Miradi mingi ya Magufuli haina tija? Ni white elephant?

IMG_20191122_135720.jpg

Yaani eti hii ndio treni ya umeme, jiwe kiboko, watanzania kuweni makini.
 
IMG_20191122_135658.jpg

Hizi zote ni details feki za Jiwe na mataga wake, hakuna cha treni wala nini ni full propaganda.Niliwakuta mataga wanabuni sehemu huu utumbo.
 
Mkuu hiyo miradi kweli ni pesa za ndani? kama ni pesa za ndani imekuwaje deni la taifa limepaa kwa 20t kwa miaka minne? Deni la taifa jumla ni karibia kabisa na 60t. Hivyo yeye pekee kaleta 1/3 ya deni lilipotikana chini ya marais wote wanne. Toka nje ya box ndugu unangizwa mjini.

Deni hilo ni proportion ya mambo ambayo rais anafanya hakuna cha ajabu hapo. Nchi zote ulimwenguni zinakopa ndio mfumo wa Serikali zote duniani zinakopa ili kufanya kazi. Awamu hii ya 5 haijalala ndio sababu inakopa kuweza kuinua maisha ya Watanzania wengi kutokana na kodi zao.
 
Ladies ,Don’t become another fight he has to try to win, there are hidden battles he fights ambazo he never told you about because he want you to be happy always.If you don’t crown him, pick him up and value him someone else will. Build him up, Give him courage, and Pray for him
 
View attachment 1269511
Yaani eti hii ndio train ya umeme, jiwe kiboko, watanzania kuweni makini.

​

Mkuu hiyo ni Engineers train. Imetumika mara nyingi sana katika hatua hizi za ujenzi. Train zimeagizwa kama msemaji wa serikali alivyosema hapo juu. Wameagiza vichwa vya train 21, vitatu au vinne vitakuwa vya kutumia umeme na diesel na vilivyobaki vitakuwa vya umeme tu. Subirini aibu mtakayoipata Serikali ya awamu ya 5 inafanya kweli mlizoea waliokuwa wanawadanganya. hapa Kazi tu.
 
...……...…......…………….....
 
Kwenye ilo daraja la mfugale upo sahihi ni moja ya mradi wa kipumbavu sana njia ya kutoka buguruni kwenda magorofani kulitakiwa rotation ya highway sio magari kusimama kweny mataa.

Mkuu una utaalam wa Highway engineer?
 
Wanandugu.

Serikali ya awamu ya 5 imejipambanua kama ya wanyonge na imekuja na miradi lukuki inayotafuna mabilioni ya pesa za walalahoi, lakini miradi hii haina na wala haionyeshi dalili ya kuwa na tija yoyote huko mbeleni. miaka mitano hiyo inakatika tunapigwa porojo lakini mabilioni yanateketea.

Daraja la Mfugale
Huu ni mradi wa hovyo niliowahi kuuona na unareflect hisia kwamba utawala huu umejaa ubinafsi.

Daraja limejengwa kimkakati kuwapa upendeleo wanasiasa wanaowahi ndege airport.

Wanyonge wanaotoka na kwenda Tandika na maeneo mengine ya Temeke inawachukua wastani wa dakika 45 kuvuka Tazara, ni kero kuliko ilivyokuwa kabla halijajengwa.

Rais ajae alibomoe ndani ya siku 100 lijengwe upya watu wote walifaidi.

SGR
Huu mradi miaka minne sasa inaenda mitano hakuna cha maana zaidi ya kuona minguzo na minondo tu inasimikwa kila siku.

Nguzo zenyewe zinaonekana kujengwa sehemu zinazopitwa na watu wengi ionekane kuna kitu kinajengwa kumbe ni uzugaji.

Ndege
Kila nikilitizama anga naona ndege za biashara ni zilezile tu: SwisAir, Turkish, Emirates.

Hizi za Rubondo island mbona hatuzioni zinabeba nini kwenda wapi?

Dar es salaam
Huu ni mji lakini ni mradi tosha. Toto pendwa hajatatua hata kero moja; foleni, maji, mafuriko na hata usafi siku za jumamosi umemshinda.

Miaka mitano inakatika bado miradi inayowapa unafuu watanzania inabaki kuwa ile ile iliyobuniwa awamu zilizopita; daraja la Kigamboni, mwendokasi, shule za kata, barabara za lami kila kona, treni za Mwakyembe, watu wengi wameajiriwa sekta binafsi awamu zilizopita.

Sasa huu utawala kuna mradi gani wa maana umefanya ukafanikisha? Muda unaenda miaka mitano hiyo inakatika jamani.
Unaweza kuwa hujui kwa kuwa hujui au akili yako imehama
 
Eeenh, 'Tindo', hawa watu ni 'wasomi', wamehitimu na wana digrii au diploma zao; lakini bado huwaambi lolote kuhusu taarifa za upotoshaji kama hizo.
Na Jiwe anajuwa watu hawa wapo wengi ndani ya nchi hii, ndio maana haoni aibu kuendelea na upotoshaji anaoufanya kama wa 'ujenzi wa viwanda 4,000', tokea achukue madaraka!

Na kwa kuwa amewatia woga watu na kujitungia sheria za ukandamizaji, hakuna mwandishi wa habari yeyote anayeweza kuchunguza juu ya taarifa hiyo na kuiandikia makala. Huyu Jiwe nikama alijiandaa maisha yake yote kupanga jinsi ambavyo angefanikisha mipango yake ya upotoshaji pindi alipopewa madaraka. Kila kitu kimapangiliwa kimkakati.

Awamu hii wajinga wameongezeka kwa kasi, na wamebatizwa jina hawaitwi wajinga, bali wanaitwa wazalendo!
 
Wanandugu.

Serikali ya awamu ya 5 imejipambanua kama ya wanyonge na imekuja na miradi lukuki inayotafuna mabilioni ya pesa za walalahoi, lakini miradi hii haina na wala haionyeshi dalili ya kuwa na tija yoyote huko mbeleni. miaka mitano hiyo inakatika tunapigwa porojo lakini mabilioni yanateketea.

Daraja la Mfugale
Huu ni mradi wa hovyo niliowahi kuuona na unareflect hisia kwamba utawala huu umejaa ubinafsi.

Daraja limejengwa kimkakati kuwapa upendeleo wanasiasa wanaowahi ndege airport.

Wanyonge wanaotoka na kwenda Tandika na maeneo mengine ya Temeke inawachukua wastani wa dakika 45 kuvuka Tazara, ni kero kuliko ilivyokuwa kabla halijajengwa.

Rais ajae alibomoe ndani ya siku 100 lijengwe upya watu wote walifaidi.

SGR
Huu mradi miaka minne sasa inaenda mitano hakuna cha maana zaidi ya kuona minguzo na minondo tu inasimikwa kila siku.

Nguzo zenyewe zinaonekana kujengwa sehemu zinazopitwa na watu wengi ionekane kuna kitu kinajengwa kumbe ni uzugaji.

Ndege
Kila nikilitizama anga naona ndege za biashara ni zilezile tu: SwisAir, Turkish, Emirates.

Hizi za Rubondo island mbona hatuzioni zinabeba nini kwenda wapi?

Dar es salaam
Huu ni mji lakini ni mradi tosha. Toto pendwa hajatatua hata kero moja; foleni, maji, mafuriko na hata usafi siku za jumamosi umemshinda.

Miaka mitano inakatika bado miradi inayowapa unafuu watanzania inabaki kuwa ile ile iliyobuniwa awamu zilizopita; daraja la Kigamboni, mwendokasi, shule za kata, barabara za lami kila kona, treni za Mwakyembe, watu wengi wameajiriwa sekta binafsi awamu zilizopita.

Sasa huu utawala kuna mradi gani wa maana umefanya ukafanikisha? Muda unaenda miaka mitano hiyo inakatika jamani.
[/QUA

Ama kweli wafadhilaka wapundaka binadamu hana shukurani mimi nina wasiwasi sijui hata kama umewahi kuwashukuru wazazi wako walokuzaa , watanzania tuache chuki mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Pamoja na mapungufu yake kama binadamu wengine but go east go west JPM is the best President this country has ever had, ni Rais anaethubutu, decision maker na ameweka Nidhamu kwenye taasisi za umma ambazo zilikuwa zimeoza.
 
Deni hilo ni proportion ya mambo ambayo rais anafanya hakuna cha ajabu hapo. Nchi zote ulimwenguni zinakopa ndio mfumo wa Serikali zote duniani zinakopa ili kufanya kazi. Awamu hii ya 5 haijalala ndio sababu inakopa kuweza kuinua maisha ya Watanzania wengi kutokana na kodi zao.

Hakuna anayepinga kukopa, ila anaposema ni fedha za ndani ili kuhadaa umma ionekane kama makusanyo ni makubwa maana yake nini? Je hiyo mikopo inafahamika terms zake, au Ni yeye na kundi lake tu ndio wanajua? Sasa kama deni limekuwa kubwa hivyo na hiyo miradi hasa mikubwa haijakamilika, huoni kama kuna mazingira ya kutokukopesheka huko mbele ya safari, huku miradi hiyo ikiwa haijakamilika kama ilivyopangwa?
 
​

Mkuu hiyo ni Engineers train. Imetumika mara nyingi sana katika hatua hizi za ujenzi. Train zimeagizwa kama msemaji wa serikali alivyosema hapo juu. Wameagiza vichwa vya train 21, vitatu au vinne vitakuwa vya kutumia umeme na diesel na vilivyobaki vitakuwa vya umeme tu. Subirini aibu mtakayoipata Serikali ya awamu ya 5 inafanya kweli mlizoea waliokuwa wanawadanganya. hapa Kazi tu.

Nonsense....
 
Ama kweli wafadhilaka wapundaka binadamu hana shukurani mimi nina wasiwasi sijui hata kama umewahi kuwashukuru wazazi wako walokuzaa , watanzania tuache chuki mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Pamoja na mapungufu yake kama binadamu wengine but go east go west JPM is the best President this country has ever had, ni Rais anaethubutu, decision maker na ameweka Nidhamu kwenye taasisi za umma ambazo zilikuwa zimeoza.
 
Wanandugu.

Serikali ya awamu ya 5 imejipambanua kama ya wanyonge na imekuja na miradi lukuki inayotafuna mabilioni ya pesa za walalahoi, lakini miradi hii haina na wala haionyeshi dalili ya kuwa na tija yoyote huko mbeleni. miaka mitano hiyo inakatika tunapigwa porojo lakini mabilioni yanateketea.

Daraja la Mfugale
Huu ni mradi wa hovyo niliowahi kuuona na unareflect hisia kwamba utawala huu umejaa ubinafsi.

Daraja limejengwa kimkakati kuwapa upendeleo wanasiasa wanaowahi ndege airport.

Wanyonge wanaotoka na kwenda Tandika na maeneo mengine ya Temeke inawachukua wastani wa dakika 45 kuvuka Tazara, ni kero kuliko ilivyokuwa kabla halijajengwa.

Rais ajae alibomoe ndani ya siku 100 lijengwe upya watu wote walifaidi.

SGR
Huu mradi miaka minne sasa inaenda mitano hakuna cha maana zaidi ya kuona minguzo na minondo tu inasimikwa kila siku.

Nguzo zenyewe zinaonekana kujengwa sehemu zinazopitwa na watu wengi ionekane kuna kitu kinajengwa kumbe ni uzugaji.

Ndege
Kila nikilitizama anga naona ndege za biashara ni zilezile tu: SwisAir, Turkish, Emirates.

Hizi za Rubondo island mbona hatuzioni zinabeba nini kwenda wapi?

Dar es salaam
Huu ni mji lakini ni mradi tosha. Toto pendwa hajatatua hata kero moja; foleni, maji, mafuriko na hata usafi siku za jumamosi umemshinda.

Miaka mitano inakatika bado miradi inayowapa unafuu watanzania inabaki kuwa ile ile iliyobuniwa awamu zilizopita; daraja la Kigamboni, mwendokasi, shule za kata, barabara za lami kila kona, treni za Mwakyembe, watu wengi wameajiriwa sekta binafsi awamu zilizopita.

Sasa huu utawala kuna mradi gani wa maana umefanya ukafanikisha? Muda unaenda miaka mitano hiyo inakatika jamani.

SI MIRADI YA KUBEZWA.

Miradi kama SGR, STIGGLER'S GORGE, ATCL, MFUGALE FLY-OVER, UBUNGO BY-PASS n.k ni ya kimkakati. Manufaa yake ni kwa vizazi na vizazi.

Ni dhahiri si jambo rahisi kuanzisha na kukamilisha miradi hii; Nchi inajibana sana kifedha ili kufanikisha malengo haya kutokana na umuhimu wake kwa Taifa, kwetu sisi tunaoishi na kwa vizazi vijavyo.

Ni mzaha kusema kwamba miradi hii ni white elephant. Mfano, kumbuka, idadi ya watu wanaopita Mfugale Fly-Over kuwahi usafiri wa ndege ni ndogo sana ukilinganisha na wasafiri waendao na kutoka bandarini, Gongo la Mboto n.k. Nikukumbushe tu, kabla ya daraja hilo, msongamano wa magari ulikuwa unatisha sana.

Tusisahau tulikotoka.
 
Back
Top Bottom