Misemo ya Kizamani

Bwenzi = nywele chache zilizosimama wima mbele juu ya kichwa..

Sugardaddy

Shangingi

Blazamen

Mnyamwezi

Magirini - Mdanganyifu flan au anayediai kama anajua vitu zaidi.

Melikebu

Mkweche - Haswa magari yalikuwa yanaitwa Gari lenyewe Mkweche.. au kopo

Masantula Ngoma mpwita!

Disco kuruka Debe

Kuruka Majoka

Jokofu - Kabati la Mbeho /Fridge

Kwi kwi kwi kwiiii. Duduwasha umenikumbusha mbaali sana . Unatongoza mtoto wa Kichaga anakuuliza utili kabati ya mbeho ? au utili Redio ya Picha? Amaanish una Fridge na Television?
 
chukua time
check bob/check sister
sina habari
bitozi
 
GWARA - shilingi tano
POUND - shiling ishirini

Nyento = Mia

Dusco Dala = Hamsini

Double Cabin = Mia Mbili ya Noti picha ya Mwinyi

Pajero (Jero) = Mia Tano

Buku hi imebaki hadi leo = Elfu Moja ya Noti

Kiboko Msheri

Mchaka mchaka Chinja hadi mselema hadija

Ukuti wa Meme.

Bumunda = Aina flan ya Mkate wa Ndizi haswa haswa Mbeya
 
Ambaa Huko..! = Nenda zako huko

Kwendega.!

Maliwato - Bafuni

Banzooka = Bublish

NAngatai = Biscuit za Wahindi kama ulishawahi zila huku ukishushia na Sun vita Wa Muhimbili pr School Wanajua haya kwa Mzee Taibari
duu nangatai na potelo kwa baba taybali, umenikumbusha mbaaali, nilisoma Muhi2 pia, wewe LY gani?,labda nakujua.
 
Njagu,Ndata,mwera=polisi
Michuzi=pesa
kukatwa bogi=kukataliwa, 'kumtolea mtu nje'
kufanya matusi=kufanya ngono
ndinga=gari
ndula=kiatu
raba mtoni=sneakers
unenge=njaa
mtemi=m'babe
kubokoa=kuf*ra
 
Kubukua-kusoma.
Gobole-shilingi tano.
Lawalawa-pipi kifua.
 
Back
Top Bottom