Mishahara ya Geita Gold Mine Limited (GGML)

Mishahara ya Geita Gold Mine Limited (GGML)

Security officer GGM kwa sasa ni around 2 milion. Ila inategemea na unaajiriwa kwa CV ipi inaweza kupanda au kushuka.
Mgodini maana kuna security officer form four leaver na hata mgambo hajapitia
Mkuu, una connection huko uniunge nafasi yoyote mgodi wowote, niliomba sana GGM mpaka nafasi za security baadaya ya kukosa za Hr
 
Zamani Buzwagi, Bulyanhulu, GGM kulikuwa kutamu zaidi ya kufanya kazi Ikulu sema tu mchawi (mtu mweusi) akamgombanisha mzungu na mtu mweusi.
MISHAHARA ikashushwa.
Sema nafasi unatoiendea tukutajie mshahara
Hii ni kweli kabisa mtu mweusi ni mchaw kweli kweli linapokuja swala la kazi na ngoz nyeupe nakumbuka kuna telecom changa tulikuwa tunafanya kazi mwanzoni mwanzon mishahara walikuwa wanalipa kiroho safi yaani milion 5 hadi 7 kwa mwezi bwana wee asitoke chawa anakokujua yeye asianze kujipendekeza kwa wachina ooh mara unalipa hela nyingi sana hao we wape tu 300k asiyetaka aache kazi baba baadae ngoz nyeupe ikausoma mchezo yeye alidhani wakishusha ya wengine mshahara wake utabaki pale pale wakasawazisha kote hadi mshahara wa chawa kwann asirudi kwa mabwana zake wachina oo mimi kilikwenda kikarudi nataka mniongeze mshahara wanamwangalia tu kama hutaki kazi acha, ama kweli malipo ni hapa hapa duniani mamamae.
 
Hizo akili za chawa kama za comred hivi
 
Kazi za migodini sijui zina nini pesa zake kama zina majini hivi. Kuna mtu namfaham alikua anafanya kazi migodin huko, salary yake ilikua ndefu ila alikua mtu wa pombe na madem hakuna alichofanya cha maendeleo. Akahama huko akapata kazi serikalin atlist now ana maendeleo.
 
Nadhani hujanielewa vizuri wewe umeuliza kama wanalipa vizuri mie nimejaribu kukueleza namna ya mshahara unavyokua, moja, mshahara wa migodini hupanda kadiri wewe mwenyewe unavyojiboresha, mbili ongezeko la mshahara kwa mwaka lakini mshahara wako wewe ni kama nilivyosema haujafika milioni sababu wewe ni mwanafunzi mfanyakazi lakini kwa baadae utakuja kupanda watakapojiridhisha umepata uelewa zaidi na hii lazima wakupe mitihani yao na ufaulu angalau upate 85% hapo wanaweza kukupandisha daraja na mshahara maana Wazungu au migodi haiamini Mavyeti ya huku mashuleni ili wajue unajua lazima ufanye yao ndio wakuelewe, Hata kama wewe ni muendesha mitambo huku mitaani na una vyeti hivyo ni mali yako tu wala si sababu yakutuaminisha unaweza kuendesha mitambo migodi lazima upitie mafunzo kwanza na ufanye mitihani upate kibali ya kuendesha hiyo mitambo wala hiyo leseni yako haihusiki migodini leseni wanaita x, hapa kila unapojifunza mtambo na mkufunzi akakuidhinisha umefuzu unapata x ya hiyo machine hivyo hivyo unaendelea mpaka utafikia hatua ya uongozi kwa kujifunza zaidi, mshahara kama wewe ni mwanafunzi na bado upo kwenye matazamio si kitu chakuangalia sana kikubwa jitahidi kujua vitu vingi maana mgodi ukiwa mjanja ni chuo tena bora sana maana huku mitaani hakuna chuo kilicho na mitambo/machine wanazotumia Wazungu kwenye kazi zao hivyo lazima uwe mpole kwaza upate shule mie nakumbuka mara yangu kuiingia nilikua sijui chochote na watu walinitisha sana utaweza kuiendesha ile mitambo, lakini Mungu alinisimami ndani ya mda mfupi na wazidi vitu vingi watu wakulizika na mishahara na kusahau kujiboresha zaidi ili wafikie kiwango cha kimataifa, mie hapa nilipofika naweza kufanya kazi ya mgodini nchi yeyote na jamii yeyote na wakaelewa kazi yangu maana hawa jamaa wa Wazungu wanakutengeneza uwe wa kimataifa zaidi sababu kazi zao ni zile zile leo watakuwa Tanzania kesho Canada hivyo ni vyema wakawa na timu zao ili kuepusha usumbufu wa kupata watu wanapopata tenda ya kazi lakini hapa naongelea zaidi watu wa kazi za mining sio kukaa ofisini kama yako hiyo utasubiri sana kuona mshahara mnono na production bonus ambazo zaidi huja mnapofanya kazi bila ajari ndani ya kitengo na kuzidi malengo ya uzalishaji taraji unaweza kukutana na bonus hata ya laki tano nje ya mshahara na ukijumlisha na mshahara unatoka na hela nzuri tu...
Mkuu ipo pia kampun ya JTI(Japan tobacco internation) awangalii vyet lazm ule training na pepa.
 
Heavy equipment kama madampa and so mara nyingi wanaajiri watu waliojifunzia kazi ndani mulemule.
Unaanza as a general helper then utafunzwa kazi na wakingwe
Although wapo wanaoajiriwa direct ila wengi walikuwa masaidia.

Natamani nipate hata hiyo nafasi ya general helper kisha baadae nipate nafasi ya kuendesha mashine maana uzoefu wa kawaida wa mashine ninao na kazi zao huwa naomba japo nakosa
 
Unaitwa interview unaanza kupagawa na scale za mishahara.
Mind you unatakiwa kufanya research kuhusu taasisi uliyoitwa Interview hasa oral, Mfano swali la unataka kutulipe kiasi gani?, huwezi kujibu vizuri kama hujui kwa position uliyoomba taasisi hiyo wanalipa kiasi gani (not exactly but uwe na picha). tusizoee kubeza kila kitu, ujuaji ndo unatuathiri sisi ngozi nyeusi!
 
Uwezo wako wa kufikiri ndio hapa tu umeishia?
 
Back
Top Bottom