Waangalie wanaosifia hiyo miradi ya magufuli,either ni akina makonda na Muro au watu wenye elimu ndogo na wakosa exposure,Flyover ya Tanzania was wastage of our money,same will happen pale ubungo,nilitegemea ubungo inajengwa interchange but kinachojengwa pale kwa sasa anakijua magufuli na serikali yake,kuhusu ndege I strongly believe rais ajaye atazipiga mnada.kwa ufupi,Magu na ccm ndo tatizo kubwa la nchi yetu kwa sasaWanandugu.
Serikali ya awamu ya 5 imejipambanua kama ya wanyonge na imekuja na miradi lukuki inayotafuna mabilioni ya pesa za walalahoi, lakini miradi hii haina na wala haionyeshi dalili ya kuwa na tija yoyote huko mbeleni. miaka mitano hiyo inakatika tunapigwa porojo lakini mabilioni yanateketea.
Daraja la Mfugale
Huu ni mradi wa hovyo niliowahi kuuona na unareflect hisia kwamba utawala huu umejaa ubinafsi.
Daraja limejengwa kimkakati kuwapa upendeleo wanasiasa wanaowahi ndege airport.
Wanyonge wanaotoka na kwenda Tandika na maeneo mengine ya Temeke inawachukua wastani wa dakika 45 kuvuka Tazara, ni kero kuliko ilivyokuwa kabla halijajengwa.
Rais ajae alibomoe ndani ya siku 100 lijengwe upya watu wote walifaidi.
SGR
Huu mradi miaka minne sasa inaenda mitano hakuna cha maana zaidi ya kuona minguzo na minondo tu inasimikwa kila siku.
Nguzo zenyewe zinaonekana kujengwa sehemu zinazopitwa na watu wengi ionekane kuna kitu kinajengwa kumbe ni uzugaji.
Ndege
Kila nikilitizama anga naona ndege za biashara ni zilezile tu: SwisAir, Turkish, Emirates.
Hizi za Rubondo island mbona hatuzioni zinabeba nini kwenda wapi?
Dar es salaam
Huu ni mji lakini ni mradi tosha. Toto pendwa hajatatua hata kero moja; foleni, maji, mafuriko na hata usafi siku za jumamosi umemshinda.
Miaka mitano inakatika bado miradi inayowapa unafuu watanzania inabaki kuwa ile ile iliyobuniwa awamu zilizopita; daraja la Kigamboni, mwendokasi, shule za kata, barabara za lami kila kona, treni za Mwakyembe, watu wengi wameajiriwa sekta binafsi awamu zilizopita.
Sasa huu utawala kuna mradi gani wa maana umefanya ukafanikisha? Muda unaenda miaka mitano hiyo inakatika jamani.
Hii miradi niya watanzania au hao watu wa duniani?sasa kama mtu anataka kufanya biashara na wewe,especially mtu ambaye kwake faida ni kipaumbele kuliko kitu chochote unategemea akuambie pesa unatumia vibaya?Au tusaidie pamoja na makandokando na ufisadi wa ccm kwa miaka mingi ni lini wamewahikutuambia tunatumia pesa vibaya?Miradi yote hata wawakilishi wa nchi za nje walipopelekwa wakashangaa kuona mambo ya ulaya yanawekwa hapa Tanzania
Kwa mujibu wa kituo cha dunia cha uwekezaji wanakubali kuwa katika bara zima la Africa Tanzania ndio inatumia pesa zake kwenye miradi yenye tija
Mungu mpemaisha marefu jpm
State agent
Jiwe is a disgraceView attachment 1269511
Yaani eti hii ndio treni ya umeme, jiwe kiboko, watanzania kuweni makini.
Wanandugu.
Serikali ya awamu ya 5 imejipambanua kama ya wanyonge na imekuja na miradi lukuki inayotafuna mabilioni ya pesa za walalahoi, lakini miradi hii haina na wala haionyeshi dalili ya kuwa na tija yoyote huko mbeleni. miaka mitano hiyo inakatika tunapigwa porojo lakini mabilioni yanateketea.
Daraja la Mfugale
Huu ni mradi wa hovyo niliowahi kuuona na unareflect hisia kwamba utawala huu umejaa ubinafsi.
Daraja limejengwa kimkakati kuwapa upendeleo wanasiasa wanaowahi ndege airport.
Wanyonge wanaotoka na kwenda Tandika na maeneo mengine ya Temeke inawachukua wastani wa dakika 45 kuvuka Tazara, ni kero kuliko ilivyokuwa kabla halijajengwa.
Rais ajae alibomoe ndani ya siku 100 lijengwe upya watu wote walifaidi.
SGR
Huu mradi miaka minne sasa inaenda mitano hakuna cha maana zaidi ya kuona minguzo na minondo tu inasimikwa kila siku.
Nguzo zenyewe zinaonekana kujengwa sehemu zinazopitwa na watu wengi ionekane kuna kitu kinajengwa kumbe ni uzugaji.
Ndege
Kila nikilitizama anga naona ndege za biashara ni zilezile tu: SwisAir, Turkish, Emirates.
Hizi za Rubondo island mbona hatuzioni zinabeba nini kwenda wapi?
Dar es salaam
Huu ni mji lakini ni mradi tosha. Toto pendwa hajatatua hata kero moja; foleni, maji, mafuriko na hata usafi siku za jumamosi umemshinda.
Miaka mitano inakatika bado miradi inayowapa unafuu watanzania inabaki kuwa ile ile iliyobuniwa awamu zilizopita; daraja la Kigamboni, mwendokasi, shule za kata, barabara za lami kila kona, treni za Mwakyembe, watu wengi wameajiriwa sekta binafsi awamu zilizopita.
Sasa huu utawala kuna mradi gani wa maana umefanya ukafanikisha? Muda unaenda miaka mitano hiyo inakatika jamani.
Mkuu hiyo miradi kweli ni pesa za ndani? kama ni pesa za ndani imekuwaje deni la taifa limepaa kwa 20t kwa miaka minne? Deni la taifa jumla ni karibia kabisa na 60t. Hivyo yeye pekee kaleta 1/3 ya deni lilipotikana chini ya marais wote wanne. Toka nje ya box ndugu unangizwa mjini.
Awamu hii wajinga wameongezeka kwa kasi, na wamebatizwa jina hawaitwi wajinga, bali wanaitwa wazalendo!
Uekewa wako ni sawa na wa tembo,mwili mkubwa ilaakili kidogo. Pesa za ndani haimaanishi unachukua heladai mwako. Mikopo pia ni fedha za ndani. Pesa ya wahisani ni misaada
Kwhy wazalendo ndio waliwao?
Tanzania inatumia pesa zake yenyewe, Mbona deni linazidi kupanda, au serikali inakopa hela kwa ajri ya kulipa mishahara wafanyakaziMiradi yote hata wawakilishi wa nchi za nje walipopelekwa wakashangaa kuona mambo ya ulaya yanawekwa hapa Tanzania
Kwa mujibu wa kituo cha dunia cha uwekezaji wanakubali kuwa katika bara zima la Africa Tanzania ndio inatumia pesa zake kwenye miradi yenye tija
Mungu mpemaisha marefu jpm
State agent
Mbona simple tu, hilo la viwanda 4000 vipo bwana. Nchi hii haikosi cherahani 16,000 na tumeambiwa cherahani 4 ni kiwanda, sasa fanya hesabu mwenyewe hapo hupati viwanda 4000? Hapo bado saluni za kunyoa nywele, nazo kuna mbunge alisema ni viwanda. Hii ni nchi ya vi-wonder bwana, tuunge mkono juhudi.Nilisoma mada yako nikiwa natafuta "Viwanda 4,000". Sikusoma popote katika mada yako kuhusu viwanda hivyo, sasa sijui katika mradi huo wa viwanda unakubaliana na majigambo na misifa anayojitangazia?
Mimi natamani sana kusoma habari za viwanda hivi vilivyoanzishwa nchini katika muda wa miaka minne. Hii ina maana vijana wamepata ajira ya kutosha, (sijui wangapi wameajiriwa huko), na sasa tutakuwa tumepunguza kuagiza nje baadhi ya mahitaji yetu ya vitu vinavyozalishwa kwenye viwanda hivyo, na pato letu litaongezeka kwa kuuza nje bidhaa zinazozalishwa viwandani humo.
Mkuu 'Inchaji,' unaweza kutuelezea lolote kuhusu viwanda hivi?
mkuu achana na hawa wachumia tumbo wa ufipa ambao hata jengo la makao makuu ya chama wamepangisha.Miradi yote hata wawakilishi wa nchi za nje walipopelekwa wakashangaa kuona mambo ya ulaya yanawekwa hapa Tanzania
Kwa mujibu wa kituo cha dunia cha uwekezaji wanakubali kuwa katika bara zima la Africa Tanzania ndio inatumia pesa zake kwenye miradi yenye tija
Mungu mpemaisha marefu jpm
State agent
Kwahyo ulitaka akamjengee nyumba mamaako na babaako ndio ungeona amefanya la maana.. PumbaaafWanandugu.
Serikali ya awamu ya 5 imejipambanua kama ya wanyonge na imekuja na miradi lukuki inayotafuna mabilioni ya pesa za walalahoi, lakini miradi hii haina na wala haionyeshi dalili ya kuwa na tija yoyote huko mbeleni. miaka mitano hiyo inakatika tunapigwa porojo lakini mabilioni yanateketea.
Daraja la Mfugale
Huu ni mradi wa hovyo niliowahi kuuona na unareflect hisia kwamba utawala huu umejaa ubinafsi.
Daraja limejengwa kimkakati kuwapa upendeleo wanasiasa wanaowahi ndege airport.
Wanyonge wanaotoka na kwenda Tandika na maeneo mengine ya Temeke inawachukua wastani wa dakika 45 kuvuka Tazara, ni kero kuliko ilivyokuwa kabla halijajengwa.
Rais ajae alibomoe ndani ya siku 100 lijengwe upya watu wote walifaidi.
SGR
Huu mradi miaka minne sasa inaenda mitano hakuna cha maana zaidi ya kuona minguzo na minondo tu inasimikwa kila siku.
Nguzo zenyewe zinaonekana kujengwa sehemu zinazopitwa na watu wengi ionekane kuna kitu kinajengwa kumbe ni uzugaji.
Ndege
Kila nikilitizama anga naona ndege za biashara ni zilezile tu: SwisAir, Turkish, Emirates.
Hizi za Rubondo island mbona hatuzioni zinabeba nini kwenda wapi?
Dar es salaam
Huu ni mji lakini ni mradi tosha. Toto pendwa hajatatua hata kero moja; foleni, maji, mafuriko na hata usafi siku za jumamosi umemshinda.
Miaka mitano inakatika bado miradi inayowapa unafuu watanzania inabaki kuwa ile ile iliyobuniwa awamu zilizopita; daraja la Kigamboni, mwendokasi, shule za kata, barabara za lami kila kona, treni za Mwakyembe, watu wengi wameajiriwa sekta binafsi awamu zilizopita.
Sasa huu utawala kuna mradi gani wa maana umefanya ukafanikisha? Muda unaenda miaka mitano hiyo inakatika jamani.
LahaurahJiwe anaandaa treni used za umeme aje kudanganyia wajinga, vichwa feki nimevikuta vinashushwa bandarini ni vichekesho.
Tuambie mkuuView attachment 1269517
Hizi zote ni details feki za Jiwe na mataga wake, hakuna cha treni wala nini ni full propaganda.Niliwakuta mataga wanabuni sehemu huu utumbo.
EheeeeeeeMbona simple tu, hilo la viwanda 4000 vipo bwana. Nchi hii haikosi cherahani 16,000 na tumeambiwa cherahani 4 ni kiwanda, sasa fanya hesabu mwenyewe hapo hupati viwanda 4000? Hapo bado saluni za kunyoa nywele, nazo kuna mbunge alisema ni viwanda. Hii ni nchi ya vi-wonder bwana, tuunge mkono juhudi.
Kahamishaia watu wrote Dodoma yeye yuko dar pale ferryWanandugu.