kipato ni mazungumzo na makubaliano, Mke anaweza kukubali au kukataa, inategemea na mnavyokubaliana, kumbuka wewe ni kichwa cha familia, (hii kimjini mjini)
(kiuhalisia ) inazegemea vila mtakavyopanga na jinsi mlivyojijenga toka mwanzo......
(ushuhuda)
1. Mnaweza kuamua mama atunze familia na mshahara wa baba ukatumika kwenye ujenzi (ila hutegemea nani ana kioato kikubwa)
2. Au mkagawana majukumu kuchangia sawa kwenye shughuli za maendeleo
3. Au kwa wanaumme ambao hawataki kutumia pesa za wake zao kutegemea na male ego zao, mshahara wa mke hajihusishi nao, atajua jinsi ya kuutumia ashimdwe mwenyewe..
4. Kuna ambao mambo makubwa hufanya mume kama ujenzi, ada, misosi, nk na mambo madogo ambayo huwa ni mengi ndani ya nyumba na yanayokula fedha kidogo kidogo kwa wingi anacover mke kama nguo za watoto, mume hg, matatizo
ya ndugu wa mke na mume, sukari, chumvi, sokoni, mboga, umeme, maji, hg, mlinzi, shambaboy, n.k
ZINGATIO
pangeni vile mpendavyo na mnavyoona inawafaa, kutegemeana na malengo yenu na kipato cha kila mmoja na majukumu ya pande zote mbili... Ila Kumbuka mpange muwezavyo bado jukumu la kumpendezesha mkeo ni lako, hela ya saluni, perfume nk loh......uanaume kazi...