Mishahara ya Geita Gold Mine Limited (GGML)

Mishahara ya Geita Gold Mine Limited (GGML)

Upande wa operator wa machine wanalipaje
Ma operator wa machine ni katika kada inayoongoza kufanya kazi nje ya nchi migodi mbalimbali hawadumu hao watu kazi migodini wanaporwa kila siku na migodi mingine ndani na nje ya nchi
 
Mi niliapply graduate mechanical engineer mpaka leo hakuna mrejesho kudadeki sina connection
Unahisi sehemu kama GGM kuna vya connection mkuu? Tusipende sana kukariri vitu. Hii kariri kariri hii inatufanya tusifanikiwe kabisa kama hamjui. Laiti ungefuta hayo mawazo ya kutokuwa na connection ungejipa nafasi kufikiri ni nini kimefanya wasikuite na ungekifanyia kazi, next time wangekuita au sehemu nyingine wangekuita uki apply.

Unahisi wote walioomba wanatakiwa wapate? Itawezekana kweli na kila anaekosa aseme hana connection?

Au unaamini wewe ndio ulikuwa bora kuliko wote walio apply mkuu kwa vigezo?

Tuache kukariri mambo. GGM na migodini hakuna ishu za connection na uwezo na vigezo vyako tu
 
Hii ni kweli kabisa mtu mweusi ni mchaw kweli kweli linapokuja swala la kazi na ngoz nyeupe nakumbuka kuna telecom changa tulikuwa tunafanya kazi mwanzoni mwanzon mishahara walikuwa wanalipa kiroho safi yaani milion 5 hadi 7 kwa mwezi bwana wee asitoke chawa anakokujua yeye asianze kujipendekeza kwa wachina ooh mara unalipa hela nyingi sana hao we wape tu 300k asiyetaka aache kazi baba baadae ngoz nyeupe ikausoma mchezo yeye alidhani wakishusha ya wengine mshahara wake utabaki pale pale wakasawazisha kote hadi mshahara wa chawa kwann asirudi kwa mabwana zake wachina oo mimi kilikwenda kikarudi nataka mniongeze mshahara wanamwangalia tu kama hutaki kazi acha, ama kweli malipo ni hapa hapa duniani mamamae.
Mtu mweusi ni *** sana siku zote huwa anatamani yeye awe juu ila wenzie waharibikiwe tu. Sasa hicho kiherehere alijiona na yeye ni sehemu ya wachina bila shaka.šŸ˜‚ kmmmae zake
 
Sana bro nimefanya kazi pale nimeona vijana wanaingia pale kazi wanajifunzia mulemule..lakini kuna fani zinahitaji ujuzi kama mechanics, welding, umeme n.k lakini kuna vitengo mule tena vya hela visivyohitaji elimu ni connection tu
Kweli hii ndio bongo
 
Hii ni kweli kabisa mtu mweusi ni mchaw kweli kweli linapokuja swala la kazi na ngoz nyeupe nakumbuka kuna telecom changa tulikuwa tunafanya kazi mwanzoni mwanzon mishahara walikuwa wanalipa kiroho safi yaani milion 5 hadi 7 kwa mwezi bwana wee asitoke chawa anakokujua yeye asianze kujipendekeza kwa wachina ooh mara unalipa hela nyingi sana hao we wape tu 300k asiyetaka aache kazi baba baadae ngoz nyeupe ikausoma mchezo yeye alidhani wakishusha ya wengine mshahara wake utabaki pale pale wakasawazisha kote hadi mshahara wa chawa kwann asirudi kwa mabwana zake wachina oo mimi kilikwenda kikarudi nataka mniongeze mshahara wanamwangalia tu kama hutaki kazi acha, ama kweli malipo ni hapa hapa duniani mamamae.
Mtu Mweusi na hasa Mtanzania ni shidaa.
Pale Nzega Mgodi wa kwanza kabisa wa dhahabu nchi hii (Resolute Tanzania LTD) Wakati ndo umeanza anza Mkuu wa Wilaya Nzega wa wakati huo Marehemu Manyambo, alikwenda na kumtaka Mkuu wa Mgodi mbele ya Mkutano wa hadhara apunguze mishahara ya waajiriwa wa Mgodini sababu wafanyakazi wengi eti wanaacha kazi Serikalini na kwenda kufanyakazi Mgodini kwenye mishahara minono.
Viongozi wa Nchi hii hakika Mungu anawaona !
 
Mtu mweusi ni *** sana siku zote huwa anatamani yeye awe juu ila wenzie waharibikiwe tu. Sasa hicho kiherehere alijiona na yeye ni sehemu ya wachina bila shaka.šŸ˜‚ kmmmae zake
Ndio alikuwa anajihisi mchina wa buza kazi kujibebisha kwa wachina *** yule.
 
Back
Top Bottom