ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,906
- 6,909
Mmemwacha Kristo na kufundishana mambo mnayoyajua. Tubuni mkaiamini injiliHawa ndio wenyewe sasa wanaotoa huduma za kiroho, sio hayo ya wapinga kristo uliyoyataja
Mmemwacha Kristo na kufundishana mambo mnayoyajua. Tubuni mkaiamini injiliHawa ndio wenyewe sasa wanaotoa huduma za kiroho, sio hayo ya wapinga kristo uliyoyataja
Ki asili walikuwa wamoja, mfalme wa ungereza king Henry viii, alipooa mke wa pili ndo wakatengana. Nyote ni kundi la waasi. Mnafundishana uongo tu. Na warumi mliwaita ni wa Protestants, means kuna vitu walipinga toka kanisa la romaAnglican haina tofauti sana na Katoliki!
Kwanza wote matapeli.Mkuu usifananishe Maaskofu wa kweli na mhuni na tapeli Gwajiboy. Huyo kawapata wajinga wake anaendelea kuwatapeli.
Umakini katika kupofusha watu sawa.Kanisa katoliki ni kanisa makini katika nyanja zote na kwa umakini wake waumini wake wananufaika sana kwa kupata mafunzo ya kiimani kutoka kwa viongozi makini.Jambo linalosaidia sana kuiimarisha imani za waumini wakatoliki ulimwenguni pote!
We unataka tukubali ujinga? Warumi ndo wapingaji wa kanisa la Kristo, warumi ndo waliuwa mitume wa Kristo, warumi ndo walipotoa mafundisho ya biblia wakatunga ya kwao, warumi ndo waliingiza sherehe za kirumi na kuzipa utukufu wa kristo ili zikubalike. Wapi umeona neno KRISMAS? Andiko gani?Uko sahihi kanisa katoliki liko systematic na makini japo najua kuna watu watapinga kwasababu ndio kazi yao hiyo.
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Papa aliwahi kuomba radhi kwa ajili ya watawa yaani askofu na ma padre waliokuwa wakifira na kubaka watoto. Nikupe link?Acha ubishi,huwezi linganisha Katoliki na hao wacheza porn kina Gwajima.
Hakuna shamba moja, kuna mashamba mengi lkn ilitakiwa kuwa shamba moja. Soma 1kor 1:10-13Lazima wawe tofauti kama walitotofautiana madhehenu lakini wote wameitwa kutumika kwenye shamba moja..Kuna vyakula vingi..vingine vina sukari vingine vichungu vingine vinawasha ila vyote vyahitajika kwa afya yako...usikomae na chakula cha aina moja....
Yesu alifanyaje?Ulitaka wafanane? Umeshatofautisha huduma zao sasa unataka wafanane vipi? Au umevutiwa na kanzu na lugha ya upole? Unataka hao wengine watoe pepo kwa kubembeleza? Hata Yesu hakufanya hivyo. Ni mitazamo tu.
Ewe mpotevu uliyeacha mafundisho ya Kristu utatangatanga mpaka lini? Au ni dhambi ya kuasi na kujaribu kulishinda kanisa la Kristu ndiyo inakutesa? Kanisa ni Moja,Kanisa ni takatifu,Kanisa ni katoliki(limeenea ulimwenguni) Kanisa ni la mitume.Ewe mu roman-katoliki, pole sana kwa kudanganywa na kuwa sehemu ya mafundisho ya uongo ya kanisa lenu la kirumi.
1. Kanisa rasmi kwa kutumia maneno yako, haliwezi kuwa kanisa lenu la kirumi, wala la kiingereza~Anglican wala la wajerumani~Lutheran, wala lolote unalolifaham lililoundwa kwa vikao vya wanadam waliokaa na kuamua namna gani wamwabudu Mungu, bali kanisa rasmi ni KANISA LA KRISTO alilolianzisha kwa neno lake mwenyewe. Soma
Math 16:18 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
2. Imeandikwa, pia Mathayo 15:8 Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami.
9 Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu.
Kuheshimu kwa midomo ni ile hali ya kusema hbr za Kristo. Fine. Lkn huamini chochote/ au unaamini kwa sehemu kuhusu habari za Kristo. Mfano, unaamini hbr za ubatizo, lkn ubatizo gani? Hapo kwa sehemu inakutesa.
Kuabudu bure na kufundisha maagizo ya wanadamu, ni pale mnapofanya ambayo hayajaelekezwa kwenye biblia. Mmetunga taratibu zenu wenyewe za ibada na kuagiza watu wazifuate. Mfano, ubatizo wa watoto, ubatizo wa kunyunyiza, sala za maria, matumizi ya rozari, na meeengi mnayofundishana, kwenye biblia hutayaona, mmetunga wenyewe.
3. Mmiliki wa kanisa, ni Kristo mwenyewe. Alisema kanisa langu, ni moja hajawahi kusema makanisa yangu.
Kuwa mrumi, mwa anglican, mruther, mu full gospel, mu ufufuo na uzima, mu tag, fpct, batist n.k, maana yake umekubali kufuata mafundisho ya waanzilishi wa madhehebu hayo. Ndiyo maana pamoja na yote kumtaja Kristo, lkn mafundisho na aina ya ibada zao wanatofautiana. Yote hayo Mungu ameyakataza.
Soma 1kor 1:10 Basi ndugu, nawasihi, kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo, kwamba nyote mnene mamoja; wala pasiwe kwenu faraka, bali mhitimu katika nia moja na shauri moja.
11 Kwa maana, ndugu zangu, nimearifiwa habari zenu na wale walio wa nyumbani mwa Kloe, ya kwamba iko fitina kwenu.
12 Basi, maana yangu ni hii, ya kwamba kila mtu wa kwenu kusema, Mimi ni wa Paulo, na, Mimi ni wa Apolo, na, Mimi ni wa Kefa, na, Mimi ni wa Kristo.
13 Je! Kristo amegawanyika? Je! Paulo alisulibiwa kwa ajili yenu? Au je! Mlibatizwa kwa jina la Paulo?
Hayo maswali yanawahusu ninyi na madhebu yenu. Ni sawa na kuuliza, ulibatizwa kwa jina la RC? Au Anglican alikufa kwa ajili yako? Au FPCT alikufa kwa ajili yako? Nk.
Ndugu yangu, neno linasema "...na milango ya kuzimu haitalishinda...". Pamoja na fitina za kila namna zilizofanywa na warumi-RC, kuua, kutesa, kubagua, kutweza WAKRISTO waliopokea injili kwa Kristo na waliokuwa kwenye utume kama walivyoagizwa, "... enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri injili kwa kila kiumbe, aaminiye na kubatizwa, ataokoka". Fitina hizo hazikumaliza wakristo, hazikuua kanisa la Kristo, liliendelea, linaendelea na litaendelea. Hakuna milango/madhehebu yatakayo lishinda kanisa la Bwana. Yesu na kanisa lake watabaki hata kama wamezungwa na wapingaji kama nyie.
Nakualika uje ujifunze hbr za Kristo, uanze kuabudu unachokijua tena kilicho sahihi, uachane na hizo misa zilizotungwa na wanadamu. Siyo vitu vya kujivujia.
Jaribu kutofautisha Mihemuko na uwepo wa Roho Mtakatifu. Kwa Roho Mtakatifu hakuna mihemuko. Usiukoee heshima utatu Mtakatifu kwa kuufananisha na mihemuko ya akina Gwajima na wenzieKasome biblia uimalize yote ukianza kuhubiri hutohubiri kwa kuwabembeleza watu, utahubiri kwa nguvu zote tena kwa sauti kubwa. usije ukadhani wanapenda kuhubiri vile yule ni Roho mtakatifu akisha jaa unajikuta unahubiri kwa nguvu.
Yesu alisema ukipigwa kofi upande mmoja,geuza upande wa pili.Inasikitisha kuona mtu ujiitaye mkristu hujui maana ya kuomba msamaha.Hii ni ishara ya unyenyekevu na kujishusha.Kanisa halitojali kama ni kweli au si kweli juu ya matukio hayo na wala halikuhoji bali liliiga mfano wa Yesu wa kujishusha na kujinyenyekeza kwa kuomba msamaha.Papa aliwahi kuomba radhi kwa ajili ya watawa yaani askofu na ma padre waliokuwa wakifira na kubaka watoto. Nikupe link?
hao sunna ndo wale wanaovaa surali fupi?Mimi ni muislam niliye mfuasi mzuri wa DINI yangu, Ila kiukweli huwa nasuuzika sana kila jumapili ninapofuatilia misa za kanisa katoliki kupitia televisheni.Leo nilifarijika Sana kumuona askofu Ngalalekumtwa akitutuliza na kutujaza hisia za ukweli kabisa.
Nisieleweke vibaya kuwa hao waliotajwa hawana maana laa laa Ila nimeacha tu kuwafuatilia kwenye televisheni km nilivyoacha kabisa kuwafuatilia ndugu zetu Answaar Sunna a.k.a Wahabi na pia Sina maana nawadharau Answaar Sunna hapana.
Peace
Rip BWM
Injili hiyo mnayoiamini iliandikwa kwa mikono ya watu wakiongozwa na roho mtakatifu.Kanisa ndilo lina vitabu vyote original vya biblia na hata hivyo mnavyovitumia vimeandikwa na kanisa kwa muongozo wa roho mtakatifu.Mmemwacha Kristo na kufundishana mambo mnayoyajua. Tubuni mkaiamini injili
Ndio umejua leo kwani na hao wengine huwa unawaita maaskofu pia! Ha ha ha kuhusu muda ndio hawana kabisa kwani ibada yao kuisha ni mpaka mate yaishe mdomoni inabidi mtu unaenda kanisani umekula ugali kabisa kwani hujui mtarudi saa ngapiKuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Mapokeo ni maagizo ya wanadam, jidanganye eti kuna kanisa katoliki, hilo ni dhehebu wapingaji wa kanisa la MunguInjili hiyo mnayoiamini iliandikwa kwa mikono ya watu wakiongozwa na roho mtakatifu.Kanisa ndilo lina vitabu vyote original vya biblia na hata hivyo mnavyovitumia vimeandikwa na kanisa kwa muongozo wa roho mtakatifu.
Kanisa lina sehemu mbili
1: Maandiko matakatifu
2:Mapokeo matakatifu
Yote hufanyika kwa uongozi wa roho mtakatifu
John the baptist, nadhani tubaki na Utanzania ambao ni unatuunganisha kuliko kufuata misingi ya namna ya kuendesha ibaada.Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Kanisa la Mungu ndio lupi Mkuu!??Mapokeo ni maagizo ya wanadam, jidanganye eti kuna kanisa katoliki, hilo ni dhehebu wapingaji wa kanisa la Mungu