Miradi mingi ya Magufuli haina tija? Ni white elephant?

Miradi yote hata wawakilishi wa nchi za nje walipopelekwa wakashangaa kuona mambo ya ulaya yanawekwa hapa Tanzania

Kwa mujibu wa kituo cha dunia cha uwekezaji wanakubali kuwa katika bara zima la Africa Tanzania ndio inatumia pesa zake kwenye miradi yenye tija

Mungu mpemaisha marefu jpm

State agent
Haiwezekani katika watu wengi wakakosekana waliopungukiwa, miradi ni muhimu isipokuwa ni lazima kipaumbele kiwe miradi yenye kugusa watu walio wengi, tena wanyonge!!!!!. Mfugale limemgusa wapi mnyonge, Ndege zimemgusa wapi mnyonge, SGR IMEMGUSA WAPI MNYONGE nk. Rejea hotuba ya baba wa taifa. 'maendeleo lazima yawe ya watu yaguse watu siyo vitu'
 
Hapa kila anaetetea ni mnufaika lakini mimi mtu wa kijiji cha katikati najifia kimya kimya ni hayo tu

Wapi na lini ulisikia kaitisha mkutano na wanyonge ikulu? kama si wenye nazo. Huyu kweli rice wa wanyonge
 
Miradi yote hata wawakilishi wa nchi za nje walipopelekwa wakashangaa kuona mambo ya ulaya yanawekwa hapa Tanzania

Kwa mujibu wa kituo cha dunia cha uwekezaji wanakubali kuwa katika bara zima la Africa Tanzania ndio inatumia pesa zake kwenye miradi yenye tija

Mungu mpemaisha marefu jpm

State agent
Kumbe maendeleo ya Dar es Salaam ni maendeleo ya Tanzania? Basi sawa
 
Wanandugu.

Serikali ya awamu ya 5 imejipambanua kama ya wanyonge na imekuja na miradi lukuki inayotafuna mabilioni ya pesa za walalahoi, lakini miradi hii haina na wala haionyeshi dalili ya kuwa na tija yoyote huko mbeleni. miaka mitano hiyo inakatika tunapigwa porojo lakini mabilioni yanateketea.

Daraja la Mfugale
Huu ni mradi wa hovyo niliowahi kuuona na unareflect hisia kwamba utawala huu umejaa ubinafsi.

Daraja limejengwa kimkakati kuwapa upendeleo wanasiasa wanaowahi ndege airport.

Wanyonge wanaotoka na kwenda Tandika na maeneo mengine ya Temeke inawachukua wastani wa dakika 45 kuvuka Tazara, ni kero kuliko ilivyokuwa kabla halijajengwa.

Rais ajae alibomoe ndani ya siku 100 lijengwe upya watu wote walifaidi.

SGR
Huu mradi miaka minne sasa inaenda mitano hakuna cha maana zaidi ya kuona minguzo na minondo tu inasimikwa kila siku.

Nguzo zenyewe zinaonekana kujengwa sehemu zinazopitwa na watu wengi ionekane kuna kitu kinajengwa kumbe ni uzugaji.

Ndege
Kila nikilitizama anga naona ndege za biashara ni zilezile tu: SwisAir, Turkish, Emirates.

Hizi za Rubondo island mbona hatuzioni zinabeba nini kwenda wapi?

Dar es salaam
Huu ni mji lakini ni mradi tosha. Toto pendwa hajatatua hata kero moja; foleni, maji, mafuriko na hata usafi siku za jumamosi umemshinda.

Miaka mitano inakatika bado miradi inayowapa unafuu watanzania inabaki kuwa ile ile iliyobuniwa awamu zilizopita; daraja la Kigamboni, mwendokasi, shule za kata, barabara za lami kila kona, treni za Mwakyembe, watu wengi wameajiriwa sekta binafsi awamu zilizopita.

Sasa huu utawala kuna mradi gani wa maana umefanya ukafanikisha? Muda unaenda miaka mitano hiyo inakatika jamani.
we kaa utulie subiri miradi imalizike tija yake utaiona baadae
 
Miradi yote hata wawakilishi wa nchi za nje walipopelekwa wakashangaa kuona mambo ya ulaya yanawekwa hapa Tanzania

Kwa mujibu wa kituo cha dunia cha uwekezaji wanakubali kuwa katika bara zima la Africa Tanzania ndio inatumia pesa zake kwenye miradi yenye tija

Mungu mpemaisha marefu jpm

State agent
Hata kanisani na misikitini wachawi wapo.

Huwa hawakwepeki maishani.
 
Nahis humu jf kuna warundi na wakenya wanaotaka miradi hii isifanikiwe.ukikua utakuwa mchawi wewe
Hawa ndio wale waliokwenda kufungua kesi afrika ya kusini na Canada pia wanazifanyia fitina dreamliners.

Wataelewa japo watachelewa kuelewa.
 
2010/15 Tunashindwa na nchi ndogo Kama RWANDA want ndege na sisi atuna. Zikapingwa Kelele sana. Walianza tena, wakaanza tena Kenya wanajenga tell ya kisasa SGR zitto na wezake John John Mnyika na Mdee. 2016/19 mambo yanongile. Kwa kazi ya Ajay tuna ndege. Na tunajenga SGR. TUKUMBUKE SGR BI MIPANGO YA AWAMU YA NNE. NA WAKATAKA KUANZA 2014/15. sass mnaaza kumtupia JPM Ohio siyo photo siyoooo Siwafahamu MNATAKA nini WATANZANIA
 
Wanandugu.

Serikali ya awamu ya 5 imejipambanua kama ya wanyonge na imekuja na miradi lukuki inayotafuna mabilioni ya pesa za walalahoi, lakini miradi hii haina na wala haionyeshi dalili ya kuwa na tija yoyote huko mbeleni. miaka mitano hiyo inakatika tunapigwa porojo lakini mabilioni yanateketea.

Daraja la Mfugale
Huu ni mradi wa hovyo niliowahi kuuona na unareflect hisia kwamba utawala huu umejaa ubinafsi.

Daraja limejengwa kimkakati kuwapa upendeleo wanasiasa wanaowahi ndege airport.

Wanyonge wanaotoka na kwenda Tandika na maeneo mengine ya Temeke inawachukua wastani wa dakika 45 kuvuka Tazara, ni kero kuliko ilivyokuwa kabla halijajengwa.

Rais ajae alibomoe ndani ya siku 100 lijengwe upya watu wote walifaidi.

SGR
Huu mradi miaka minne sasa inaenda mitano hakuna cha maana zaidi ya kuona minguzo na minondo tu inasimikwa kila siku.

Nguzo zenyewe zinaonekana kujengwa sehemu zinazopitwa na watu wengi ionekane kuna kitu kinajengwa kumbe ni uzugaji.

Ndege
Kila nikilitizama anga naona ndege za biashara ni zilezile tu: SwisAir, Turkish, Emirates.

Hizi za Rubondo island mbona hatuzioni zinabeba nini kwenda wapi?

Dar es salaam
Huu ni mji lakini ni mradi tosha. Toto pendwa hajatatua hata kero moja; foleni, maji, mafuriko na hata usafi siku za jumamosi umemshinda.

Miaka mitano inakatika bado miradi inayowapa unafuu watanzania inabaki kuwa ile ile iliyobuniwa awamu zilizopita; daraja la Kigamboni, mwendokasi, shule za kata, barabara za lami kila kona, treni za Mwakyembe, watu wengi wameajiriwa sekta binafsi awamu zilizopita.

Sasa huu utawala kuna mradi gani wa maana umefanya ukafanikisha? Muda unaenda miaka mitano hiyo inakatika jamani.
Nadhani Idadi ya hizo Flyovers or Madaraja yakiongezeka kama Ubungo, Kamata, Serengeti,Taifa nk nk kama jinsi plan zao zilivyo kutakuwa na punguzo kubwa sana la foleni,kwa sababu hizo barabara kubwa zote Nyerere road, Ali Hassan, Mandela, Morogoro, Kilwa zinategemeana hivyo huwezi kuweka Daraja or Flyover sehemu moja tu halafu utegemee tija kubwa haiwezekani. Subiri maeneo pendekezwa yote yawekwe hizo Daraja then uje uhoji hicho unachohoji ila kwa sasa utakuwa na mantiki
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Hakuna anayepinga kukopa, ila anaposema ni fedha za ndani ili kuhadaa umma ionekane kama makusanyo ni makubwa maana yake nini? Je hiyo mikopo inafahamika terms zake, au Ni yeye na kundi lake tu ndio wanajua? Sasa kama deni limekuwa kubwa hivyo na hiyo miradi hasa mikubwa haijakamilika, huoni kama kuna mazingira ya kutokukopesheka huko mbele ya safari, huku miradi hiyo ikiwa haijakamilika kama ilivyopangwa?

Mkuu mikopo ipo na wanaotoa mikopo wapo, mfano AfDB wametoa pesa za Kiwanja cha ndege cha Msalato, Ring Road (barabara ya pete) Dodoma vile vile Serikali wameongea na AfDB kuhusu kutoa pesa tena kwa sababu ya kuweka Dual Carrigeway Morogoro to Dodoma (8 lanes) watatoa kwa sababu AfDB wanapendelea maboresho ya miundo mbinu katika Afrika ili kuliwezesha bara la Africa kuwa na usafiri wa uhakika na kuondoa umasikini. Mfano Barabara ya kutoka Cape Town kwenda Cairo etc. njia za reli na mambo mengine. Leo hii mnatuona sisi ni wajinga lakini nakuhakikishia come 2026 mtayakumuka haya mambo makubwa ambayo yanafanyika katika nchi yetu.

Kuhusiana na makusanyo ya kodi natumaini unaangalia mawaziri wanavyotoa information kuhusu makusanyo ya kodi na miaka 4 ya JPM nk. Vile vile improvement ambayo inaonekana, jana nilikuwa nasoma jinsi TANAPA kwa mfano mapato yao yameongezeka kwa asilimia 60 (60% increase ) ni jambo la kujipongeza. Vile vile kwenye madini angalia Tanzanite kutoka kilo 166 (2016 hadi kilo 1995.52 hadi Sept mwaka huu. Yaani value ya 71 million hadi 2.5 Billion hadi Sept mwaka huu. Gold imetoka kuingiza mapato ya 199 billion hadi 335 billion plus this year. FYI Kenya na Uganda ndio waikuwa wanauza madini yetu lakini awamu hii imebadilisha mwelekeo. Huko tunakokwenda ni sehemu nzuri sana. Kuna challenges za hapa na pale lakini nakuhakikishia katika awamu hii huko mbeleni kuna wengi wataaibika sana nchi yetu ni tajiri na wachache sana walikuwa wanafaidi keki ya hili taifa bila kunawa mikono. Umeona vile vile wauzaji wakubwa wa Tanzanite kule USA walikuwa Mererani na ndio wanunuzi wetu wakubwa soko la Tanzanite lilokuwa India limekufa sasa kifo cha mende. Wataleta wataalm wao kuwafundisha Watanzania jinsi ya kukata tanzanite etc

Miradi yote itakamilika na tupo vizuri ukiangalia uchumi wetu unakua kwa asilimia 7 kwa muda wa miaka 10 sasa mfululizo ni nchi chache sana wameweza kumaintain hiyo consistent, matunda utaanza kuyaona very soon. Tutaendelea kukopesheka maana uwezo tunao nia tunayo na Tumeamua kuijenga nchi yetu Hapa Kazi Tu!
 
Nonsense....

Njoo mwezi wa sita 2020 Dar - Morogoro kazi itakuwa imeanza utapanda Treni ya kisasa hata marekani wanaisikia tu mambo ya bullet - trains waachieni Tanzania, Japan na Europe wacha kujificha huko madongo kwinama.
 
Miradi yote hata wawakilishi wa nchi za nje walipopelekwa wakashangaa kuona mambo ya ulaya yanawekwa hapa Tanzania

Kwa mujibu wa kituo cha dunia cha uwekezaji wanakubali kuwa katika bara zima la Africa Tanzania ndio inatumia pesa zake kwenye miradi yenye tija

Mungu mpemaisha marefu jpm

State agent
Ni sawa mambo ya ulaya yanafanyika hapa, lakini, kule wananchi wao walishavuka kiwango cha mtu kuwaza hata leo cjui atakula nini? Akiumwa hata panadol atanunulia nini? Ndio utofauti uliopo!!
 
Hapa sijaelewa kiongozi

Serikali hii inaimarisha miundo mbinu ili kuwezesha kutatua matatizo ya nishati kwa mfano, mradi wa mwl Nyerere ukiisha umeme utakuwa wa bei nafuu kwa Watanzania. Njia kuu za uchumi kuimarishwa yaani barabara za uhakika na kupunguza safari (Unasafiri kwa haraka zaidi) unaweza kuuza bidhaa zako mapema na kufanya shughuli nyingine za kuinua uchumi wako binafsi nk. Kuongeza pato la Taifa kuwawezesha Watanzania kuishi maisha nadhifu zaidi. Kuimarisha mfumo wetu wa elimu nk. Keki ya taifa kufaidisha kila mtanzania sio wachache tu.
 
Ni sawa mambo ya ulaya yanafanyika hapa, lakini, kule wananchi wao walishavuka kiwango cha mtu kuwaza hata leo cjui atakula nini? Akiumwa hata panadol atanunulia nini? Ndio utofauti uliopo!!

Mkuu unaongelea ulaya ipi? Kiwango hicho unakipimaje?
 
Mkuu mikopo ipo na wanaotoa mikopo wapo, mfano AfDB wametoa pesa za Kiwanja cha ndege cha Msalato, Ring Road (barabara ya pete) Dodoma vile vile Serikali wameongea na AfDB kuhusu kutoa pesa tena kwa sababu ya kuweka Dual Carrigeway Morogoro to Dodoma (8 lanes) watatoa kwa sababu AfDB wanapendelea maboresho ya miundo mbinu katika Afrika ili kuliwezesha bara la Africa kuwa na usafiri wa uhakika na kuondoa umasikini. Mfano Barabara ya kutoka Cape Town kwenda Cairo etc. njia za reli na mambo mengine. Leo hii mnatuona sisi ni wajinga lakini nakuhakikishia come 2026 mtayakumuka haya mambo makubwa ambayo yanafanyika katika nchi yetu.

Kuhusiana na makusanyo ya kodi natumaini unaangalia mawaziri wanavyotoa information kuhusu makusanyo ya kodi na miaka 4 ya JPM nk. Vile vile improvement ambayo inaonekana, jana nilikuwa nasoma jinsi TANAPA kwa mfano mapato yao yameongezeka kwa asilimia 60 (60% increase ) ni jambo la kujipongeza. Vile vile kwenye madini angalia Tanzanite kutoka kilo 166 (2016 hadi kilo 1995.52 hadi Sept mwaka huu. Yaani value ya 71 million hadi 2.5 Billion hadi Sept mwaka huu. Gold imetoka kuingiza mapato ya 199 billion hadi 335 billion plus this year. FYI Kenya na Uganda ndio waikuwa wanauza madini yetu lakini awamu hii imebadilisha mwelekeo. Huko tunakokwenda ni sehemu nzuri sana. Kuna challenges za hapa na pale lakini nakuhakikishia katika awamu hii huko mbeleni kuna wengi wataaibika sana nchi yetu ni tajiri na wachache sana walikuwa wanafaidi keki ya hili taifa bila kunawa mikono. Umeona vile vile wauzaji wakubwa wa Tanzanite kule USA walikuwa Mererani na ndio wanunuzi wetu wakubwa soko la Tanzanite lilokuwa India limekufa sasa kifo cha mende. Wataleta wataalm wao kuwafundisha Watanzania jinsi ya kukata tanzanite etc

Miradi yote itakamilika na tupo vizuri ukiangalia uchumi wetu unakua kwa asilimia 7 kwa muda wa miaka 10 sasa mfululizo ni nchi chache sana wameweza kumaintain hiyo consistent, matunda utaanza kuyaona very soon. Tutaendelea kukopesheka maana uwezo tunao nia tunayo na Tumeamua kuijenga nchi yetu Hapa Kazi Tu!

Umeweka maneno mengi huku ukikwepa hoja yangu ya msingi, nimesema kama hii miradi ni ya pesa za ndani kwanini deni la taifa limepaa kiasi hicho? Suala la kukopa hakuna mwenye tatizo nalo maana huo ndio uhalisia. Halafu hizo data zinazotolewa na mawaziri sio za kuziamini sana, kwa sababu serikali hii inapika sana data ili kuhadaa umma kuwa mambo ni mazuri. Uchumi kukua kwa asilimia 7 nako ni utata mtupu, nakumbuka world Bank walitaka kuweka taarifa ya ukuaji wa uchumi ikawa ni mvutano wa hali ya juu. Hayo yote ni udhibitisho kuna utata mkubwa.
 
Back
Top Bottom