Mishahara ya marais wa Afrika

Mishahara ya marais wa Afrika

Wa kwetu si walisema anapokea mil 7 , halafu mil 4 analipa kodi !
 
Kweli humu JF kuna kizazi cha nyoka na Wagalatia pia.

Hapo alichoeleza ni FACTS.

Fungua hiyo link ya "www.mywage.co.za."

Then nenda "salaries"

And then fungua "african politician salaries". Hapo kila kitu kimewekwa wazi.
Mtoa mada yupo sahihi labda kama kuna error kwenye currency conversion.

Mkuu anatudanganya sana.
 
Kama data ni za uongo basi wamiliki wa website washitakiwe nasio kumrukia mleta mada.
 
Kwa akili yako unafikiri data hizi zimekusanywa na Chadema.
Swala si nani kakusanya data swala ni kwamba aliyeleta mada kaleta kiitikadi zaidi bila kujithibitisha kama data zipo authentic. Ukileta mada kishabiki kwa wenye akili timamu si ngumu kugundua umeelemea wapi kiitikadi ndiyo maana watu wanadhani wewe ni CHADEMA.
 
Kweli humu JF kuna kizazi cha nyoka na Wagalatia pia.

Hapo alichoeleza ni FACTS.

Fungua hiyo link ya "www.mywage.co.za."

Then nenda "salaries"

And then fungua "african politician salaries". Hapo kila kitu kimewekwa wazi.
Mtoa mada yupo sahihi labda kama kuna error kwenye currency conversion.

Mkuu anatudanganya sana.
Fact kwa mtu mvivu kama wewe lakini kwa wenye akili timamu hawadanganywi na vi website uchwara vya south Africa.
 
Kweli humu JF kuna kizazi cha nyoka na Wagalatia pia.

Hapo alichoeleza ni FACTS.

Fungua hiyo link ya "www.mywage.co.za."

Then nenda "salaries"

And then fungua "african politician salaries". Hapo kila kitu kimewekwa wazi.
Mtoa mada yupo sahihi labda kama kuna error kwenye currency conversion.

Mkuu anatudanganya sana.
Kukusaidia kama hao waongo wameweka Obama anapata equivalent na dollar laki 4.kwa mwaka mshahara ambao ni kweli halafu waziri wake wa nje Clinton anapata equivalent na dollar milioni sita kwa mwaka. Jiulize kama wwmeshindwa kuweka ukweli mshahara ambao si wa siri wamewezaje kupata mishahara ya kina mugabe ambayo ni ya siri?
 
Swala si nani kakusanya data swala ni kwamba aliyeleta mada kaleta kiitikadi zaidi bila kujithibitisha kama data zipo authentic. Ukileta mada kishabiki kwa wenye akili timamu si ngumu kugundua umeelemea wapi kiitikadi ndiyo maana watu wanadhani wewe ni CHADEMA.
Kujadili jambo siyo lazima liwe la kweli, hata lisilo la kweli hujadiliwa then conclusion hufikiwa.

"How Europe undeveloped Africa" Disicuss. Sentensi hii haina jibu la yes or no.

Halafu kuleta kiitikadi ndiyo kitu gani au wewe ndiye unawaza kiitikadi, otherwise utakuwa na tatizo.
 
Uwongo utajadiliwaje? nimeweka kiitikadi sababu moja kubwa ukiona habari hata iwe nzuri kiasi gani ukiona ina walakini na wewe ukaileta hapa ukijua fika itajadiliwa zaidi kiitikadi basi lazima tujiulize kilichokusukuma kuileta hii habari hapa na jibu lake litakua kiitikadi. Na umefaulu kwa hilo ila tatizo ni moja kuna wengine hua tunajaribu ku research hizo source. kama nilivyokuambia nilitaka kukuamini ila hiyo source yako ni majanga sana. uki search katika kila kona ya internet huwezi kupata mishahara ya viongozi wa Afrika ya ukweli zaidi ya kubambikiwa tu maana nimekuuliza hapo juu unieleze kama unaufahamu mshahara wa mbunge wako zaidi ya marupurupu wanayoyapata jibu sijapewa mpaka sasa itakuwaje ujue mshahara wa rais???? jaribu mara ijayo kuleta mada kama hizi lakini ufahamishe jamii kama huna uhakika na source hivyo huwezi kushitakiwa ama ulaumiwa. Hujaona CNN ama BBC wakileta video za ISIS huwa wanasema onyo "HAZIJATHIBITISHWA"
 
Hahahaa eti uongo huwa haujadiliwi, kwa hiyo mada zote humu ni za ukweli, hata topic ya "rais ni dikteta uchwara" ni ukweli?

kama unajua data ni za uongo wakati umesema uongo huwa haujadiliwi, kwa nini unaendelea kujadili, poor you, tuendelee kujadili.
 
Nilijitahidi ni kukueleza kuwa kila mara usipende kukurupuka uwe wa kwanza kuleta mada ati sababu umeiona katika internet na zaidi ya hapo nimefurahi kwamba umekubali kuwa hii habari yako haina ukweli wowote maana zaidi ya kuleta hoja tofauti hujaitetea kama ni ya kweli. Hilo nimefurahishwa nalo mwisho nimejitahidi kujadili hili ili nikuelimishe kidogo maana ulichokifanya ni kukurupuka ulipoona kuna majina ya kina Mugabe ukadhani kuna ukweli humo lakini kama ungeingia deep usingeleta hii habari hapa. Naomba nisikukatishe tamaa kama uliileta hii habari kwa nia njema mara zote ukiona kuna lolote lile ambalo unadhani lina ukweli ndani yake usisite kulileta hapa maana hata kama unalifahamu nusu nusu kuna watu watakusaidia kuliweka sawa.
 
Huna lolote, nitaendelea kuziamini kuwa ni data za kweli hadi hapo utakapotuletea unazosema za kweli, kama huna you better keep quiet.
 
Ila wakwetu kwakweli hata alipwe Billion 1 per month mimi sijali anautendea kazi mshahara sio fisadi wala hana hiyo kitu.
granted.

nadhani lengo la mada ni kutaka Watanzania tuambiwe ukweli kuhusu mshahara wa Rais wetu.

kama uthibitisho verified hautatolewa, watu wataendelea kusambaza upupu tu hivi hivi - iwe wa kweli au si kweli!
 
Rais wa Angola amfikii Magufuli kwa mkwanja kweli?hizo fact ni za URONGO
 
Back
Top Bottom