Miradi mingi ya Magufuli haina tija? Ni white elephant?

inashangaza. juzi imenyesha mvua Dar es Salaam kitovu cha uchumi wa nchi. asilimia 50 ya waajiriwa sekta binafsi na sekta ya umma hawajaenda kazini kwa sababu Jangwani au maeneo fulani ya jiji hayapitiki. Eneo kama la Jangwani limekuwa mada miaka nenda rudi. hakuna suluhu. hapohapo pesa inatafunwa kujenga daraja la Salander ambalo halipaswi kuwa kipaumbele. hapohapo kuna mkuu wa mkoa yupo busy na meya wa chadema anabadili password za mlango wa ofisi na kuiba gari.

nchi haijalaaniwa ila chama cha kijani na system zake za utawala vina laana.
 
Stiglers Gorge iliyopelekea kukata miti ambayo eneo lake lafanana na Dar es Salaam ndiyo mradi bogus utakao leta umaskini kwa Taifa hili.

Umeme wa kutegemea maji ya mabwawa una mapungufu mengi sana
 
White elephant kwangu mimi ni ndege tuu.. ila jambo la pili ni ufisadi na unyajyasaji wa waranzania wenye biashara zao.
Wanandugu.

Serikali ya awamu ya 5 imejipambanua kama ya wanyonge na imekuja na miradi lukuki inayotafuna mabilioni ya pesa za walalahoi, lakini miradi hii haina na wala haionyeshi dalili ya kuwa na tija yoyote huko mbeleni. miaka mitano hiyo inakatika tunapigwa porojo lakini mabilioni yanateketea.

Daraja la Mfugale
Huu ni mradi wa hovyo niliowahi kuuona na unareflect hisia kwamba utawala huu umejaa ubinafsi.

Daraja limejengwa kimkakati kuwapa upendeleo wanasiasa wanaowahi ndege airport.

Wanyonge wanaotoka na kwenda Tandika na maeneo mengine ya Temeke inawachukua wastani wa dakika 45 kuvuka Tazara, ni kero kuliko ilivyokuwa kabla halijajengwa.

Rais ajae alibomoe ndani ya siku 100 lijengwe upya watu wote walifaidi.

SGR
Huu mradi miaka minne sasa inaenda mitano hakuna cha maana zaidi ya kuona minguzo na minondo tu inasimikwa kila siku.

Nguzo zenyewe zinaonekana kujengwa sehemu zinazopitwa na watu wengi ionekane kuna kitu kinajengwa kumbe ni uzugaji.

Ndege
Kila nikilitizama anga naona ndege za biashara ni zilezile tu: SwisAir, Turkish, Emirates.

Hizi za Rubondo island mbona hatuzioni zinabeba nini kwenda wapi?

Dar es salaam
Huu ni mji lakini ni mradi tosha. Toto pendwa hajatatua hata kero moja; foleni, maji, mafuriko na hata usafi siku za jumamosi umemshinda.

Miaka mitano inakatika bado miradi inayowapa unafuu watanzania inabaki kuwa ile ile iliyobuniwa awamu zilizopita; daraja la Kigamboni, mwendokasi, shule za kata, barabara za lami kila kona, treni za Mwakyembe, watu wengi wameajiriwa sekta binafsi awamu zilizopita.

Sasa huu utawala kuna mradi gani wa maana umefanya ukafanikisha? Muda unaenda miaka mitano hiyo inakatika jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana hamuoni sababu ya kujenga Ofisi Kuu ya chama!
 
Mtoa mada kumbuka kwamba mradi wa daraja la TAZARA (Mfugale) sio wa serikali ya awamu hii. Kumbuka Magufuli alisaini mkataba wa ujenzi mwezi Oktoba 2015 akiwa waziri wa ujenzi na mgombea urais akitokea mikoa ya kusini kwenye ziara ya kampeni.
 
wakuu vipi sgr inazinduliwa lini? mbona naona mapichapicha kama hakuna kinachoendelea hata mtaa wa kamata palipokuwa busy usiku na mchana naona kama pamepooza?
 
Walikuwa wafanye majaribio ya Dar -Moro by November 2019. Then wanatuambia bado 25% kumaliza. Ila hizo ni takwimu za kisiasa tu
 
Wanandugu.

Serikali ya awamu ya 5 imejipambanua kama ya wanyonge na imekuja na miradi lukuki inayotafuna mabilioni ya pesa za walalahoi, lakini miradi hii haina na wala haionyeshi dalili ya kuwa na tija yoyote huko mbeleni. miaka mitano hiyo inakatika tunapigwa porojo lakini mabilioni yanateketea.

Daraja la Mfugale
Huu ni mradi wa hovyo niliowahi kuuona na unareflect hisia kwamba utawala huu umejaa ubinafsi.

Daraja limejengwa kimkakati kuwapa upendeleo wanasiasa wanaowahi ndege airport.

Wanyonge wanaotoka na kwenda Tandika na maeneo mengine ya Temeke inawachukua wastani wa dakika 45 kuvuka Tazara, ni kero kuliko ilivyokuwa kabla halijajengwa.

Rais ajae alibomoe ndani ya siku 100 lijengwe upya watu wote walifaidi.

SGR
Huu mradi miaka minne sasa inaenda mitano hakuna cha maana zaidi ya kuona minguzo na minondo tu inasimikwa kila siku.

Nguzo zenyewe zinaonekana kujengwa sehemu zinazopitwa na watu wengi ionekane kuna kitu kinajengwa kumbe ni uzugaji.

Ndege
Kila nikilitizama anga naona ndege za biashara ni zilezile tu: SwisAir, Turkish, Emirates.

Hizi za Rubondo island mbona hatuzioni zinabeba nini kwenda wapi?

Dar es salaam
Huu ni mji lakini ni mradi tosha. Toto pendwa hajatatua hata kero moja; foleni, maji, mafuriko na hata usafi siku za jumamosi umemshinda.

Miaka mitano inakatika bado miradi inayowapa unafuu watanzania inabaki kuwa ile ile iliyobuniwa awamu zilizopita; daraja la Kigamboni, mwendokasi, shule za kata, barabara za lami kila kona, treni za Mwakyembe, watu wengi wameajiriwa sekta binafsi awamu zilizopita.

Sasa huu utawala kuna mradi gani wa maana umefanya ukafanikisha? Muda unaenda miaka mitano hiyo inakatika jamani.
Katika historia ya Tanzania Magufuli ataingia kwenye vitabu kama Rais aliyefeli sana na kulutia Taifa hasara zisizo vumilika. Bahati mbaya Mungu amempa UWEZO mkubwa wa UTHUBUTU Ila akampa AKILI kidogo na BUSARA sifuri kabisa.

Amempa sura ya binadamu lakini ROHO ya KIUNYAMA
 
Wanandugu.

Serikali ya awamu ya 5 imejipambanua kama ya wanyonge na imekuja na miradi lukuki inayotafuna mabilioni ya pesa za walalahoi, lakini miradi hii haina na wala haionyeshi dalili ya kuwa na tija yoyote huko mbeleni. miaka mitano hiyo inakatika tunapigwa porojo lakini mabilioni yanateketea.

Daraja la Mfugale
Huu ni mradi wa hovyo niliowahi kuuona na unareflect hisia kwamba utawala huu umejaa ubinafsi.

Daraja limejengwa kimkakati kuwapa upendeleo wanasiasa wanaowahi ndege airport.

Wanyonge wanaotoka na kwenda Tandika na maeneo mengine ya Temeke inawachukua wastani wa dakika 45 kuvuka Tazara, ni kero kuliko ilivyokuwa kabla halijajengwa.

Rais ajae alibomoe ndani ya siku 100 lijengwe upya watu wote walifaidi.

SGR
Huu mradi miaka minne sasa inaenda mitano hakuna cha maana zaidi ya kuona minguzo na minondo tu inasimikwa kila siku.

Nguzo zenyewe zinaonekana kujengwa sehemu zinazopitwa na watu wengi ionekane kuna kitu kinajengwa kumbe ni uzugaji.

Ndege
Kila nikilitizama anga naona ndege za biashara ni zilezile tu: SwisAir, Turkish, Emirates.

Hizi za Rubondo island mbona hatuzioni zinabeba nini kwenda wapi?

Dar es salaam
Huu ni mji lakini ni mradi tosha. Toto pendwa hajatatua hata kero moja; foleni, maji, mafuriko na hata usafi siku za jumamosi umemshinda.

Miaka mitano inakatika bado miradi inayowapa unafuu watanzania inabaki kuwa ile ile iliyobuniwa awamu zilizopita; daraja la Kigamboni, mwendokasi, shule za kata, barabara za lami kila kona, treni za Mwakyembe, watu wengi wameajiriwa sekta binafsi awamu zilizopita.

Sasa huu utawala kuna mradi gani wa maana umefanya ukafanikisha? Muda unaenda miaka mitano hiyo inakatika jamani.
Huyu Meko hata 2025 hawezi kuwakilisha miradi hii. Issue ni kulipa riba sasa
 
Back
Top Bottom