mjenziwakale
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 1,018
- 1,541
Sioni kulikuwa kuna haja ya kumuita hvo ulivomuita jamaa kafanya tu kuainisha hakuna pahala kutukana au kuonesha dharau, sasa kwa kuwa wewe mjomba wako ni profesa basi umekimbilia kupaniki......kuna cha kujifunza hapa.Ulitaka wafanye nini we mpuuzi
Tanzania haijawekeza kwenye utafiti
Akijibu nishitueNaomba nieleze Tafiti za maprofesa wa Tanzania zilizo saidia mabadiliko makubwa katika nyanja za kimaisha ya watanzania kiujumla.
Angalau kwenye nyanja za kiuchumi, kielimu na Afya.
Profesa naona unatokwa povuHii nchi kila mtu analaumiwa. Hivi nani mwenye nafuu ?
Hata MO, Bakhresa nao hulaumiwa.
Suluhisho ni nini ?
Kwa nini unataka mtu mwingine abebe majukumu yako? Kwani jukumu la kuanzisha biashara kubwa ni la professor peke ake?
Kwa nini mtoa mada na wewe sio tajiri ? Mbona USA matajiri hawajamaliza chuo kikuu.
Kwa nini mtoa mada usiwe professor ili uje utoe mfano wa kuwa professor tajiri?
Nahitimisha kwa kusema kila pungufu la hii nchi linamuhusu kila mtu, tumejitoa ufahamu na kubebesga lawama kundi fulani la watu watutatulie shida zetu.
Ukilinganisha kipato cha Professor wa USA na tajiri wa kule wap9 the same boat na wetu.
Prof wa USA analipwa Mpaka dola laki 1+ wakati tajiri wa kule USA ana miliki dolla bilioni 50 mpaka 200.
Ina maana hao professor wa marekani hawana akili?
CEO wa OPEN AI ni kijana mdogo alie acha shule, ila kwa muda mfupi ameisha washinda utajiri maprofesa wengi wa USA.
Fanyeni comparative analysis ya hawa watu dunia nzima, they were not prepared for making money but for finding solutions.
Bila wao watu wengi duniani tungesha kufa( nimeongea kiujumka).
Tulia we ng'ombe wa mayele.Acha kuharibu reputation za watu Bure. Professor gani alistaafu UDSM Hana hata nyumba?. Uzuri Maprofesa wenyewe wachache, maana Kama kustaafu Ina maana alikuwa full profesa ambao kwa Sasa kwa idadi ni 66 kwa mujibu wa serikali. Tuache speculations na kushishia hadhi uprofesa.
Mmmh! Wewe utakuwa unachanganya mambo wewee sio kila mwalimu wa chuo kikuu ni prof.Huna unalojua wewe,
Nenda hapo udsm profesa Hadi anastaafu Hana hata nyumba na wanataka kuongezewa contract. Usipate tabu Nenda hapo udsm.
Kuhusu biashara kama huamini Kuna biashara zinaingiza profit margin ya milion 70 Kwa mwezi Bado wewe ni mtoto mdogo kujua haya
Upo sahihi lakini wafanyabiashara wengi nimeona wanasomesha watoto shule hizi za gharama ambazo mshahara wa Prof mara nne hata mara sita...Mshahara wa professor ni zaidi ya 6million kwa mwezi hapo hujaweka marupurupu mengine kama semina nk...
Na hawana stress za biashara kama watu kariakoo walivyo...
Kimsimgi they are living life
Wewe ni Professa?Acheni uongoooooo
Shida ni kwamba hiyo sua wengine tunaijua sana,hizo public universities mishahara haitofautiani kamwe.Wewe ni Professa?
Unataka nisijue?Punguza ujuaji mkuu
Huwezi kupata.Unataka nisijue?
Nakwambia hivi 👇
Leta Tafiti za maprofesa wa Tanzania zilizo saidia mabadiliko makubwa nchini.
Maprofesa wa Tanzania ni njaa kali, chawa, wasaka teuzi na wachumia tumbo.