Misamiati maarufu vyuo vikuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Misamiati maarufu vyuo vikuu

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by VUTA-NKUVUTE, Feb 19, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,739
  Likes Received: 5,152
  Trophy Points: 280
  1.'Boom'(fedha za kujikimu zitolewazo na Bodi ya Mikopo ya Elimu Ya Juu kwa wanachuo/wanafunzi)
  2. 'Kuuza chai'(Kupiga stori hasa za kuchekesha/au sizizo za kweli)
  3.'Nyanga'(Supplementary exams)
  4.Kutiwa nyavuni/kukamatwa(kufeli somo hivyo kutakiwa kulirudia)
  5.Nondo(vitu visivyoruhusiwa mtihanini lakini vinavyoingizwa kimagendo)
  6.Exile(kumpisha mwanachumba mwenzako 'atumie' chumba pekeyake kwa muda fulani
  7.'Kupiga Dash'(kushinda bila kula kwasababu ya kuishiwa fedha za kujikimu)
  8.Kipanga(mwanafunzi anayejiweza darasani kwa kuelewa haraka au kutosahau haraka)
  9.Kilaza(mwanafunzi ambaye uelewa wake ni wa mashaka/haelewi mapema na hachelewi kusahau)
  10.'Ungwini'(Masomo ambayo hayaambatani na mahesabu)
  11.'Kudesa'(kuiga kwa mwanafunzi mwingine au kuandika kitu kama kilivyokutwa mahali fulani au kwa mtu fulani)
  12.'Desa'/'Madesa'(Kitabu/Vitabu visivyo rasmi

  Wana JF tuendelee...
   
 2. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Heheheheeee...hii wabeba mabox haituhusu!
   
 3. m

  msnajo JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,129
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Ngenya, mdosho, kipururu... Dah kweli chuo si mchezo
   
 4. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 4,933
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  kupuliza-kufanya ngono
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,925
  Likes Received: 1,982
  Trophy Points: 280
  Vimbweta-Vijiwe vya kukalia chuoni
   
 6. m

  mchambakwao Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pale SUA wanaita
  1.September Conference-kufanya supplementary.
  2.Simbi-study material.
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,053
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kupiga pasi ndefu-kusitisha mlo mmoja esp.wa mchana.
   
 8. TASLIMU

  TASLIMU Senior Member

  #8
  Feb 19, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Koz work(makalio)
   
 9. t

  thinka JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Pass ndefu-kula mida ya jion ili usile mchana na usiku
   
 10. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 26,368
  Likes Received: 4,802
  Trophy Points: 280
  muhas simbi maana yake ni symbiosis kuchabo kwenye paper.
   
 11. sterling

  sterling Senior Member

  #11
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kitu cha lampard..... unakula asubuhi mchana unapiga desh
   
 12. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #12
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,123
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Kudownload maji-Kuchemsha maji.
  Mara ya kwanza niliachwa kwenye mataa niliposikia mtu anakunywa maji ya kudownload.
   
 13. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 434
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  au kupiga deshi

  kukomunika-kula mkate na maji hasa ule wakati wa ukata
   
 14. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #14
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,139
  Likes Received: 883
  Trophy Points: 280
  "VUTA-NKUVUTE".. toilet za coet in udsm
   
 15. M

  Mutukwao JF-Expert Member

  #15
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh kama nakufahamu vile.ulikuwa unakaa unit ngapi vile!
   
 16. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #16
  Feb 19, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kuangalia Pilau - Kuangalia picha za Ngono!
   
 17. S

  Simcaesor Senior Member

  #17
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pitia maana halisi ya neno nyanga we utakuwa ngwini uliyeandika hapa nimejua tu!
   
 18. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #18
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,571
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Misamiati hii ni ya karne ya 21. Karne ya 20 nayo ilikuwa na misamiati yake!
   
 19. M

  Masuke JF-Expert Member

  #19
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,598
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Hii pia unaweza kuita technical desh, unakunywa chai kati ya saa tano na saa sita halafu chakula cha usiku kati ya saa 12 na saa moja.
   
 20. M

  Masuke JF-Expert Member

  #20
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,598
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Wireless-desa liloloandikwa kwa kutumia kalamu isiyokuwa na wino kwenye plane, anayejua kilichoandikwa ni aliyeandika tu.
   
Loading...