Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,044
Naomba unipm MkuuUkitaka za security CV yako hakikisha umeandika kabila Msukuma.
Nimemaliza
Naomba unipm MkuuUkitaka za security CV yako hakikisha umeandika kabila Msukuma.
Nimemaliza
Mkuu ebu tuanze na wewe ili wote tupate jibu sahihi kwenye hili swali.Wana JF Kuna mtu anafaham kuhusu swala la mishahara ya watanzania wanaofanya kazi GGM?
JE Ni kweli mishahara yao Ni mikubwa Kama tunavyoskia au ndo propaganda za vijiweni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unajua kuna shortcut ya namna hii please contact (pm) me tusaidiane kitu.Bila kutoa pesa hupati kazi pale hata kama una begi zima la vyeti
Niko mbali mzee nenda geita katafute conection kuwa makini unaweza toa pesa ikaliwa pia lakini acha uoga jilipue ukipata utaulaKama unajua kuna shortcut ya namna hii please contact (pm) me tusaidiane kitu.
Heavy equipment kama madampa and so mara nyingi wanaajiri watu waliojifunzia kazi ndani mulemule.
Unaanza as a general helper then utafunzwa kazi na wakingwe
Although wapo wanaoajiriwa direct ila wengi walikuwa masaidia.
Kachonga vyeti vya kuzaliwa vya watoto 2 vya mchongo eee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]GGM malupulupu kibao..kaka yangu analipwa pesa ya ada za watoto mil2.5 kila mtoto anawatoto wawili but kaweka watoto wanne, hapo bado pesa za skukuu na hiyo ni nje ya mshahara sio poa
Nenda Geita mtafute mtu mmoja anaitwa Makungu yupo kitengo cha LPF ni mkuda shetani anasubili anaweza kusaidiMtu anapataje kazi huko? Nina fani ya laboratory .hata kujitolea nini nifanye nipate?
Nipo DSM sasa.kama unafaham jina analotumia hata Instagram au namba naombaNenda Geita mtafute mtu mmoja anaitwa Makungu yupo kitengo cha LPF ni mkuda shetani anasubili anaweza kusaidi
HahaaaaaaHela ipo ....shida ni matumizi, tumuulize lumola ambae pesa yake yote inaishia kwenye pombe.....miaka 7 anafanya kazi GGM hana hata kibanda😂😂😂
Acha kunisagia kunguni. Eti mnoko hadi shetani anasubiri.Nenda Geita mtafute mtu mmoja anaitwa Makungu yupo kitengo cha LPF ni mkuda shetani anasubili anaweza kusaidi
Maisha ya Tanzania watu wanalipwa mpaka laki mbili na Wana familia we unaponda mshahara wa laki7 ? Acha mbwembwe wewe, labda kama hayajakukuta tuKwahiyo kazi ikizidi milioni niite mbwa niko pale nimekaa na zaidi usidanganyike na maneno ya watu mtaani eti kuna hela, Hela ipo kwa watu wa production tu sa wewe clerks tena trainees unategemea upate mshahara mnono mie kwauzoefu wangu ndani ya industry ya mining mshahara wako ni laki saba na sitini au mianane sitini lakini haizidi milioni na haupungui sana
Walioitwa wana maswali ya kijinga ya hivi?Umeitwa Interview nini?
Mkuu naona umefunga PM nilikua na shida na weweSecurity officer GGM kwa sasa ni around 2 milion. Ila inategemea na unaajiriwa kwa CV ipi inaweza kupanda au kushuka.
Mgodini maana kuna security officer form four leaver na hata mgambo hajapitia
Mkuu akikujibu pitia huku kwa chocho tushituaneMkuu naona umefunga PM nilikua na shida na wewe