Mishahara ya marais wa Afrika

Mishahara ya marais wa Afrika

Ndo maana nimesema hapa kuna mataahira watakamatwa kwa sababu ya kuingia mazima. What has happened to common sense??
Vichaa wote, ukimuuliza kama ni kichaa atakataa, huamini ana akili kuliko walio wazima. Kati ya aliyeileta taarifa na wewe unadhani nani hana akili?

Hizi ni taasisi ambazo hukusanya taarifa mbalimbali, unataka tuzisiamini halafu tukuamini wewe unayejibu hoja kwa hisia bila viambatanisho vyovyote.

Mwandishi ameweka chanzo cha taarifa yake. Kama wewe una chanzo kingine, kiweke hapa ili tujadili hizo contradictions, kama zipo.
 
Back
Top Bottom