Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,635
Parefu Aisee!Acha Niingie Kwenye Siasa!
Mkuu mi sina facts lakini naona kama umetudanganya. Mkuu si alisema salary yake ame reduce mpaka 9million per month we hapo umeandika 35million

Fungua "mywage" badala ya kumshambulia. Kwani si amesoma na kuandika kama wengine tu.? Unadhani Ikulu hawajasoma hiyo kitu?Acha upumbavu mtoa mada. Hivi hivi hujikuta mkishughulikiwa. Japo siiungi mkono serikali ya JPM na vilevile hata kwa wewe mtoa mada najua hukubaliani na serikali ya mheshimiwa lakini kabla ya kutoa taarifa zozote fikiria athari zake.
Kwa huo mshahara alipangwa kipindi cha hawamu hii?Rais muongo alafu anakwambia mniombee.......
Uzalendo uchwara.......
Ila kila wanne mmoja atatoka kumtetea sitashangaa...........
Hapa utawakamata wajinga wengi sana calibre ya bavicha.Mishahara hii imebadilishwa kwa fedha za Kitanzania (TZS).
1. John Pombe Magufuli
5th President Tanzania
Born: Tanzania 1959
Married
Children: 5
Annual: TZS 422,136,637.00
Monthly: TZS 35,178,053.00
Weekly: TZS 8,118,012.00
Daily: TZS 1,156,539.00
2. Robert Mugabe
President Zimbabwe
Born: 1924 Zimbabwe
Married
Children: 3
Annual: TZS 237,451,858.00
Monthly: TZS 19,787,655.00
Weekly: TZS 4,566,382.00
Daily: TZS 650,553.00
3. Uhuru Kenyatta
President Kenya
Born: 1961 Kenya
Married
Children: 3
Annual: TZS 352,435,114.00
Monthly: TZS 29,369,593.00
Weekly: TZS 6,777,598.00
Daily: TZS 965,576.00
4. Ellen Johnson Sirleaf
President Liberia
Born: 1938 Liberia
Children: 4
Divorced
Annual: TZS 197,876,549.00
Monthly: TZS 16,489,712.00
Weekly: TZS 3,805,318.00
Daily: TZS 542,128.00
5. Jacob Zuma
President South Africa
Born: 1942 South Africa
Married
Children: 20
Annual: TZS 598,026,903.00
Monthly: TZS 49,835,575.00
Weekly: TZS 11,500,517.00
Daily: TZS 1,638,430.00
6. Alpha Condé
President Guinea
Born: 1938 Guinea
Married
Children: 1
Annual: TZS 48,369,823.00
Monthly: TZS 4,030,819.00
Weekly: TZS 930,189.00
Daily: TZS 132,520.00
7. Archibald Lesao Lehohla
Lesotho's Deputy Prime Minister and Minister of Home Affairs and Public Safety and of Parliamentary Affairs
Born: 1946 Lesotho
Married
Children: 2
Annual: TZS 52,923,195.00
Monthly: TZS 4,410,266.00
Weekly: TZS 1,017,754.00
Daily: TZS 144,995.00
8. José Eduardo dos Santos
President of Angola
Born: 1942 Angola
Married
Children: 7
Annual: TZS 178,253,791.00
Monthly: TZS 14,854,483.00
Weekly: TZS 3,427,958.00
Daily: TZS 488,367.00
9. Yayi Boni
President of Benin
Born: 1952 Benin
Married
Children: 5
Annual: TZS 64,386,830.00
Monthly: TZS 5,365,569.00
Weekly: TZS 1,238,208.00
Daily: TZS 176,402.00
10. Edgar Lungu
President Zambia
Born: 1956, Ndola, Zambia
Married
Children: 6
Annual: TZS 123,123,186.00
Monthly: TZS 10,260,265.00
Weekly: TZS 2,367,754.00
Daily: TZS 337,324.00
11. Abdul Fattah Al Sisi
President Egypt
Born: Egypt 1954
Married
Children: 4
Annual: TZS 158,301,239.00
Monthly: TZS 13,191,770.00
Weekly: TZS 3,044,255.00
Daily: TZS 433,702.00
12. Joseph Kabila
President of the Democratic Republic of the Congo
Born: 1971, Fizi, Congo-
Léopoldville
Married
Children: 1
Annual: TZS 114,761,802.00
Monthly: TZS 9,563,484.00
Weekly: TZS 2,206,958.00
Daily: TZS 314,416.00
13. Paul Kagame
President Rwanda
Born: 1957 Rwanda
Married
Children: 4
Annual: TZS 186,883,407.00
Monthly: TZS 15,573,617.00
Weekly: TZS 3,593,912.00
Daily: TZS 512,009.00
14. John Dramani Mahama
Born: 1958 Ghana
Married
Children: 7
Annual: TZS 167,095,752.00
Monthly: TZS 13,924,646.00
Weekly: TZS 3,213,380.00
Daily: TZS 457,797.00
15. Filipe Nyusi
President Mozambique
Born: 1959 Mozambique
Married
Children: 4
Annual: TZS 104,434,845.00
Monthly: TZS 8,702,904.00
Weekly: TZS 2,008,362.00
Daily: TZS 286,123.00
16. Macky Sall
Prime Minister Senegal
Born: Senegal 1961
Married
Children: 3
Annual: TZS 32,849,706.00
Monthly: TZS 2,737,475.00
Weekly: TZS 631,725.00
Daily: TZS 89,999.00
17. Yoweri Museveni
President Uganda
Born: 1944 Uganda
Married
Children: 4
Annual: TZS 28,582,168.00
Monthly: TZS 2,381,847.00
Weekly: TZS 549,657.00
Daily: TZS 78,307.00
18. Paul Biya
President Cameroon
Born: 1933 Cameroon
Married
Children: 3
Annual: TZS 1,341,163,274.00
Monthly: TZS 111,763,606.00
Weekly: TZS 25,791,601.00
Daily: TZS 3,674,420.00.
Source: www.mywage.co.za.
Sasa umeona .co.za ndo umeamua kuamini?? Dude, you are hopeless.You're barking at the wrong tree, waliokusanya data sio mimi ni www.mywage.co.za.
Ila wakwetu kwakweli hata alipwe Billion 1 per month mimi sijali anautendea kazi mshahara sio fisadi wala hana hiyo kitu.
Miongoni mwa wanaougua ugonjwa wa akiliIla wakwetu kwakweli hata alipwe Billion 1 per month mimi sijali anautendea kazi mshahara sio fisadi wala hana hiyo kitu.
Ndo maana nimesema hapa kuna mataahira watakamatwa kwa sababu ya kuingia mazima. What has happened to common sense??life sio Fair kabisa
Huku kuna viumbe vinalalamika Mikopo
Huku kuwa watu wanalipwa mamilion ya mijifweza
Acha upumbavu mtoa mada. Hivi hivi hujikuta mkishughulikiwa. Japo siiungi mkono serikali ya JPM na vilevile hata kwa wewe mtoa mada najua hukubaliani na serikali ya mheshimiwa lakini kabla ya kutoa taarifa zozote fikiria athari zake.
Mapovu ya nini nani kakulazimisha kuamini, sepa kimya kimya.Ndo maana nimesema hapa kuna mataahira watakamatwa kwa sababu ya kuingia mazima. What has happened to common sense??