Misemo na Maneno ya zamani

mchafukoge........ sehemu chafu
kajamba nani ...... daraja la chini/watu wengi waliobanana
masihara ............. utani
aghalab................. mara nyingi/kwa kawaida
alamsiki................ kuaga
subalkheri............... salam
baradhuli ............... mtu asiye na heshima
 
Shuani =
Tina buu =
Ugali wa kenya =
Raizoni =
Bugaluu =
Kriplini =
Juni Kumi na Tano = JKT
Mbayuwai =
Mchonga meno =
Meneja wa kijiji =
Kaburu matata hiya - hiya =
Nduli =
Manyang'au =
Penzi Kitovu cha Uzembe =
Saboso =
 
jiti= shilingi mia
gwala= shilingi tano
pauni=shilingi ishirini
thumni= senti hamsini
mche=sigara
tukitoe=tuondoke
dingi=baba/Mzee
nyapu/demu=msichana
mjengo=nyumba ya maana
Mbaula=Fiati 682
Rondo=landrover
chamu=gongo
lawalawa=Pipi
ubeche=ubwabwa/wali
nguna/dongo=ugali
 
Zamani sisi old skool tulikuwa na mismeo yetu

BABA = DINGI
MAMA = MAZA
UGALI = BONDO
Kuaga unaondoka unasema unajikata
Shilingi mia = JITI
Shilingi mia tano = JERO
Shilingi tano = DALA
Shilingi ishirini = MBAU
Shilingi alfu = BUKU
Afande = NDULA
Mpenzi = KISHTOBE

Mengine ongezeni wenyewe
 
Zamani sisi old skool tulikuwa na mismeo yetu

BABA = DINGI
MAMA = MAZA
UGALI = BONDO
Kuaga unaondoka unasema unajikata
Shilingi mia = JITI
Shilingi mia tano = JERO
Shilingi tano = DALA
Shilingi ishirini = MBAU
Shilingi alfu = BUKU
Afande = NDULA
Mpenzi = KISHTOBE

Mengine ongezeni wenyewe


NDULA = kiatu cha afande au buti
Afande = Njagu au Ndata
Shilingi mia tano = PAJERO ambayo siku hizi inaitwa JERO
 
Dar es salaam = City

Mitindo ya mavazi:
Moca
Don't touch
Tina
Santana

Unyoaji nywele:
Push back
 
Inaelekea maaskari wana majina mengi aisee; njagu, ndata, mwera, afande, wazee, wenye nchi, serikali ...
 
Inaelekea maaskari wana majina mengi aisee; njagu, ndata, mwera, afande, wazee, wenye nchi, serikali ...

Alafu ukisikia 'Njagu kinaa' basi ujie huyo ni mnoko kichizi hata umpe hongo hakubali lazima akufikishe kituoni.
 
Back
Top Bottom