Shokolokobangoshey
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 311
- 82
Hiyo t shirt aliyovaa jamaa imeandikwa mtoto wa Jah Kaya au ni macho yangu tu?
Kwan T-shirt 500 ni bei gan mpaka mchonge kenga kiasi hcho???! Mbona ni chini ya 2M. Sasa kwa mtoto wa Presda kuna tatizo gan.
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Hiyo t shirt aliyovaa jamaa imeandikwa mtoto wa Jah Kaya au ni macho yangu tu?
Ingekuwa kagaramia kusafirisha mwili wa marehemu ningemuelewa, ni ujinga ku support T- shirt wakati unahitajika msaada wa kufikisha mwili nyumbani Tanzania...
Waache kutufanya wajinga Ngwair ni mtoto wa mtanzania anahitaji haki zote Kama mtanzania toka kwa serikali na ubalozi wa Tanzania south africa... Leo mtanzania anafia nje na ni maarufu na serikali imekaa kimya as if hakuna kitu kimetokea!!! Serikali ioneshe basi inajari watu wake japo kwa hao ambao taifa zima linawajua... Hata itoe tamko kuwa wanataka kujua vijana wao imekuwaje mpaka wamekufa na kupata matatizo kwa namna ile? Kwa hao maarufu hali ndo hiyo je watoto wamkulima hali itakuwaje kama sio kitupwa kama mbwa na kusahauliwa pale pale...
Kumbe bwana mdogo ana pesa!
Kama ndio hivyo basi inahamasisha wateja wengine, wana uhakika wa kujaliwa pindi watakapo poteza maisha.Ni return. A good customer is dead, you gotta show some love.
Kama ndio hivyo basi inahamasisha wateja wengine, wana uhakika wa kujaliwa pindi watakapo poteza maisha.
Huyu mtoto ametoa wapi hela zote hizo? Ingekuwa enzi za mwalimu angepigwa kati na angesema. Na kwanini hela ya hizo tshirt asingezitoa msaada kwa mayatima na hata shule za kata zisizokuwa na walimu? Kuliko kufanya jambo lisilokuwa na msaada wowote kwa marehem na hata familia yake?
Angalau hapa nimeambuli kujuwa kwamba Rais wetu anaitwa Jah Kaya na siyo Jakaya.