Misemo ya Kizamani

Baja = Neno Baja lilikuja kuwa replaced na Neno Noma ambayo yote yakimaanisha Aibu au Haifai mbele za jamii

***** Mtozeni..

Fogo - Tajiri

Yanga makopo Simba Imara..
Yanga oyee!!!...Simba zii..!! ndipo tulipopata jina la mtaa wa msimbazi, ilipo klabu ya Simba.
 
1. Ndata
2. Kishtobe
3. Kabumbu
4. Freshi
5. Raizoni
6. Slimfiti
7. Afro
8. Nyanda
9. Vagi
10. Njumu
 
Ahsante mwanzisha thread maana leo nimegundua baadhi ya JF member waliokuwepo wakati Tanganyika(Tanzania bara na pwani) inapata uhuru.
 
udongo ulaya = saruji (kwa vile ilitoka ng'ambo wakati huo hatukuwa na kiwanda cha saruji)
 
udongo ulaya = saruji (kwa vile ilitoka ng'ambo wakati huo hatukuwa na kiwanda cha saruji)

Sure Mkuu hata Viazi pia walikuwa wanaita Viazi Ulaya then wakachange wakawa wanaita viazi mviringo

Sokomoko = Vurumai

Bwanga = Suruali iliyochanua chini

Buga = Suruali iliyotanuka pembeni mwa mapaja alivaa sana Mr Bugaroo na Mc Hammer Baadae

Wakuja

Tanbond = Siagi ya Mwanza

Juma Mgambire is very Fantastic

Mocasin Shoes

Ndura = Lilkiatu Likubwa
 
mdomo wa chupa
dingi
kibopa
mduwanzi
mkoko
bwibwi
noma
noma kichizi
mzungu wa unga
mselanondo
kinaa
mzoba
mnoko
shumbwengu
mtasha
mmanga
*********
ponjoro
mrume
bonzo
madesa
 
Amevaa sox-Ana govi.
Unamaanisha Mkono wa Sweta?? au yule Star wa Kihindi Mr Govinda?

Ubwabwa Mchafu = Pilau

Bondo = Ugali

Kupigwa Kipapai = Kulogwa

Kipunga = Wali

Cha Ndimu = Mpira wa Miguu

Curykit !!! Mama zetu waliweka sana vichwani tatizo lilikuwa harufu ya hayo Mafuta! au kuchaua makochi watakapo egemea...
 
Kumezea mate - Kumtaka kimapenzi mwanamke/ Mwanaume

Kama Kongosho anavyommezea Mate nani hii!
 
Back
Top Bottom