Misamiati maarufu vyuo vikuu

Jembe.......jamaa anaetisha class
RB ...Rice and Beans
Kucoet.....kukesha kwa kusoma
Kutoboa....kusoma mpaka asubuhi
 
MIGI-kuingia na desa ndani ya chumba cha mtihani
Kufunga mtaa-kuchafua hali ya hewa ukiwa chooni
Kukata kiu-
 
Kuflongo- Kumpa lecturer penzi ili akupe maksi za upendeleo.
Kupigwa mkanda- Lecturer kutolewa nje penzi na denti wa kike.
Kuliwa sugu- Kupigwa mashine na walimu tofauti kwa wakati tofauti
 
screen saver....hili ni eneo la kuuzia sura pale IFM gate la makumbusho!hapo ni watanashati ndo tulikuwa na confidence ya kukaa hapo!
 
Wireless-desa liloloandikwa kwa kutumia kalamu isiyokuwa na wino kwenye plane, anayejua kilichoandikwa ni aliyeandika tu.

mkali mbona haya mambinu hukuyaweka hadharani!!!unajua elimu ya bongo bila mbinu kama hizi maisha ya shule yanakuwa magumu!
 
Back
Top Bottom