Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,327
- 8,243
Acha dhambi acha huo uzinzi acha kujipa moyo, mahubiri ya taratibu kama yale watu hawawezi kuacha dhambi. Na ndio maana ukisoma biblia kuna muda Yesu alikua anakemea anapowaombea watu na anapo wahubiria. Kuna muda alikua anakua mkali.Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!