Mishahara ya Geita Gold Mine Limited (GGML)

Ndio nimeitwa Ila io industry ya akina GGM siijui flesh kuhusu mishahara yao, zaidi ya kuskia vijiweni tu kila mtu Ana lake, position yenyewe niloitiwa Ni Clerk 1- Warehouse ndo sijui malipo yake hua yakoje

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipengele cha kuchanjwa chanjo ya Corona vipi umekizingatia?
 
Iko Tayari kitambo Sana boss
JPEG_20221002_073627_7559728914672688963.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo kazi ikizidi milioni niite mbwa niko pale nimekaa na zaidi usidanganyike na maneno ya watu mtaani eti kuna hela, Hela ipo kwa watu wa production tu sa wewe clerks tena trainees unategemea upate mshahara mnono mie kwauzoefu wangu ndani ya industry ya mining mshahara wako ni laki saba na sitini au mianane sitini lakini haizidi milioni na haupungui sana
Nimeuliza pay scale ikoje sijataja range ianzie sh. Ngapi kwenye maelezo yangu kwa position hiyona hakuna sehem niloeleza expectation zangu za mshahara uanzie sh. Ngapi[emoji23]

Ila the issue kumekua na story nyingi kuhusu salary scale ya huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani Buzwagi, Bulyanhulu, GGM kulikuwa kutamu zaidi ya kufanya kazi Ikulu sema tu mchawi (mtu mweusi) akamgombanisha mzungu na mtu mweusi.
MISHAHARA ikashushwa.
Sema nafasi unatoiendea tukutajie mshahara
Kama kawaida ya mtu mweusi/roho ya kimaskini lazima aharibu tuu, nina uzoefu na hilo naelewa vizuri sana
 
Nimeuliza pay scale ikoje sijataja range ianzie sh. Ngapi kwenye maelezo yangu kwa position hiyona hakuna sehem niloeleza expectation zangu za mshahara uanzie sh. Ngapi[emoji23]

Ila the issue kumekua na story nyingi kuhusu salary scale ya huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hujanielewa vizuri wewe umeuliza kama wanalipa vizuri mie nimejaribu kukueleza namna ya mshahara unavyokua, moja, mshahara wa migodini hupanda kadiri wewe mwenyewe unavyojiboresha, mbili ongezeko la mshahara kwa mwaka lakini mshahara wako wewe ni kama nilivyosema haujafika milioni sababu wewe ni mwanafunzi mfanyakazi lakini kwa baadae utakuja kupanda watakapojiridhisha umepata uelewa zaidi na hii lazima wakupe mitihani yao na ufaulu angalau upate 85% hapo wanaweza kukupandisha daraja na mshahara maana Wazungu au migodi haiamini Mavyeti ya huku mashuleni ili wajue unajua lazima ufanye yao ndio wakuelewe, Hata kama wewe ni muendesha mitambo huku mitaani na una vyeti hivyo ni mali yako tu wala si sababu yakutuaminisha unaweza kuendesha mitambo migodi lazima upitie mafunzo kwanza na ufanye mitihani upate kibali ya kuendesha hiyo mitambo wala hiyo leseni yako haihusiki migodini leseni wanaita x, hapa kila unapojifunza mtambo na mkufunzi akakuidhinisha umefuzu unapata x ya hiyo machine hivyo hivyo unaendelea mpaka utafikia hatua ya uongozi kwa kujifunza zaidi, mshahara kama wewe ni mwanafunzi na bado upo kwenye matazamio si kitu chakuangalia sana kikubwa jitahidi kujua vitu vingi maana mgodi ukiwa mjanja ni chuo tena bora sana maana huku mitaani hakuna chuo kilicho na mitambo/machine wanazotumia Wazungu kwenye kazi zao hivyo lazima uwe mpole kwaza upate shule mie nakumbuka mara yangu kuiingia nilikua sijui chochote na watu walinitisha sana utaweza kuiendesha ile mitambo, lakini Mungu alinisimami ndani ya mda mfupi na wazidi vitu vingi watu wakulizika na mishahara na kusahau kujiboresha zaidi ili wafikie kiwango cha kimataifa, mie hapa nilipofika naweza kufanya kazi ya mgodini nchi yeyote na jamii yeyote na wakaelewa kazi yangu maana hawa jamaa wa Wazungu wanakutengeneza uwe wa kimataifa zaidi sababu kazi zao ni zile zile leo watakuwa Tanzania kesho Canada hivyo ni vyema wakawa na timu zao ili kuepusha usumbufu wa kupata watu wanapopata tenda ya kazi lakini hapa naongelea zaidi watu wa kazi za mining sio kukaa ofisini kama yako hiyo utasubiri sana kuona mshahara mnono na production bonus ambazo zaidi huja mnapofanya kazi bila ajari ndani ya kitengo na kuzidi malengo ya uzalishaji taraji unaweza kukutana na bonus hata ya laki tano nje ya mshahara na ukijumlisha na mshahara unatoka na hela nzuri tu...
 
Hapa nimekupata vizur kabisa boss, nakuja PM unieleze vuzur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom