Mishahara ya marais duniani


Rais wa Afaghanstan hizi ni dollar za kimarekani 500 au elfu tano? au wamekosea
Rais wa Iran dollar 250 naona haya makosa ya data,250*1600=400,000 za pesa za madafu
 
Ndio uhalisia,hujawahi soma makala za ahmadinejad yeye hata chakula ofisini analetewa na mke wake,nyumba anayoishi aliijenga kabla ya kuwa kiongozi wa serikali.
Rais wa Afaghanstan hizi ni dollar za kimarekani 500 au elfu tano? au wamekoseaRais wa Iran dollar 250 naona haya makosa ya data,250*1600=400,000 za pesa za madafu
 
Wananchi wana haki ya kujua mshahara wa rais wao coz kama wanampatia pesa kidogo tutaomba aongezewe,hebu angalia kenya,at least rais wetu apate dola laki 2 na nusu hadi dola laki 3 ama 4 sawa tu
Wapi mshahara wa Rais wetuJk
 
Anazidiwa mshahara hata na meneja wa vodacom
lakini si yeye tu mwenye kiasi kidogo!hata waIran na afganistan nao wana mshahara wa chini ya Mugabe ila yeye rangi ya maandishi haijabadirika!
 
Jacob Zuma - President South Africa - Born: 1942 South Africa - Married - Children: 20

  • Annual: USD 313,222.00
  • Monthly: USD 26,102.00
  • Weekly: USD 6,264.00
  • Daily: USD 1,253.00
Huu mshahara unamtosha kweli huyu jamaa kwa hii familia ya watoto 20??
 
viongozi wa kiafrika data zao zilizo wazi mishahara inaonekana midogo, kumbe wana ile ya pembeni ambayo unakuta daily 23,000 USD
 
mh! huo wa rais wa tz sipati naona ni mapichapicha tu! ufisadi mwingi so mshahara wenyewe UNA-VARY!
 
mkapa aliondoka na mshahara wa milioni 66per month nadhani ------ since 2005 itakuwa imeshafika milioni 100 na ushee kwa mwezi kama sio 200 kabisa!. mleta thread hebu tuletee na mshahara alioondoka nao kibaki watu washangae vizuri.
 
S o itakuwa:
Jakaya Mrisho Kikwete-President of Tanzania:Born 1951 or 53,Tanzania-Married-Several wives-Children-Several
.Annual: USD 360,000
.Monthly:USD30,000
.Daily: USD 1,000,
Kwa mujibu wa Kibanga Ampiga Mkoloni.
Inasemekana ni 48 Mil.
 
NAMSHUKURU mleta Uzi, amenisaidia sana, kumbe mishahara ya Marais ni Kidogo hivyo, Nchi Kama Marekani Raisi Monthly anachota 33,333 hiyo ni gross Bado net pay ambayo baada ya makatokato ya Uzeeni possibly anabaki Na 25,000 usd, kitu gani Kwa linchi kubwa Kama Hilo, hapo anatakiwa awasomeshe Watoto wake, nguo zake, amfurahishe Michelle, achangie JF Kama ni member, Obama atabaki Na nini, true Kwamba Usafiri, house, bill zote, Na mengine analipiwa Na state lakini amana yake ni kiduchu sana, nakubali Kwamba Urais ni Utumishi SIO KIPATO, waNaogombea uongozi wa Nchi Kwa shinikizo la njaa zao Basi hapa wapate SOMO. HAKUNA FEDHA KWENYE SIASA NI UTUMISHI TU..
 
Kwetu bongo viongozi wa kisiasa wanalipwa vizuri kuliko watalamu..Hii ndio bongo bwana.
Sasa nimeanza kupata picha ni kwa nini rais wa Iran anakubalika sana kwa watu wake.
 
S o itakuwa:
Jakaya Mrisho Kikwete-President of Tanzania:
.Monthly:USD30,000
.Daily: USD 1,000,
Kwa mujibu wa Kibanga Ampiga Mkolo. nO HUO NI MSHAHARA WA BOSI WA TANROADS, C.A.G, TRA, TPA, MWAMUNYANGE, OTHMAN, N.K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…