Jamaa nishai kwelikweli!
Baharia wa nchi kavu.
Poozeo.
Kupima oili!
Bichkoma.
Kila nikizikumbuka enzi zile natamani kulia maisha yalikuwa mazuri bwana! Baba mfanya kazi wa kawaida tu serikalini na mko watoto kumi nyumbani mnavaa vizuri, mnakula vizuri kila siku na yeye anapata nafasi ya kwenda kwenye "KIKAO" kila siku jioni. Kwa mshara wake tu na mama alikuwa mama wa nyumbani.
Ah! Nyerere baaba mleziiii! Nyerere mwaana mapinduziii....