyo..........Kwangu hii sredi sitachangia Kaizer amemaliza kabisa.Nimesoma hii tu mkuu Kaizer. Sitasoma post nyingine na siwezi kuongeza kitu. Babu DC!!
Wakuu,
Hebu na tu shee Experience zenu especialy nyie wenye wake wanaofanya Kazi namna Pato linavyokuwa Distributed Home.
Nataka ku Draw Bonge moja la Conclusion hapa Kwangu
bold ya kwanza kusema ukweli wala sitakubali ifike aadhirike mie straika wake nipo lakini ndo wasijisahau!hahahahahaha snowhite kwani mie nina tatizo na kushare cost? Sina tatizo hata, ila Mume asisahau nafasi yake kama kiongozi....
In reality hata mume akianguka kama mkewe na namshika mkono, aibu yake aibu yangu, anguko lake anguko langu .....
Ninachopinga ni kupitiliza, kuna wanaume wengine hajui hata msosi unatoka wapi sasa uanaume uko wapi?
Wengine hata uniform za watoto hawajui ukihoji atakwambia cost sharing, hizo sharing ni kwa mke tu mbona nyumba ndogo wanatapanya?
Nikupe mfano hai kuna mtu walikuwa na joint akaunti na mumewe, mke hakuwahi kuzoa hela kwenye ile akaunti..mwanzoni woze walikuwy wanacontribute wanaweka hela (akaunti ilikuwa mahususi kwa emergency, shurti hakuna kutoa kati yao) ikaanza taratibu mume akaacha kupeleka pesa..... Mke kuuliza mume haeleweki, kumbuka hapo hawajengi wala hawajanunua kitu, mke akaendelea kuweka (bahati ana kipato kizuri) siku ya a siku mke kuuliza balance almanusra amneep israeli hela ilivyokombwa (akaunti ilikuwa any one to sign, hivyo mume au mke aliweza kuchukua bila uhitaji wa mwenzie) kupeleleza mume ana nyumba ndogo kainunulia gari na kiwanja, kwa hela ya mkewe..... mke akaamua kukomba hela zote akaingiza kwenye akaunti yake kimya kimya.....
Sasa kwa hali kama hii mke atataka kuchangia?
Uswazi huku mara ngapi tunaona mume kahangaika na mkewe maisha yakiwa mazuri anamfukuza mke na wanae?
Wanaume wangapi mke anashindia ugali na mchiche yeye anahonga na kuzoa ofa?
Wnawake wameshtuka banaaaa
kabla ya cost sharing inabidi utagakari kwa tabia za mume wangu hatokuja kuniumiza? Akiona utakuja muumiza hela yake hushiki ng'ooooooooooooooooooooooooo
pacha bora umekuja!Hii thread kwa kweli imenifundisha kuwa usawa uko mbali sana kwenye ndoa aisee..Unless labda tunachoandika humu hatukimaanishi. Na kitu ninachojaribu kukiona ni ile 'Dhana ya Mwanaume ni Kichwa cha Familia' kutumiwa vibaya..Binafsi bado naamini mwanamke kuchangia kwenye basket fund ya ndoa hakumuondelei baba ule ukichwa wake..Kitakachomuondolea ule ukichwa ni jinsi atakavyosimamia 'mapato na matumizi'..Anaweza kuwa hamshirikishi mke lakini bado akawa na matumizi ya hovyo tu..na yakukera pia!
Lakini jingine nadhani kabla ya yote ni muhimu mwanamke kujiuliza upo kwenye ndoa kwa ajili gani??..Lazima iwepo tofauti kati ya Mke na Housegirl..manake ninavyoona hapa mke naye anataka awe mtu wa kupewa tu....yaani anataka kujiweka kwenye position ya uhausigeli..This is not fair!!..Mwanamke aonyeshe naye ana 'stake' kwenye ujenzi wa familia yake..msiishie kunyonyesha tu watoto..jitahidini mchangie hata 'financially' kama mna vipato pia. Vinginevyo na smell harufu ya ndoa ambazo ni za 'kuviziana'..yaani mtu anawaza asije akafa akaniletea matatizo..na ukitangulia wewe??..lol!!
pacha bora umekuja!
mi ugomvi wangu kwa wale wanaowaachia majukumu wake zao kisa wana fanya kazi,na wala sio siri hili wanaume wanalifanya sana!sasa jamani tusipotumia pesa zenu tukatumie za nani?nyie mwageni mihela siye si ndo wadau wakuu twazitumia,zetu ni za kununulia karoti na less wig au we unaonaje pacha!af nilisahau kukusalimia!mambo?dom wazima?
Mie sijambo pacha wangu na dom fresh tu aisee..
Ukute mfano wewe ndo una kipato kikubwa kuliko mumeo..utasubiri adundulize ndio mnunue kibajaji alimradi zako unawapelekea wamasai..lol. Wakati mwingine inabidi mpange maisha kwa kuangalia mbele zaidi. Maisha yanaenda kasi sana aisee..
Kujua maendeleo ya mke wangu ni moja ya majukumu yangu kwahiyo kutofatilia mashahara wa mke wangu unafanya shughili zipi ni kukwepa majukumu pia.Hahahaha pesa za mkeo wewe mwanaume za nini?hizo ni dalili za kukwepa uwajibikaji..mambo ya kutunza mke na familia ni la kwako aisee acheni kukwepa majukumu nyie wanaume wa dot com
hapana ila nataka hata hico kidogo ukilete tukitumie sio ndo uchukulie poa tu!nunua hata sukari kilo kumi lete home,kwani mkeo si anajua mume ana kipato kidogo,shida ni pale mtu ana kapto na bado anataka muke yake ifanye mabo yote home anhhha hiyo haikubaliki!kufanya kazi sio ndo sababu ya kuwaachia majukumu kinamama,kwanza huwa mna msemo wenu wenyewe,eti we wife hela yako itumike kwa msosi na mambo mengine ya ndani mi yangu ni ya kujenga na mambo mengine makubwa makubwa!
pacha unajua matumizi ndani ni makubwa sana kuliko mnavoyatazama?hizo za less wig ni kamfano tu lakini bado mwananmke ana haki ya kuhudumiwa na mumewe hata kama anafanya kazi!tufanye joint sawa lakini nikitaka zile hela za kudeka pia nipewe sio uso wa mbuzi tu kisa nafanya kazi!
ila wanaume wa siku hizi...ajabu kweli
mwanaume wa ukweli anaona fahari kumuhudumia wife, sio kulalamikalalamika...si ndio maana yeye ni wife na wewe ni mume?..hivi mkeo akiomba kulipwa kumnyonyesha mwanao utaweza kumlipa? ni mara ngapi mke wako anakesha usiku kuhudumia watoto wakati wewe umechapa usingizi ( na asubuhi anatakiwa aende kazini km kawaida)...ukiambiwa ulipie hizo night utaweza?
wewe na wife wote mnafanya kazi, lakini jioni wife anawahi kuangalia wtt na kuandaa mazingira mazuri hm lkn ww mume unapitia baa kupoteza muda, ukifika hm kila k2 kipo kwenye order...lkn hata kumhudumia pia unashindwa(japo huwezi lipa fadhila ya wife anayokufanyia ww na watt)
pamoja na majukumu yoooooooooooote ya wife magumu, bado tena unambebesha mzigo wa financial obligation, huoni aibu?
nafikiri kwa mtindo huu sasa itabidi wanawake tubadilike, kama ni kugawana majukumu basi tuanze na malezi ya wtt,(hata martenity kwa zamu, mume abaki hm kulea mm aende kazini) jikoni, usafi n.k..majukumu ya nyumba sio hela tu..........TUGAWANE SAWA KILA K2...muone km hamjapiga goti wenyewe kuomba yaishe
Ulimuuliza kapata masaibu gani?
can you prove that? unahisi tu kwa sababu bwana wako anarudi late night bas unafkir wote tunarudi late hours. kujilipia nauli ya kwenda kazini kwake kwa mshahara wake kamwe sio zigo la financial obligation as you call it!