Misemo ya Kizamani

Hiyo "Sakala mento" haikuwa hivyo. Zamani ilikuwa "Sakala" tu ikimaanisha kichaa. Kuna wimbo wa Tabu Ley na Afrisa Intenationale unaoitwa "Sacramento" ndio ulioleteleza neno "Sakala" kuongezewa neno "mento". Kwa anaetaka kuusikia huo wimbo utafute kwenye YouTube!

I like this!
 
Kuna Mji Ndani ya USA unaitwa Sacramento Nadhani ulikuwepo kabla hata ya Tabu Ley Kuzaliwa..

HAPO VIPI?
 
kaa chonjo, saa mbaya!
Salama au macho yangu!
Ndege itatua au haitui?
 
Kula kona
mtu mwenyewe andunje
jaa pipo

Jah People yaliingia sana miaka ya 90's hivi yakuvaa kila mtu alikua nayo ni kama bangili zinazungusha na uzi wa kushonea vitambaa!

Usinizingue nitakuletea kasheshe!
 
ubweche mandondo = wali maharage
ubondo = ugali
pensi nyanya = kaptula
buga = suruali pana
telemka tuzoze = viatu vyenye soli kubwa[raizoni]
kunyoa denge = kunyoa panki
da slam = dar es salaam
kubonyea = kula
 
Back
Top Bottom